Ya rabbi nkuomb utusamehe madhambi yetu yote na utuingize peponi kw baraka zako amiin 🤲🤲
@MasnamussaPpАй бұрын
مشاء الله تبارك الرحمن shekh mselem rab akuepushie maadui na akuzidishie umri mrefu ameen 15:47
@fatumabaraza6997Ай бұрын
❤🎉😅🦻🏼👄👄💄💋💅🏾🏃🏼♀️❤️
@fatumabaraza6997Ай бұрын
🎉
@faridaikussiАй бұрын
Allahu akulipe sheikh wetu nakupenda kwaajili ya Allahu
@selemankishema5780Ай бұрын
Jamani wahusika hii hotuba haijakamilika hebu kuweni makini ktk kazi zenu na namba 2 yake iko wapi tunaiomba au naomba nipe adress yake nimeipanda
@hamadKhamis-p6kАй бұрын
Kwenye move watu htuma coment tele ila kwenye mawaidha laaa
@hamadKhamis-p6kАй бұрын
Shekh wetu mlipitia mengi mmetoka mbali Allah awaepushie Yale mliyopitia
@AndulHida-hs5pyАй бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe.
@user-ti3gx9jr4vАй бұрын
Allah atufanyie wepesi hatuna ujanja kwako
@OmanOma-xi3hmАй бұрын
Laa mawaidha mazito Allah atufnyie wepes tuemiongoni mwa wajawake wema Amin🤲🏼🤲🏼
@OmanOma-xi3hmАй бұрын
Walip kuweja jela nili umia San JP sijawahi kk ona 😭😭😭
@OmanOma-xi3hmАй бұрын
Allah akufanyie wepesi shekhe sakaramaut na akupe jann❤❤❤❤❤
@OmanOma-xi3hmАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@OmanOma-xi3hmАй бұрын
Shukran shekhe wet kwaukumbusho
@saleemshehabu3071Ай бұрын
Allah atusamehe makosa yetu
@abdallah2676Ай бұрын
Sheh mselem kumbe hadi mnyama anaweza kukuombea dua kwa kumsaidia ilikuwa sijui
@samxx411Ай бұрын
Wallahi mtihani mtupu, Allah akatuingize peponi kwa rehma zake lakini sifa bado hatujazifikia
@zainabkiarie9163Ай бұрын
Allahumma Amiiyn
@zainabkiarie9163Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akurehemu sheikh
@AminaMwarabu-f8zАй бұрын
Mashaalha
@LionGaho-wh3teАй бұрын
Hasante
@selemankishema57802 ай бұрын
Kweli watu hatuna mpango na dini yaani ndani ya miezi 6 views hata 50 hawafiki subhanallah
@MachrissCompanylimited2 ай бұрын
Mwenyezi mungu amrehem sheh bachu mashalah mwenyezi mungu tunakuomba mwisho mema inshallah
@LatifaHajj-s3n2 ай бұрын
M
@LatifaHajj-s3n2 ай бұрын
M
@LatifaHajj-s3n2 ай бұрын
M
@rehemakigarimbwe11223 ай бұрын
Jazakallahu kheyr
@user-kn8mg2su7i4 ай бұрын
Shukran kwa ukumbusho sheh mselem
@KhamiisJaamac4 ай бұрын
Pepo ndio malipo yake shekhe Nassor Bach inshaallah
@SalmaUmazi4 ай бұрын
Subhanallah
@selemankishema57805 ай бұрын
Wallahi waislam tunaneema lakini tutakuja juta saana juu ya uzembe wetu na tujue kwa sasa hatuna udhuru yaani darasa inamiezi zaidi ya saba lakini viuwers hawafiki hata 200? Tena katika hao 164 utakuta wamebonyeza tu wakakimbia subhanallah
@abuuabdulrahman20046 ай бұрын
Mashaa Allah Allah akuhifadhi sheikh
@binmasoud41506 ай бұрын
Mashallah mawaidha mazuri sana
@IssaSimbilla-hw9ev6 ай бұрын
Acha nijuzuie😂
@salmamfaume10736 ай бұрын
Kweli kabsa Allah akupe swiha na afya uzidi kutuelimisha❤❤❤
@jabirkasunzu68416 ай бұрын
Allahumma Ghfir ❤🤲🏼
@user-jm7sp4pf9j7 ай бұрын
Allah akulipe filidausi inshallah
@HalimaKhamisi-nc4ro8 ай бұрын
Mashaallah❤
@jeffmodi8 ай бұрын
marehemu mohamed alizikwa saudi anangoja yesu
@hassanhassan25678 ай бұрын
wallahi quran ni tamu na lau watu wa huko zanzibar na kote inchi za kiilsamu wangewacha mambo ya upuuzi wa vyama vya kisiasa na kuwa kuweka hayo vikao vyao vya upuuzi wa mabaraza sijui ya wakilishi mimi ninaita mabaraza yao ya uzushi na wakafuata kitabu chake ALLAH basi wallahi kusengekua na dhulma na wizi wanaoiba hao viongozi wazushi na uadilifu ungesimama lakini wapi leo tuewacha hayo na sasa tuko katika udhalala wa hali ya juu na muuislamu ndio mtu dhalili sana duaniani hata damu yake haina thamani ikitolewa jee nani wa kulaumiwa? jibu ni sisi wenywewe nafsi zetu tuko wengi sana dunaiani lakini tumekua kama vile kondoo waliokosa mchungaji na mbele yao wako fisi yote tumeacha sheria ya kitabu chake ALLAH na kuyavaa maisha na mila za kimaghribi ambayo yanayotawaliwa na mayahudi waliolaaniwa na tumekua kama wao waislamu wanaogopa kusemama katika haki kwasababu tuu hofu ya kuikosa dunia yake yaani kama vile vile walivyo mayahudi ndio waislamu tulivyo leo.