Ninajiungamanisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU ❤.
@NoreenRamadhaniСағат бұрын
Namshkuru mungu ameniponya
@theresiambiso6929Сағат бұрын
Amen
@NoreenRamadhani2 сағат бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nimejifunza mambo mengi na kuponywa kiroho
@EmersonKiondo4 сағат бұрын
Bwana Yesu asifiwe mimi ni Yule niliyeshuhudia jana kuhusu kupona ugonjwa wa Ukimwi, Mungu ni mwema kuna kazi pia nilikua nafatilia abroad jana nimepata email kua nimepata ile kazi a this month tahere 20 natakiwa ku report kazini, Mungu ni mwema wakati wote.
@REHEMAMAFALO22 сағат бұрын
Utukufu nikwa Mungu tuu
@SS-lq4sjКүн бұрын
Nimebarikiwa sana na ibadaya ya leo japo nimesikiliza kwa mara ya kwanza. Najiungamanisha na madhabahu hii kuoitia sadaka yangu niliyoitoa kwa njia ya benk
@angelaerickkisaka9355Күн бұрын
Ninajiungamanisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU ❤.
@AdventinaAdventina-u8uКүн бұрын
Bwana Yesu asifiwa mtumishi wa Mungu ninamshukuru Mwenyezi Mungu me nilikuwa mgonjwa nilikuwa nasubuliwa na kichwa na macho pia nilikuwa sijisikie kula yaan nilikuwa nakula kwa kutumia dawa piritoni nd napata ham yakula chakula ba kichwa kikiaza kuuma nahesabu masaa nane ndo kinatulia ila maumivu yalikuwa makali sana dani kama moto nimefka hap kanisan nakuendelea na maombi Mungu kasha nimponya niko saw MATHAYO 8:1-4,Unaweza ukasima ukulasa wote neno la Mungu libalikiwe Amena
@angelaerickkisaka9355Күн бұрын
Ninajiungamanisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU SANA NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Daima ❤❤❤.
@zuhuramapunda59302 күн бұрын
Amen 🙏
@charleskatoto20172 күн бұрын
Amen 🙏🏻
@Anita-c4n9m2 күн бұрын
amen🙏🙏🙏🙏
@FaustaMwandelema2 күн бұрын
Ameni ubarikiwe mtumishi
@angelaerickkisaka93552 күн бұрын
Ninajiungamanisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU SANA NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ❤.
@hilkaraphael98812 күн бұрын
Amen
@angelaerickkisaka93552 күн бұрын
Ninajiungaamanisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Milele ❤.
@angelaerickkisaka93553 күн бұрын
Ninajiungamanisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Daima ❤.
@JacklineSewando3 күн бұрын
Amen
@angelaerickkisaka93554 күн бұрын
Ninajiunganisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Milele ❤.
@theresiambiso69294 күн бұрын
AMEN
@elyhillary20004 күн бұрын
Ameeeeniii 🙏🏿
@MichaelMwatusi4 күн бұрын
❤❤❤❤
@Abiudi-z2v4 күн бұрын
Naomba unitumie link watumishi
@angelaerickkisaka93554 күн бұрын
AMEN AMEN AMEN. Hakika ninajiunganisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Daima ❤.
@paskaziasholla74714 күн бұрын
Kwa Imani niliyonayo juu ya MUNGU ipo siku na mimi baraka zitaingia malangoni pangu
@paskaziasholla74714 күн бұрын
Uwiiiii😢😢😢
@angelaerickkisaka93555 күн бұрын
Hakika ninajiunganisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Daima ❤.
@elyhillary20005 күн бұрын
Ameeeeniii
@PriscusRobart5 күн бұрын
🎉🎉🎉
@angelaerickkisaka93556 күн бұрын
Ninajiunganisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI Milele yote ❤.
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Semina hii ikifundishwa na mchungaji kiongozi allen adam mbiso wa kanisa la kkkt mbezi beach
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Najiungamanisha na maombi haya
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Amen
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Amen
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Amen
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Somo hili linatoka katika kitabu cha; 2petro 3:18
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Somo la semina, maombi na kufunga siku 40 , linasema hivii ; kukua katika neema na kuongezeka katika bwana yesu kristo
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Amen
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Semina, maombi na kufunga siku 40 anafundisha mchungaji kiongozi allen adam mbiso wa kanisa la kkkt mbezi beach
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Kwenye semina, maombi na kufunga siku 40
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Leo Ikiwa siku ya 8
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Najiungamanisha na semina, maombi na kufunga siku ya 40
@PROJECTELISHA16 күн бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii ya kkkt mbezi beach
@JenifaAbasi-w1q6 күн бұрын
Mungu nione namimi niko hapa
@angelaerickkisaka93556 күн бұрын
Ninajiunganisha NA MADHABAHU HII TAKATIFU. KATIKA JINA KUU NA DAMU TAKATIFU YA BWANA YESU.
@CcC-lf7on6 күн бұрын
nitakuwepo mungu atusaidiye
@HappyNnko-w4q6 күн бұрын
MUNGU awabariki watumishi wa MUNGU.mkumbuke kuiombea family ya amosi lengaeli nnko jaman