Пікірлер
@tawakalimankasim82
@tawakalimankasim82 Ай бұрын
Endeleni kujifariji ubwabwa ubwege Tobwe FC. Pengo lipo pale pale chama ni mmoja huwezi kumlinganishs na dada debora. Chama yupo juu anamagoli mengi na Assisi nyingi. Yanga bingwa tena yanga oyeee
@DorisCharles-m4k
@DorisCharles-m4k 2 ай бұрын
Uongo ni dhambi maan chama tiari kaisha tambulishwa hizo habari umeipata wapi
@AllyIssya-cy9yg
@AllyIssya-cy9yg 2 ай бұрын
ubaya ubwela
@DaudMtweve
@DaudMtweve 3 ай бұрын
Hatariii sanaaa 🔥🔥🔥🔥🔥💚💚
@RemigiusMshashu
@RemigiusMshashu 3 ай бұрын
vzr mwamba
@EmmahJosephath
@EmmahJosephath 3 ай бұрын
Akae simba anaenda wap wana yanga watatudhalau saana
@HamishaiWakishua-oh1ul
@HamishaiWakishua-oh1ul 3 ай бұрын
Awez ondoka msimbazi nakwenda yanga huyo kamanda
@seydouside4081
@seydouside4081 3 ай бұрын
Hawa sio wazalendo..wazaliwa wa Tanzania..wenyewe.ni Wananchi..na ndio Yanga..hivi huyu ndio wa kuogopwa na yanga..duuuh haya tuone wanasajili bila kocha..naziona 7up nyengine..msimu ujao..nipopaleee ....
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 3 ай бұрын
HUYU HAWEZI KUWA TISHIO KWA YANGA AFRICAN'S.ALIKUWEPO NA ALISHUHUDIA VICHAPO VIKIMUADHIBU KUTOKA KWA YANGA.YANGA HAITISHIWI NYAU.LAZIMA MJUE MAANA HALISI YA YANGA IMARA.DAIMA MBELE.NYUMA MWIKO.
@Justinianchiza
@Justinianchiza 3 ай бұрын
Uyo ni mnyama anaipenda
@ShafiiSeifu-ls8gn
@ShafiiSeifu-ls8gn 3 ай бұрын
Achenibuongo
@LusanaTimotheo-mf1nn
@LusanaTimotheo-mf1nn 3 ай бұрын
Nikwri lakin
@drallan6879
@drallan6879 4 ай бұрын
waonga kibu Denis sio lolote ana magoli 3 Kwa two years
@GudGudgud-w6q
@GudGudgud-w6q 4 ай бұрын
Waongooooooo
@josephgalandu128
@josephgalandu128 4 ай бұрын
Nyie na mabanda yenu ndio yana wabanda
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 5 ай бұрын
Mmmmh ila wewe muandishi mbea mnafiki muda wa usjili Bado je yanga kaaibika vipi ikiwa muda wa kusjili dirisha kubwa Bado na ulisikia wapi yanga wakamtangaza kibu kwenda yanga nyinyi ndiyo mmeaibika Kwa taarifa zenu za umbea umbea
@ISAACMBAGO
@ISAACMBAGO 5 ай бұрын
HAIJA SHINDIKANA, HAITA SHINDIKANA, HAIJAWAI SHINDIKANA. YOTE YANAWEZEKANA KTK YEYE ATUTIAE NGUVU, TUTA TOBOA
@ISAACMBAGO
@ISAACMBAGO 5 ай бұрын
Na huyu tena! Badala watu kuita maji, mtaita mmmmma. Hii sio timu sasa! Bali ni automatic bom, ❤
@ISAACMBAGO
@ISAACMBAGO 5 ай бұрын
Huyu ndiye aliye takiwa kuja mapema! Karibu chama, welcome my young brother.
@SuleimanNgware
@SuleimanNgware 5 ай бұрын
Amechoka kule sambusa?
@RashidiMsangi
@RashidiMsangi 5 ай бұрын
Udakuhuo
@ipyanamwangwembe8330
@ipyanamwangwembe8330 5 ай бұрын
Mtoa post unaposema yanga inapendelewa kupewa Tabora united unamanisha nn? Mi ckuelew