Пікірлер
@VenaEliki
@VenaEliki 12 сағат бұрын
Msigwa achukue fomu ya urais ccm maana chadema hakuna haki
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 18 сағат бұрын
Kama ndivyo usemavyo, tatizo ni uelewa tu wa wananchi na kusaidia hilo waelimishwe kutumia taasisi kama TLS kuwasaidia kupata haki yao ya uhuru wa kuuza mali zao kwa wanunuzi wawatakao.
@TimasMwambene-n7o
@TimasMwambene-n7o 21 сағат бұрын
Kwa sasa mlinzi wa haki ni Mungu tu maana utekaji umeanza kutisha.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 21 сағат бұрын
Hakuna njia nyingine CT wazalendo cuf chadema taasisi binafsi kwenda temeke police waulizeni wako wapi Hawa vijana hawataki Sasa hivyo vituo vya police vya nn eneo la temeke na asheme nyingine km sio police sio salama kwetu Sasa za nn nchini kwa nn tupelekwea police sio salama kwetu akija mtaani popte nchi ni wananchi kuwagomea kwa ushikirikiano mpaka kieleweke hao wabunge fukuza na mawe popote pale garage za serekali ni adui kwetu Sasa tuanalalamika nn wakati tushaona hako salama
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 21 сағат бұрын
Time of westing in opposition case curt Becouss ccm leadership wich pay all thouse gavment official expectations opposition will be no solution only pablic reaction agest tanzania opposition disupier from police hand lazima tuchukue hatua kwa umoja wetu weka kampani na mikakati ndani ya daresalama CT wazalendo cuf chadema na taasisi binafsi viongozi wa dini asiokunali kuandamana huyo lazima awe ni adui watanzania bila hayo ccm lnakwenda kuua upinzani nchini
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 23 сағат бұрын
Maypppppppp twafqa
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 yangu jameni
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Күн бұрын
Kimbe upo sawa
@WilliamChaponda
@WilliamChaponda Күн бұрын
Duuuh Wapendwa...upepo huo umetokea wapi tena.???? Mbona miaka miwili hapo nyuma.tuliishi kwa amani sana..nani karudi na roho hiyooo???? Kama yupo, Mungu hapendi..na siku zake zinahesabiwa
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Күн бұрын
Ni aibu kwa awamu ya sita, RIP JPM
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 20 сағат бұрын
Magufuli ndiyo chanzo Cha watu kutekwa utekaji ulianzia kipindi Cha magufuli kile aliyekuwa ana mpinga aliyetekwa na wote hao mpaka sasa hawajulikani walipo
@janejoel2465
@janejoel2465 Күн бұрын
Hapo kaongea ukweli wake utashangaa kapotea na yeye , aisee tz inaogopesha sasa hivi
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
Mbona utawala wa mwalimu nyere haukuwepo huu ujinga Hawa ccm wamejipanga Kila Kona kuzulumu watanzania kwa hali na mali nchi ya kibepari ulime wewe ufuge wewe uhangaike wewe ktk mavuno tuu wewe unakuwa bwege watu wasiteseka ktk kufuga kulima kutunza wafanya biashara kujipanga serekalini jinsi ya kuhujumu watanzania ndio maana tunasema tuungane kumkabila mwenyewe nguvu
@charlzmboya
@charlzmboya Күн бұрын
UTEKAJI umeshamiri nchini hali mbaya ya uchumi Vijana hatuna ajira .. semeni
@charlzmboya
@charlzmboya Күн бұрын
Hongera sana makamanda wetu tupo pamoja
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
Waacha watupige wapiga deal nyuma ya police Kila siku ktk taifa police ni makada wa ccm Sasa nani yuko salama toka mashambani mpaka serekalini
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
Ujinga wetu wenyewe mkoa wa singida ni watu wa singida wanaoishi popote pale mwenzio ananyanyaswa wewe unasemaje haya kuhusu kumbe ushirikino wenu kwamba tunataka rasilimali zetu zilete maendeleo ktk mkoa wetu mkiona hakuna ni kuchukua hatua ktk ushirikino wetu wa pamoja hivi sisi watanzania lini tutamka kujitetea wenyewe kwa umaja wetu kama vile kukataa ujinga mkuu wa mkoa anaishi ktk ofisi yake amkeni tumieni nguvu zenu za pamoja ili katibu tarafa mkuu wa wiliya mkuu wa mkoa yupo chini yenu mkiamua watawafuata nyinyi
@patsonmwalwiba3423
@patsonmwalwiba3423 Күн бұрын
Hatari sana
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Күн бұрын
Mafisi ni korona la taifa
@rasnchimbi
@rasnchimbi Күн бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 Күн бұрын
Huyu dogo ana akil sana
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Күн бұрын
Umeongea ...mbegu ya mageuzi na mapinduzi......
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 Күн бұрын
4 R zinafanya 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 күн бұрын
4R and CCM party ideology are not compatible.CCM ideology,manifesto and constitution do not present the current turmoil.What has happened to government policies and the subsequent legal regime in the country to create this disturbing situation where young citizens are illegally hurt and little responses are summoned to responsibility.
