Gude Gude Chapa kazi Kuelimisha Ni kipaji chako Brother! Naitwa Juma Busongo Nipo Chuo kikuu cha Dar es Salaam lakini My home land ni Kalangale ya Mpyagula kwa Antony Makani!!!!!
@alexstar2469 Жыл бұрын
Ok sawa vp huko wanasemaje kingne ninachokuomba subscribe hii account ili uwe wa kwanza kupata nyimbo mpya na video
@laurent2014 Жыл бұрын
Ndo umefugua mda so mlefu ee
@neemaisack7527 Жыл бұрын
Na kweli mwaka huu unatukosha kwel
@martinjames-xs5eb Жыл бұрын
Silali yuko wapi masome umemuinga mwamba silali dj
@hajuabcosingers5821 Жыл бұрын
Good bro yaani hiyo ngoma umeipanga poa,congratulations bro