JAZAK-ALLAH KHAIRAN Allah akuhifadhi abuu AYMAN Al shiraaziy
@KhalfaniAthumani-j2b2 ай бұрын
Waalikusallamu warahmatullah wabarakatuh
@jinguazizi72602 ай бұрын
Allaah akuhifadh shekh wetu
@sadikikazembe8883 Жыл бұрын
Allah akuifadhi shekhe abu hashimu
@abdulrahmanhaji1348 Жыл бұрын
Allahakuhifadhi ya rabb sheikh wetu
@abdallamwavyema9284 Жыл бұрын
صدقت ولهذا
@abdallamwavyema9284 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@abdallamwavyema9284 Жыл бұрын
شكرا بارك الله فيك
@footballanalysis9500 Жыл бұрын
Allah amuhifadhi sheikh qasim
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe huna issue katafute kazi ufanye
@abuunaajiyah7821 Жыл бұрын
Hiyo ndio haki Ukitaka fuata usipotaka Acha Ila hoja tayari imekufikiaa Kwa Allaah siku ya qiyama hautakuwa na hojaa
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@abuunaajiyah7821 Tatizo moja la nawahabi nikutaka kumpa mtume cheo cha uwuungu kwamba anajua kila kitu.nikweli mtume ni maasumi lakini hajui kila kitu.anajua kile alichojulishwa na Allah tu. Sasa mnaposema mtume aseme kuhusu maulidi kama very alijua watakuja watu wamsherehekee kutumia maulidi. Na ndiyo maana ntume akaweka misingi yakupimia halali na haramu kweny Jamie yoyote na wakati wowote.lkn hoja ya kudai mtume hakufanya.hiyo ni hoja yakijinga sana