Пікірлер
@alisalimo2861
@alisalimo2861 6 сағат бұрын
chele limejaa kila kitu kipo ww ezi ya mdunjiko mchele ulikua wapi nakupaga folen mawe tuko na familia.zetu hatutaki vurugu
@alisalimo2861
@alisalimo2861 6 сағат бұрын
kama anajiamini ajionyeshee tuu
@alisalimo2861
@alisalimo2861 6 сағат бұрын
bora tushabikie simba na yanga tuwena aman kuliko ww ulie njee na domo lako chafu na kama mwanamme jionyeshe tukuone shika adabu yakoo tuna amani
@alisalimo2861
@alisalimo2861 6 сағат бұрын
jaman samia mbona mpolle ww hawajaa matusi yote ww mbona hapo nyuma huyu jamaaa alikua hatukan hivo
@SaidiHasani-n6c
@SaidiHasani-n6c Күн бұрын
Watanzania tufike mahala tujitambuwe na ss
@NestyTz
@NestyTz 2 күн бұрын
Mm tyu nachoona kuendesha nchi Kaz mm naangalia mambo yangu sina Hela sina kiwanja nihangaika na siasa filaneni wenyewe mbona maskn hawatekw mtu pe hela tuwe wanasiasa na kula sipig maisha yote na kad za vyama nazo za vyama vyote sjui mm ninani na kula spgi
@user-lj7cw6ee5p
@user-lj7cw6ee5p 2 күн бұрын
Nyege
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 2 күн бұрын
Msituchanganye kwa kuripoti habari kinyume na title zake Hii inaonesha upungufu wa weledi kwa waandaaji na wamiliki wa vyombo vya habari. Kuna uhusiano gani wewe kuandika Msigwa kuhama wakati habari yako ni ya mazungumzo ya Lisu juu ya Sheria? Huu ni upotoshaji na wizi wa kimtandao wa MB zetu kufanya tuchague tusichokitaka kupitia tunachokitaka. Acheni uhuni huu.
@yusrtv2622
@yusrtv2622 2 күн бұрын
Kwanza ww mpuuzi huna akili na yote unayo sema nikwa sababu rais mama nimzazibar mna chuki na huyu mama yote yalio fanyika enzi za mwenda zake hamukufunguwa midomo yenu mishafu leo kaja samiha amewapa uhuru anawalinda mnapo andamana kila kitu kawachieni lakini mnamtukana hayo matusi mnayo mtukana ya rudi kwako na tanzania hakuna upinzani hapa mnajihangaisha upinzani wanaangalia maslahi yao tu ukitaka kujuwa pita msigwa kukosa uwenyekiti wakanda kaja ccm na sisi tumempokea hilo nikuonesha hamna upinzani wa kweli ni wanafiki tupu lakini kubwa zaidi ni sababu raisi anatoka upande wapili na watanganyika hamukulitarajia lililo tokea na mungali juwa mwezi 1 nyuma mungali mwambia samia ajiuzulu ili asiwe raisi lakini hayo yote yapo kwenye ilimu ya mungu na niwambieni msijihangaishe 2025 ni mama samia mpaka 2035 tutamuengezea muda tunamuamini tumemkubali panapo uhai ishaallah mama oyeeeeeeeeeeeeeee ccm oyeeeeeeeeee
@user-wn4qu9yu7n
@user-wn4qu9yu7n 2 күн бұрын
Kafanya vizur umebaki wewe maana hatujuw unatafuta nini hutabiliki kbs miaka yote hiyo
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 2 күн бұрын
Wewe unatabirika, au unaendekeza uchawa?
@danielkanso
@danielkanso 3 күн бұрын
Hii imeeleweka wakubwa nao wanajua kuwa mbinu zao ziko wazi
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 3 күн бұрын
Uko vizuri kaka
@noelnchimbi1287
@noelnchimbi1287 3 күн бұрын
Smart boy
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 3 күн бұрын
Njaa itakuuwa na kachaneli kako ka mchongo unatuletea habali ndaza chupi ya mamako inamatobo
@usermt619
@usermt619 3 күн бұрын
Nilidhani ni habari kumbe ni historia!
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 3 күн бұрын
Hivi Humjui huyu, hana habari ila ana Historia tu kama ulivyo soma.
@mosesibmshangamshanga7885
@mosesibmshangamshanga7885 4 күн бұрын
Ivi hawa wanaoteka nakupoteza binadam wenzao wanatumwa au
@knight6757
@knight6757 4 күн бұрын
😴
@MaikoMkwawa-fk9tc
@MaikoMkwawa-fk9tc 4 күн бұрын
Poleni sana watanzania wenzetu mbele yao nyuma yetu
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame 5 күн бұрын
Ukisem ukwer unafungwa
@Fundi12345
@Fundi12345 5 күн бұрын
Acheni gazabu na hasira. Mbowe arisema siasa za kisitarabu wewe rena uwa unatumia nguvu kama makilikil
@Mussa-id9jb
@Mussa-id9jb 6 күн бұрын
Duu
@mussai.sillas3796
@mussai.sillas3796 6 күн бұрын
Duuu,Nyieee!Zuhura Yunus tena?
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 6 күн бұрын
Aamua LIWALO NA LIWE sasa LIPI???
