Пікірлер
@MaguluPaul
@MaguluPaul 4 минут бұрын
😂😂😂😂
@Biasharazetuinvestment
@Biasharazetuinvestment 6 минут бұрын
Kumbe Simba Kuna watu Wana akili hiv👏👏
@avitusmichael5
@avitusmichael5 6 сағат бұрын
Waache makolo wavae SANDA
@user-sz6ht5wm2g
@user-sz6ht5wm2g 6 сағат бұрын
Mi nakukubali sana wewe siyo mbumbumbuu sema tu unaishi mikiani na ndiomana wanatukana tu, Wewe ni mchambuzi mzuri na mpira unaujua
@khamissymtonele6418
@khamissymtonele6418 6 сағат бұрын
Kisugu iv unajielewa kweli unachokiongea au unaongea kufuraisha watu tu
@SuleimanJuma-dv8gt
@SuleimanJuma-dv8gt 7 сағат бұрын
Mwamba kaongea points
@user-ez2ws1le3n
@user-ez2ws1le3n 7 сағат бұрын
We chawa tu njaa tu hiyo
@user-os1xo5et5e
@user-os1xo5et5e 7 сағат бұрын
Wewe mpira unaujuwa sana
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 7 сағат бұрын
😂😂😂😂kwakuw anawasifia
@obedyjohn5350
@obedyjohn5350 7 сағат бұрын
Kaka unajua
@UchebeClasic
@UchebeClasic 8 сағат бұрын
We jamaa mwana spoti una kitu utafika bali
@simonsadala2386
@simonsadala2386 8 сағат бұрын
Mchome no 2 wenzenu madunduka wanawatukana lkn nyie sio mashabiki ni watalam wa mpira
@UchebeClasic
@UchebeClasic 8 сағат бұрын
Ukisema ukweli wana simba watakupiga
@UchebeClasic
@UchebeClasic 8 сағат бұрын
Una ki2 utafikabali
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 8 сағат бұрын
Chawa lipo kzn
@leonardmasanja4047
@leonardmasanja4047 8 сағат бұрын
Dogo nakupenda sanaa, huwa unaongea kwa hekima sana huongelei ushabiki daima huwa unaongelea mpiraaa
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 8 сағат бұрын
wengine wa wanachambua upuuzi m2pu
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx 8 сағат бұрын
Ushabiki hajawai kua ivoo uyu jamaa analake jambo Simba tunakzi mamluki tulikuanao wengi sana
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 9 сағат бұрын
Utaliwa sanaaaaa kuku wewe..yanga timu mbovu
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 9 сағат бұрын
We uliwa sio bure
@bajakisonzo4935
@bajakisonzo4935 9 сағат бұрын
Huyu jamaa ni mwana michezo haswa hongera sana kka
@joojombi2341
@joojombi2341 9 сағат бұрын
Simba wamecheza na timu daraja la 3 aibu tupu kwakweli
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 9 сағат бұрын
Sam nakuelewa Sana,Safi sana mpira unajua kuchambua
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 9 сағат бұрын
Mwamba sana ww
@johnmajondokitulla
@johnmajondokitulla 9 сағат бұрын
Hicho Kaka unachokisema upo sahihi acha waseme tu,maana ninavyokuona uko kwenye hadhi ya uchambuzi haupo kwenye ushabiki.
@TidoAlphonce
@TidoAlphonce 9 сағат бұрын
😂😂😂😂
@user-lj7cf4nh9d
@user-lj7cf4nh9d 9 сағат бұрын
Sam nakukubari Sana Mwanangu Uko sahihi kabisaaaa kwenye uchambuzi wako Ongera Sana unaujua mpira Big UP Sana
@SambweteMtepa-k9g
@SambweteMtepa-k9g 9 сағат бұрын
Wew mzee nifala kweli
@MatgrethCostantini
@MatgrethCostantini 9 сағат бұрын
Pumbavu zako wewe ni utopolo vua jezi yetu ya Simba mnafiki wewe
@stevensosipita
@stevensosipita 9 сағат бұрын
MASHABIKI WA SIMBA WENYE AKILI NI MCHOME,SAM,NA MILAJI WENGINE VILAZA TU
@errydeo8865
@errydeo8865 9 сағат бұрын
​​@@stevensosipitasaaaaana na Mzee Said 😂
@umikifupa-mi3re
@umikifupa-mi3re 8 сағат бұрын
Kipenzi Cha Aziz ki​@@errydeo8865
@matoletv
@matoletv 7 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉​@@stevensosipita
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 сағат бұрын
wee Mzee yanga sana wewee
@abrahamchengula8137
@abrahamchengula8137 10 сағат бұрын
KWANI fei hakuwa na mkataba na Yanga??unavyosema TOFAUTI??
