Пікірлер
@SalihaMwezingo
@SalihaMwezingo Сағат бұрын
Yani umetukwaza sana tulijua waisilamu tuna pendana kumbe hii ndiyo dawa yakulingania
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 Сағат бұрын
Binafsi nilikua naona hawa wahabi hawana shida lakin kwakufurahia kifo cha shekh wamenitoa iman kabisa ya kuona kama ni waislam wenzetu sabab hakuna mwislam wakweli anaye furahiya kifo cha mwenzake na matatizo ya mwenzake
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 Сағат бұрын
Kweli shekh
@Mohdakhi
@Mohdakhi Сағат бұрын
Aaaah jahili Hilo
@SULEIMANABDALLAMBAROUK-mg1gh
@SULEIMANABDALLAMBAROUK-mg1gh Сағат бұрын
🎉jazaka Allah kheri
@mohamednyuni2631
@mohamednyuni2631 2 сағат бұрын
Msamaha wako au kuomba radhi kwako ni sawa na shahada ya fir'aun alipo kuwa yuwazama tayari malaika washachukuwa dua yako mpaka kwa Allah na yule anaeza kusamehe ni hayati mwenyewe na tayari ako barzagh!
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 3 сағат бұрын
Akhsante shekh Walid
@KarimSaidd-j3g
@KarimSaidd-j3g 4 сағат бұрын
Huyu jamaa ni raha sana kumsikiliza
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 сағат бұрын
Hata kutofautiana kwa mavazi umesahau sheikh wangu 😂
@rekhanifaizi8746
@rekhanifaizi8746 5 сағат бұрын
umeweka wazi kweli Kila mwenye Akili amefaham. ALLAH akuhifadhi daima
@rekhanifaizi8746
@rekhanifaizi8746 5 сағат бұрын
ALLAH akuhifadhi daima , sirahisi kuwapata viongozi kama wewe. dunia ya Leo
@rekhanifaizi8746
@rekhanifaizi8746 5 сағат бұрын
wa ALLAHI sheikh Walid unastahiki kuwa kiongozi wa jamiiy ya ki islaam tanzania
@jamals.mbarak8638
@jamals.mbarak8638 6 сағат бұрын
MashaAllah. Nasaha nzuri sana
@HassanWaziri-q6u
@HassanWaziri-q6u 6 сағат бұрын
Mm cwezi kukusamehe kwa sababu hata hiyo kauli yako ya msamaha unasema tu kua nikutoa hadharani lkn msimamo wenu mnafurahia sisi tukifa kwa sirisiri au kwenye magroup yenu mm sikusamehi nawala hutosameheka mpaka muache hiyo tabia yakutuombea mabaya Huna haya kweli unaweza kusema maneno kama yale juu ya mwanawachuoni baking na huo msimamo wenu
@AmiriAkida
@AmiriAkida 9 сағат бұрын
Mawhabi hua mnakulupuka
@AmiriAkida
@AmiriAkida 9 сағат бұрын
Unatuomba sisi Subilia mpaka sikuyakiama ukamuombe malehemu mwenyewe
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 9 сағат бұрын
Angekua hafi huyo salafi saa ila na yeye àtakufa tù
@FadhilaRashidi-i1h
@FadhilaRashidi-i1h 9 сағат бұрын
Hao masalafi wanaroho mbaya/tena hao ndio washirkina
@ZainabShaame-w8l
@ZainabShaame-w8l 10 сағат бұрын
Sheh mm nimeota mpenzi wang analiya huku kanigiya magoti ten analiya kwa sana tu anasem nimsamehe ila mpk naamk ile ndot nilikuwa naihis ya kitofaut
@stevensosipita566
@stevensosipita566 10 сағат бұрын
MACHAWA TU
@CaristaRomanus
@CaristaRomanus 10 сағат бұрын
Unaongea sanaaa pungunza kuongea renga point maalumu
@AbdulrashidHassan-o9l
@AbdulrashidHassan-o9l 10 сағат бұрын
بارك الله فيك يا ٱستاذنا ❤
@RajabuMhandeni
@RajabuMhandeni 11 сағат бұрын
MaashaAllah
@kirungekirunge5920
@kirungekirunge5920 14 сағат бұрын
Sasa mbona unampa mtu mali ya msikiti mtu asiye husika kwenda kuomba mkopo mtu kwa maslahi binafsi
@SubiraSaid-u5c
@SubiraSaid-u5c 14 сағат бұрын
Allah atufanyie wepes katka mwisho mema atufanyie sahal
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 14 сағат бұрын
Mimi sijuwi chochote kuhusu uislamu, ila viongozi wetu baadhi mnalopoka sana kupitia media zenu. Laiti mngelijuwa marehemu alikubalika kiasi gani kwa watu wa kawaida, msingelopoka lolote baya juu yake
@SerinaMasika
@SerinaMasika 15 сағат бұрын
Allah shehe akulipe mepo yako kwa masomo mazuri
@SerinaMasika
@SerinaMasika 15 сағат бұрын
Allah shehe akulipe mepo yako kwa masomo mazuri
@amira71301
@amira71301 22 сағат бұрын
Shukran
@Khamissiddy
@Khamissiddy 23 сағат бұрын
Ī
@Sheikhmadaba-cm2hw
@Sheikhmadaba-cm2hw 23 сағат бұрын
Mpuizi wewe
@joachimdominic3107
@joachimdominic3107 Күн бұрын
Amina ❤
@AbiyolaSaidi-qe2ku
@AbiyolaSaidi-qe2ku Күн бұрын
allhu akbar قلمت الحق أريدبه الباتر
@Mohamedabdi-q9g
@Mohamedabdi-q9g Күн бұрын
Allah akusamehe
@Majidiwazil
@Majidiwazil Күн бұрын
Kweli kabisa Yani Mimi nashanga Hawa Wana chuoni wengine Wana watakana maaiti ajabu kabisa kweli hiidunia asaivi mtihani
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Күн бұрын
Mashaallah
@Nuruyasunnah.official_tv
@Nuruyasunnah.official_tv Күн бұрын
Sasa hiyo picha ya Abul fadhwl qassim mafuta inafanya nini hapo enyi wazushi masufi
@NaifatiZakaria
@NaifatiZakaria Күн бұрын
shekh me nimenyolewa nyuma ya kidogo ila nikitumia chumvi ya mawe kuongea kidogo imenisaidia
@NoordinAslam-p2l
@NoordinAslam-p2l Күн бұрын
Unafwata Matamaniyo ya nafsi Yako mzeeee
@NoordinAslam-p2l
@NoordinAslam-p2l Күн бұрын
Wewe ndo mupumbafu KBS kwani muzushi akifa si raha!