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 6 күн бұрын
Hii inadhihirisha wazi kuna agenda. Hivi hizi teuzi na maap8sho ya kila wakati wanajua na kutekeleza hivyo viapo vyao?? Na kama hawatekelezi iko haja gani kuhamisha hamisha! Mtu hakai kwenye nafasi miezi 2 huku ndiko kunaharibu utendaji. Hapo Ngorongoro kuna jambo sio bure! Ni ngome ya mtu inatengenezwa hapo!! WaTanzania tuendelee kulala hadi tuhamishiwe Burundi au Somalia!!
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 6 күн бұрын
Huo muziki wa chini chini, unapuguza utulivu na Raha ya usikilizaji
@karimismail4160
@karimismail4160 6 күн бұрын
Pigania mwenyewe kija anae jielewa hawezi kufanya jambo la kumiza mashaisha yake kwa upuzi
@karimismail4160
@karimismail4160 6 күн бұрын
Pole hutusawishi upumbavu wako mama anafanya kazi wewe piga kengele mweu 😂😂
@jumasaleiman
@jumasaleiman 6 күн бұрын
Huyuu jamaaa anaongea oviyo tuu na ushamba ccm hatuwataki ila inatakiwa itemize akili na marifaa na elimu ili kuwaondowa sioo kuropokatuuu ukiwa umejifungia chumbani unaongea
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 6 күн бұрын
Nani atawachuja huyu rais wa fisiyemu kwa ujumla .fisiyemu wanaogopa.te huru
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 6 күн бұрын
MSIKUZE MANENO ITAKUA NINI? NA HIZO SIRI NI SIRI GANI?? HAKUNA JIPYA HAPA. CCM MBELE KWA MBELE OYEEEEEEE
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 6 күн бұрын
Waone wenzao hapo kenya hata hapa kitawakaaa hakuna marrfu yasiyo na ncha tafakari chukua hatua
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 6 күн бұрын
Ila watambue tumewaajiri na wanatuwajibisha ila tukiamka watajutaaa
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 6 күн бұрын
Tanzania tuna mhimili mmoja tu umemeza mihimili mingine yoteee no Bunge no mahakama vyote ni serekali.
@jamespeter1599
@jamespeter1599 6 күн бұрын
Mh msingwa Yuko sahihi kuhama chama kutokana na ukiritimba wa viogozi Demokrasi cdm Akuna Ndungu zangu watanzania Naomba mpuuzeni Lisu yeye Mwenyewe atamka kua Kuna Hela zimeingia kwenye Account ya cdm fedha zote Ni za mbowe
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 3 күн бұрын
Naye Msigwa kwa nini aligombea kwa mara ya tatu
@malamlaaj9852
@malamlaaj9852 7 күн бұрын
Akili ndogo we!
@willysayuni6010
@willysayuni6010 7 күн бұрын
Kivhwa Cha habari kiendane na habari husika, you don't deserve my subscription
@frankcharles3980
@frankcharles3980 8 күн бұрын
Mijitu mingine mijinga sana
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 8 күн бұрын
Hizo ndo sera za chama??? Dah hebu washaurini wazungumzie sera za chama tunapoteza muda mwingi kutoa mashitaka na kusema mabaya mliyofanyiwa, hii haitusaidii chochote kiila siku wimbo ni mmoja tu lisu tangazeni sera zenu mtafanya nini tukiwapa inchi? Sasa mmekuwa wa kurukia matukio na kuyajengea hoja kama ndo sera za chama l think he is wrong better those who are close to him alert him so that he can come back to the point rather than wasting time for preaching nonsense for nothing please awake the guy!
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 8 күн бұрын
Waletabtaarifa mnatuandikia kichwa cha habari na yaliyomo ndani ni tofauti. Mbona mnapotosha jamii??
@PaskaliBaha
@PaskaliBaha 8 күн бұрын
✌️
@EmanuelIdd
@EmanuelIdd 9 күн бұрын
Mungu wangu tusaidie
@matiredms917
@matiredms917 10 күн бұрын
Kwanini mnadanganya na kuhadaa watu na clips ambazo zimechacha. Kichwa cha habari hakifanani na anachozungumza Tundu Lissu. Hii ni fedheha tupu.
@EmanuelLuther-y3l
@EmanuelLuther-y3l 10 күн бұрын
Wapumbavu ninyi blogl
@hharyemanuel5144
@hharyemanuel5144 10 күн бұрын
Chanel zigne za kifala tu
@ismailramadhani1649
@ismailramadhani1649 10 күн бұрын
Mbona sauti haiko sawa na Tundu Lissu😢 kuna namna hapa mmefanya.
@japhethkasanga2634
@japhethkasanga2634 10 күн бұрын
Ach ujing
@AbdulMnyamwezi-f4c
@AbdulMnyamwezi-f4c 11 күн бұрын
Sema tupone baba
@amanimangalila-pj8ik
@amanimangalila-pj8ik 11 күн бұрын
We Maku Kweli Sasa Wimbo wa Roma HApa Umetajwa wap
@KhalfanJuma-ii4fk
@KhalfanJuma-ii4fk 12 күн бұрын
Mbowe ndo atakae uwa chama Mana Hana usiryz na siasa za upnzn na kushika Dollar