Dah vijana wanapenda maisha ya kifahari..Hizi harusi zinawaingiza vijana mkenge yaaan..
@faustinluambano2958Күн бұрын
This Policeman can't be trusted
@BilaliKinyota2 күн бұрын
Maombi ndo kilakitu
@fatumasultan4315Күн бұрын
Pole dube utafunga sana maana umechagua sehemu sahihi mungu ndo kila kitu ...marry Dominick nipo daa
@Baloo-y1r3 күн бұрын
Ajali ilitokea wapi na aliyepima hiyo ajali ni trafiki yupi?
@mgaxy69733 күн бұрын
Tabia mbovu iko kwa mashabiki wa simba
@johnbwire98173 күн бұрын
na azizi ki angeenda
@AishaMsungi4 күн бұрын
M/mungu ndio kila kitu
@muddymuzungu43574 күн бұрын
Kosa lilianzia hapa Hapo zamani za kale
@Franksamwel-j9l4 күн бұрын
nawapata vizur nikiwa kilimanjaro
@AminaTanzania4 күн бұрын
Mhh mungu mwema kira wakati mungu hashidwi
@AminaTanzania4 күн бұрын
Yanga wameturoga sana mungu yupo atanyanyua mkono wake kwa yanga
@ajiaally32694 күн бұрын
Na nyinyi mmemloga dubr😅😅 Mungu htanyanyua mkono wako na sio dube wote tunawapeleka uko kazi mnayo
@sizabintrajabu67094 күн бұрын
Hakuna linaloshindika mbele za mungu na kila hatua dua inshallah
@sizabintrajabu67094 күн бұрын
Daah mungu ni mkubwa kwakweli azidi kumfungua
@magrethyeremia22794 күн бұрын
Ashukuriwe aliye juuuu jmn
@FloraIkwabe-qy3yb4 күн бұрын
Jina la yesu laokoa ,mapepo yameshindwa wachawi mpambane nae mtakufa maana amej8kabizi kwa yesu
@hamidabakari-i3b4 күн бұрын
Azizi kaombewe nawewe sio bule khaa
@hamidabakari-i3b4 күн бұрын
Pole sana wachawi wameiwangia timu yetu wameshindwa tutasonga tu
@BernadethaKamagi4 күн бұрын
Maombi ndio siraha pekee ya kumshinda shetani na kazi zake asante mungu
@JeniphaSamwel-r9j4 күн бұрын
Amen Amen
@mkwenyaliganga5 күн бұрын
Wabaya ni wengi
@dionisiaefremu8075 күн бұрын
Azizi ki kaombewe na ww mwaya
@SaraRobert-io8xv5 күн бұрын
Duuh watu wanaroho mbaya
@IsabelaConstantino-ns7kx5 күн бұрын
Alikuwa haoni goli na kichwaa kuumaa
@BishiraMunga-ey6jx5 күн бұрын
Wachawi wabaya sana sijui wanalengogani,mtu hukomoi timu unamkomoa mtu ustawi hiyo ndiyokaziyake wachezaji wote wa younger kilamtu ashtuke,
@AminoKhalif5 күн бұрын
Pole mwamba wetu sasa utafunga sana inshallah daima mbele ilove yanga yetu ❤❤❤
@saidhamza53185 күн бұрын
Mhm 😳👀
@saidsuleiman17535 күн бұрын
Hakuna kitu hapo, pongezi za nini hiyo point moja itawasaidia nini
@KhazimilPaschal5 күн бұрын
🎉🎉
@josephmfuko7716 күн бұрын
Acha hizo ww mwandishi mchongo. Yote hio ni njama ya kushusha morali kipindi hiki kigumu ..mbona huandiki kuhusu Simba kufyeka wangapi!!
@yukundapeter82007 күн бұрын
Mbwa km hilo lichomwe moto hadharani,pia kwa nn x ya kwanxa hawakusema?
@SaidSeif-d4y7 күн бұрын
Eti,,, kifo ni kifo tu.. si walisema hivyo...😮😮😮
@PatrickDavid-l3p8 күн бұрын
Ivyo relin bado yanaendelea mm stosaau nilivyokua mdogo niliwai kwenda kushudia mchoma mahindi mwaka 2005 yan ata itokee siend kuangalia naogopa.
