MTEGEMEE MUNGU | DEO SUKAMBI
2:02
Пікірлер
@novatusmwikola742
@novatusmwikola742 Сағат бұрын
Hicho ni kitabu chako
@EddyEddie-q8y
@EddyEddie-q8y 10 сағат бұрын
My man is so silent had namboeka ...............how can we be living together without communicating?
@charlesmasangu4080
@charlesmasangu4080 15 сағат бұрын
Doctor thank you ubarikiwe… dawa ni Moyo,Akili,Misuli, na Hisia Vyote viwe katika kiwango kizuri
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 20 сағат бұрын
Shukrani❤
@carolinetoto8706
@carolinetoto8706 Күн бұрын
Asantee
@user-bd2re1cj9u
@user-bd2re1cj9u Күн бұрын
Yaani pastor hiyo point Nu.4 ni Safi kuogopakusalitiwa na mende😂
@BertinaMartinsAntonio
@BertinaMartinsAntonio 2 күн бұрын
Mafundisho Yako niyakweli doctor endeleya kutufundisha
@StefanoMkisi
@StefanoMkisi 3 күн бұрын
Dr.madayako inafundisha vizuri sana nakusikiliza kutoka Malawi
@jacobjb4515
@jacobjb4515 3 күн бұрын
Nakupata vizuri doctor Deo kutoka hapa Kingston ontario canada
@user-it9xr4ee4d
@user-it9xr4ee4d 4 күн бұрын
Nakusikiliza Toka kilindi Tanga
@morrislusui3152
@morrislusui3152 5 күн бұрын
I'm very happy to wohchi mubashara
@Kokodikoko-z3o
@Kokodikoko-z3o 5 күн бұрын
Tusaidie ushauri doctor
@Kokodikoko-z3o
@Kokodikoko-z3o 5 күн бұрын
Mimi ni koko dikoko nipo U.S.A mkongomani
@yolamlamsi3059
@yolamlamsi3059 5 күн бұрын
Yah:ni kweli kabisa,hata mtu ukisafiri tu uka refresh akili unakuta mwili uko vizuri.mi niko mbeya.
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 6 күн бұрын
Nimepata kitu. Asante
@wechesafrancis457
@wechesafrancis457 7 күн бұрын
Namusikuza kutoka Uganda
@PascalHombo
@PascalHombo 8 күн бұрын
Saw
@dismaschindongo4338
@dismaschindongo4338 8 күн бұрын
Nakusikiliza toka south Africa mtumishi mwenzio Dismas George...Mama Sukwambi ajamboo naomba namba yako ya Whatssap kaka
@athanasiajulias5679
@athanasiajulias5679 8 күн бұрын
Asante sans
@emmanuelmbelenzi3077
@emmanuelmbelenzi3077 9 күн бұрын
Akili ni nyingi sana, watu kweli wanajua mambo, this is very deep
@monicasongolo5805
@monicasongolo5805 10 күн бұрын
Na vipi kama umeshaongea sana kuhusu kuhudumiwa na mumeo na hafanyi hivyo siyo kuumwa kuvaa kila kitu ,,pia nyumbani gesi sijui watoto kuumwa ada kila kitu anataka utoe pesa nusu na yeye nusu ndo jambo lifanyike,,,,vipi mtu kama huyo unaishije nae
@babujeishayo2576
@babujeishayo2576 11 күн бұрын
Suluhisho la mtu ambae misuli yake imetanuka ni lipi doctor ?
@balinabernard7368
@balinabernard7368 12 күн бұрын
Unalindaje HIYO Afya ya viungo hivyo?
@douglasonkendi-yy7gx
@douglasonkendi-yy7gx 13 күн бұрын
Tafadhali number yako hakuna what's app..nataka kuongea nawe 👉 please consider on that🙏🏾
@NikolausSungula-s2v
@NikolausSungula-s2v 6 күн бұрын
\asante
@SofiaMsukuma
@SofiaMsukuma 13 күн бұрын
Nataka kitabu nakipataje,
@jonesshao8284
@jonesshao8284 14 күн бұрын
Thanks
@EmmanuelWanyonyi-o9s
@EmmanuelWanyonyi-o9s 14 күн бұрын
Shida ya shot Moja na inalala nini?