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 8 минут бұрын
Ww ndie pumbavu na sio shekhe komodo mkubwa
@AishaAthimani
@AishaAthimani Күн бұрын
Mashaallah shukrani shekh
@YusufuMustafa-c5m
@YusufuMustafa-c5m Күн бұрын
Nyie masufi mcheni Allah,Ninyi masufi ndugu zenu ni mashia na wakristo mnapendana mpaka sheikh wenu akaomba kwa jina la yesu halafu mnateteana. Juzi sheikh wenu anasema anawaamrisha majini na malaika kumombea raisi hiyo ndio dini yenu weingine watabiri wa nyota waganga wa kienyeji,wapiga ramli sasa wamekuja mashekhe wakisalafi kubainisha haki na kutahadharisha watu na shirki na bida'ah ndio mnawatangazia ubaya kwa kuwazulia Uongo ila Allah atawaumbua tu. Kazi kujipendekeza kwa viongozi wa nchi mpaka mnaificha haki na kutetea batwil
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 9 сағат бұрын
Duh anatafuta kula tu kaka njaa mbaya inaleta kufru
@MuniroZanaria
@MuniroZanaria Күн бұрын
Maajabu ya Mahina matukufu mawili mawili ya awallu na ya akhiru
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 Күн бұрын
Wewe unasema kuitwa kurafi khurafi haifài mbona Sasa wewe unawaita watu mayahudi kumbe na wewe ni walewale
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa Күн бұрын
Na nyinyi mbafilike wacheni siasa kwenye misikiti acheni mauzushi fateni Quruani na Sunna kwani nyny ndo wale mashekhe wanaozoka kondoa akiwa hai hebu achene tuwe wakweli si usiku mnajificha halafu mchana mwajifanya wachamungu kumbe kazi Kila mali za waislam mataenda kujibu
@abdulshariff-hf2ih
@abdulshariff-hf2ih Күн бұрын
Wakenya waislamu pia tumepata pigo tulimfwatilia sana kwenye mitandao khutba na mijadala yake Allah amrehemu na ampe Pepo inshallah
@AbuuFardausmiraji
@AbuuFardausmiraji Күн бұрын
Shekh huyu mtu kashaomba radhi kwa kosa lake sisi tushamsamehe tunamuombea allah amsamehe sasa nawe unalifanya kosa alilofanya yeye unamtukana na unampa sifa ya upumbavu jina la mpumbavu na hapo unanukuu Surat hujraat nakukumbusha Shekh Mimi ni mfuasi tu bali nafaa kukunasihi kwa kua unaamini kua huyu aliefurahia kifo cha Shekh abuu idd ni muislam basi ingetosha tu kumuambia amekosea bila kumtukana kwani kumtukana muislamu ni ufaasiqi na kumtukana asiye muislam ni utovu wa adabu Mtume anasema kumtukana muislam ni ufaasiqi Pia akasema tangamana na watu kwa tabia njema mwalimu kaniambia hapa imekusudiwa kila mtu kwa hio uislamu hauruhusu kumtukana mtu wala kurudisha tusi kwa alietukana mola wetu mlezi twakuomba kunjua vifua vya viongozi wetu na tia ulaini ktk ndimi zao aamin.
@mohamedkhalifa5764
@mohamedkhalifa5764 Күн бұрын
Ukishajiunga tu na Uwahabi Tabia zote Nzuri zinakuondokea hata Wazazi wako unawadharau Allah tuhifadhi na Uwahabi
@shufaakazembe1756
@shufaakazembe1756 Күн бұрын
Nakupataje sheikh nashida na wewe
@salmathassan7272
@salmathassan7272 Күн бұрын
Allah amrehemu. Amiin