@NeemaJuma-os6uo8 күн бұрын
Nyumbani kabisaaa dah
@gavanankanabo83589 күн бұрын
Huyu jamaa si mkweli kama ni mkweli basi atuambie match zijazo ili sasa awe mkweli
@BonifaceBonala-w9j9 күн бұрын
Hii ndio tz ya amani ya rais mpemba mweusi tena mznzibar atatumariza leo tarimo kesho sisi tumuwahi bandari zirudi tanganyika
@MwanaidChande-e5u9 күн бұрын
❤
@anithawidambe75439 күн бұрын
Wewe ni bahati mbaya tuu.Hamza alijifunga kwa bahati mbaya. ILA.MUNGU NI NI MWEMA SIMBA ITASHINDA MBELE YA SAFARI. A WEWE WATIE MOYO WACHEZAJI. USIWAKATISHE TAMAA
HAYA MAUJI YANAYOTOKEA,KWA NINI MUYAHUSISHE NA NCHI!! NA KUROPOKA ETI NCHI IMEINGIA LAANA!! HIVI MAANA YA LAANA MNAIJUA AU MNAISKIA?!! KWA NINI HIVI SASA IMEKUWA BAADHI YA WATANZANIA MMEKUWA NA MIHEMUKO YA KUJITIA LAANA WENYEWE?!! HAYA MATUKIO YA MAUWAJI YANAYOFANYWA NA WATU WALIOKOSA UTU!! MTU AU WATU WENYE ROHO ZA UTU HAWAWEZI KUCHUKUA JUKUMU LA KUMUUA MWANADAMU MWENZAKO KWA MAANA YA KUTOA UHAI WA BINADAMU MWENZAKO!TUKIO LA MAUWAJI MARA NYINGI HUFANYWA NA WATU WENYE ROHO ZA KINYAMA,WASIOMJUA MUNGU!! NA WASIO MUOGOPA MUNGU!! NA MATUKIO HAYA HUFANYWA KWA KUVIZIA IWE KWA SIRI AU HADHARANI!! NA MATUKIO HAYA PINDI YANAPO TAKA KUTOKEA AU YANAPOTOKE HUWA HAKUNA RAIA WEMA AU VYOMBO VYA DOLA WAKAYAONA,WAKAYAFUMBIA MACHO!! NA HAINA MAANA YA KUJITIA LAANA WENYEWE!! NA HIVI SASA TUNAJUA KUNA PROPAGANDA ZA KISIASA ZILIZOTAWALIWA NA CHUKI BINAFSI ZA WANAOJIITA WANA SIASA WAKIUNGWA MKONO NA WANAOJIITA VIONGOZI WA DINI, KUINYOOSHEA KIDOLE SEREKALI NA KULIPA LAWAMA JESHI LA POLISI,KUHUSIANA NA MATUKIO HAYA NA MENGI NEYO KAMA VILE,KUPOTEA KWA WATU NA MALALAMIKO YA KISIASA,MAMBO AMBAYO SIO KWELI NA HAYANA UKWELI WOWOTE,ISPOKUWA NI PROPAGANDA ZA KUTAKA KUIPAKAA MATOPE SEREKALI ILIYOPO MADARAKANI,ILI WAPATE KUICHONGANISHA SEREKALI NA WANANCHI WAKE,HUKU CHAMA PINZANI KIKIDHANI LABDA HUWENDA WATAPINDUA FIKRA NA MITAZAMO YA WANANCHI WALIO WENGI KUICHUKIA SEREKALI YAO ILIYOPO MADARANI,ILI WAWAUNGE MKONO KWENYE SANDUKU LA KURA KWENYE KIPINDI KILICHOPO MBELE YETU CHA UCHAGUZI.NI PROPAGANDA TU! NA MIHEMUKO YA KISIASA,INAYONASIBISHWA NA MATUKIO KAMA HAYA JAMBO AMBALO SIO SAWA.NCHI INA RAIA WENGI,SEREKALI HAIWEZI KUMUWEKEA KILA RAIA ETI AWE NA MLINZI ETI ASIUWAWE!! HIZI FIKRA FINYU.NA KUANZA KUJITIA LAANA WENYEWE MNAITAKA LAANA!!! WATANZANI KUWENI MAKINI SIO KILA KAULI ZINAZOTOLEWA NA MNAO WADHANI NI WATU WEMA.KWENU,WAMEVAA NGOZI ZA KONDOO KUMBE NI MAFISI!! KILA JAMBO LINA UTARATIBU WAKE!! SIO KILA LINALOSEMWA MNALIPOKEA TU!! KUWENI MAKINI NA KAULI ZENU!! HUYU MWANA DADA,ALIYEMUA,KWA UWEZO WA MINGU ,ATAJULIKANA TU KUPITIA UCHUNGUZI WA JESHI LA POLISI NA SHERIA ITACGHUKUA MKONDO WAKE.WACHENI KAULI ZENU ZA HOVYO KUITIA NCHI KWENYE LAANA!! SOTE TUPO KWENYE JAHAZI MOJA,LIKIZAMA TUTAZAMA WOTE!!! WACHENI DHANA MBAYA.
@sophiakimaro517410 күн бұрын
Sasa hivi sijui tutamwamini nani jamani?
@maureenlilykiwia151510 күн бұрын
Mmesema sababu za kifo chake na kwenye kutangaza hakuna mlichosema
@jumanesaidi763510 күн бұрын
Huu ni uandishi wa habari wa ovyo alioukataa Mkapa ! uandishi umeingilwa na MAKANJANJA.