@EmmanuelWanyonyi-o9s
@EmmanuelWanyonyi-o9s 14 күн бұрын
Thank you so much I have got my problem, kubumzisha akili
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 14 күн бұрын
Nakusikiliza kutoka Qatar
@ppemperweringpeople7183
@ppemperweringpeople7183 15 күн бұрын
Lo! Ama Kweli Brother & Doctor Ushauri Wako Kwetu Ni Muhimu Sana Katika Maisha Ya Ndoa
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 15 күн бұрын
Located Kibaha
@eunicendomondo
@eunicendomondo 15 күн бұрын
hii notion ya kumilikiwa i doubt, nahisi mke anageuka kuwa enslaved sasa. Wanaume wenyewe sasa😊
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 15 күн бұрын
Nimekuelewa shukrani
@user-hz3jx7wu4p
@user-hz3jx7wu4p 16 күн бұрын
mm tatizo langu napenda mertarbeshen
@JuliusTemba-u2u
@JuliusTemba-u2u 16 күн бұрын
Doct Asante Sana kwa huu ushauri ni mzuri Sana utaponya wengi
@user-hk4ub8sy3z
@user-hk4ub8sy3z 16 күн бұрын
Hivi hawa wanaume wanazaliwa malaika ila wanaharibiwa na wanawake?kwa hio wanawake ndo mashetani😢
@user-hk4ub8sy3z
@user-hk4ub8sy3z 16 күн бұрын
Vipi naweza kuvumilia madhaifu ya umalaya wa mwenzangu?kunywa pombe ni dhambi zake na inamhusu yeye mwenyewe lkn la umalaya linahusu mahusiano vp taweza mvumilia?
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 16 күн бұрын
Nawasikiliza nikiwa dubai upo sahihi doctor
@NdimyakeKennedy
@NdimyakeKennedy 17 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@ferrotechafricaltd
@ferrotechafricaltd 17 күн бұрын
Umewataja😂😂😂😂
@OnyanchaElijah-g8b
@OnyanchaElijah-g8b 17 күн бұрын
Hakikat brother elimu yako ni muhimu sana katika family zetu sana god bless you so much mm niko Qatar 🇧🇭🇧🇭
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 17 күн бұрын
Mwalimu hii dhana ya uhuru wa kujieleza, huoni kama inachangia pia kuwafanya vijana wastii mamlaka?
@J_Pabloescobar0806
@J_Pabloescobar0806 17 күн бұрын
Uhuru wa kujieleza katika njia njema za kumpendeza mungu❤❤❤❤ freedom🎉
@williardfesto5162
@williardfesto5162 18 күн бұрын
Ubarikiwe sana doctor
@AsteriaMontgomery
@AsteriaMontgomery 19 күн бұрын
Kweli sungura nimekubali
@jefwakalama4336
@jefwakalama4336 19 күн бұрын
Nakufatilia nikiwa nko Lamu Kenya
@user-hk4ub8sy3z
@user-hk4ub8sy3z 19 күн бұрын
Hivi anaweza mtu kuvumilia udhaifu wa mkewe kupenda wanaume wengine au mume kupenda wanawake wengine?
@dullamkwinda7594
@dullamkwinda7594 19 күн бұрын
Kweli kabisa hiyo points no 4 nimeikubali sana da hiyo imepita unanyoosha kwenye mistari, shukran sana
@dullamkwinda7594
@dullamkwinda7594 19 күн бұрын
Kweli kabisa doctor hapo kwenye kulala nimekuelewa sana
@dullamkwinda7594
@dullamkwinda7594 19 күн бұрын
Nipo Capetown nakusikiliza