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 10 сағат бұрын
Safiiii sana siyo hao waoropoka kuwa wana timu nzuri watatufunga yanga mara ooh ubaya ubwela alafu timu awajaiona wasije kumfukuza kocha mwezi tu kocha chaliiii
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 10 сағат бұрын
Wanaokuchukia achana nao hao awaujui mpiraa
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 10 сағат бұрын
Huyu mwamba anaujua mpiraa kongole nyingi kwako ndugu yangu
@abrahamchengula8137
@abrahamchengula8137 10 сағат бұрын
HUNA baya kaka
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 10 сағат бұрын
Nimeshangaa kweli dakika 40 mapumziko 40 Tena hoi 40 Tena kitako chini mpira wawapi huo sijawahi kuona hawa madunduka kweli
@SiliviaJoshua-gd3xd
@SiliviaJoshua-gd3xd 10 сағат бұрын
Nakubali samu
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 10 сағат бұрын
Mashabiki wa Simba hayo hawaoni lakini subiri timu irudi ndo utaona kelele zimeanza kwa sasa wanazugwa ili wasikosowe usajili kabla ya dirisha kufungwa
@albertvalentino130
@albertvalentino130 11 сағат бұрын
" Ubaya ubwelaaaa ----- hiyo ni kibu ubwela "
@paulndutu2904
@paulndutu2904 12 сағат бұрын
Akili kisoda
@PaulMuasya-z8c
@PaulMuasya-z8c 13 сағат бұрын
Bora usije ukakimbia baada ya kufungwa. Maduka yamefungwa ndio waona unababaika.
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 13 сағат бұрын
Magoma ana matatizo ya kukosa hekima na busara. Kafilisika kiakili kabisaaaaa !
@willymdeka6034
@willymdeka6034 16 сағат бұрын
Kwani we unaumia Nini ona aibu upoo gea na vyombo vya habari mwehu ww
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 17 сағат бұрын
Waambie awo madunduka wasiojielewa
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 18 сағат бұрын
Kwa simba hii mtateseka sana na mtakoma mwaka huu Yan mtajinyea kweli iv kama unaakili uwez kuongea kauli hiyo Yan mtakoma
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 18 сағат бұрын
Kazi ipo kwa pacome na chama
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 18 сағат бұрын
Jamani tuwaache simba waendelee na pre season yao bhanaaaa...!
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 18 сағат бұрын
Wewe hakili huna Simba wanatengeneza time lazima tuaze na timu ndogo alafu f a hatuchezagi na hizo timu Hana nyumbani yangawalicheza na fresi renjas imekuaje
@moussaaliabdallah1096
@moussaaliabdallah1096 18 сағат бұрын
Wewe ni muongo,manara hajawahi kuwa ofisa habari,alikua mhamasisaji kwa kuchukua nafasi ya antonio nugaz, wakati Ally kamwe amechukua nafasi ya Hassan mbumbuli,kama haujui uliza
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 19 сағат бұрын
Kumbe mnamtambua ni mwana chama mwenzenue. Kee hapo sasa mumemvua uwana chama kwa sababu ya kumkosesha haki yake ya ulalamikaji? Magoma ndiyo habari kuu ya Jangwani. Taharuki imetawala,na timu tayari ishaanza kuchezea. Tarehe8 mtani wangu lazima mtazika tu😂😂😂😂😂 niko paleeee🏃🏃🏃🏃🏃🏃