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 2 күн бұрын
😅Umenena bro ccm wanatangaza amani huku wameshika panga Mkononi Mungu ni mwema karibu kunapambazuka
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 күн бұрын
💪💪💪💪
@MursalJuma
@MursalJuma 2 күн бұрын
Maaskari hao tunawavungia tu iko siku tutawafata huko kituon
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU 2 күн бұрын
Wachapn haw Wana ccm kwa hoja jap hawkubar kira his👏👏👏👏
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU 2 күн бұрын
Ongeza baba✌️✌️✌️
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 3 күн бұрын
Du
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 3 күн бұрын
Hicho cha kumshukuru Mungu ulichokifanya amini Alie juu atakulipia mkuu
@emmanuelindosi2159
@emmanuelindosi2159 3 күн бұрын
Cha ajabu mamlaka haijaesema jambo Kwa sababu haioni maana ya kuwasemea....
@camilomassao8971
@camilomassao8971 3 күн бұрын
Politics politics politics 🤣🤣🤣🤣🤣
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 күн бұрын
Hongela kamamanda MUNGU nimwema aendelee kuku imalishaa zaidii
@ariibahati3414
@ariibahati3414 3 күн бұрын
Laana hii ya kuua kudhulumu, kuonea nk haiishii hapa, inaingia hata kwa vizazi vyao, wasifikiri Mungu haoni maonevu haya. Wamisri walipata mapigo Hadi uzao wao wa kwanza hadi wa mifugo yao viliangamizwa... Watafakari kabla... ,
@LinucJacob
@LinucJacob 3 күн бұрын
Nawapa Pole viongozi na wanachadema wote waliopatwa na madhira hayo kutoka Jeshi la polisi.Kwaufupi naamini watanzania walio wengi wameona na wamejua ushering waliofanyiwa wenzetu Naamini chakufanya wanakijua kwenye sanduku la kura na wakitumia mbinu za NAPE kitakachotokea watakiona.
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y 3 күн бұрын
Tulia alifanya kazi yake
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 күн бұрын
Kamanda umenyooshwa na makamanda wenzako
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 3 күн бұрын
Poleni sana chadema Mungu yupo upinzani sio dhambi
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 3 күн бұрын
Mungu ni mwema siku zote
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 күн бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 3 күн бұрын
Upinzani sio dhambi hata siku Moja tukumbuke wale Mafarisayo na Watoza Ushuru ,Siku ya wisho au siku ya Hukumu MUNGU anakazi sana inaumiza sana kuona wa Kimwili ndo wanapambania HAKI kuliko wale wa Kiroho pia nawaobea Kwa MUNGU wote wale waliotangulia Mbele ya HAKI Kwa KUPAMBANIA HAKI pia wanoua kumbuka naowanawatoto hujui hicho kizazi Chako kitakuwa na nani?
@RockusssySanka
@RockusssySanka 3 күн бұрын
Wapenda Haki wote , Kitendo cha kuvamiwa na Polisi ofisini na Kupigwa bila hatia yoyote ni kitendo cha kikatili na cha kudhalilisha sana . Haya yote ni kwa sababu ya Kukosekana kwa Utawala Bora wa sheria wa nçhi yetu. Sheria mama ya nçhi ndiyo tatizo kubwa ,kwani haiwawajibishi Viongozi wa nçhi . Kwa sasa kinachotakiwa ni kupigania ipatikane KATIBA na hasa yenye mapendekezo ya Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba. Watawala wanajidanganya sana kwa kudhani kuwa wakitumia vyombo vya Dola kuwatisha watu wataacha kudai Haki za msingi. Kwanza watu wanaendelea kupata UJASIRI kuliko huko nyuma . Matokeo ya haya kwa siku za usoni hayatakuwa mazuri .
@BlessMwangosi-mz8dw
@BlessMwangosi-mz8dw 3 күн бұрын
Tukopamojakamanda❤🎉
@TumainiMaswanya
@TumainiMaswanya 3 күн бұрын
Mh. Mungu ni mwema. Endelea kumwamini ns utaonja matanda ya nchi
@user-hj1nk2wu1n
@user-hj1nk2wu1n 3 күн бұрын
Mungu yupo pambana nasi tupo nyuma yako
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 3 күн бұрын
Hongera bro, Sugu the mwamba!! Dhahabu yawezaje ng"ara bila kupitia moto? Polisi wamekung'arisha, man!
@amanmwalyambi1416
@amanmwalyambi1416 3 күн бұрын
Sugu kuna uvumi unaendelea eti unaenda kugombea makete toka hadharani kukanusha
@MichaelChombo-w2u
@MichaelChombo-w2u 3 күн бұрын
Sugu tuko pamoja,wewe ndiye mbunge wa mbeya ndo maana hawa jjamaa hawalali usingizi
@user-gc7ft9do4e
@user-gc7ft9do4e 3 күн бұрын
Mungu yuu mwema
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 күн бұрын
Msikubali watu kupotea ccm lnakwenda kuua upinzani kazi ya siasa ni ngumu pale inapotikea watawala kutumia Saba usalama wa taifa na police soka tusikubali wekeni watu barabarani ili viongozi hao waachiliwe huru bila hivyo hata uchaguzi hatutuweza fanikiwa kulinda kura hapo daresalama viongozi wote wa chadema wapewe malekekezo kukataa zote daresalama na viongozi wa juu kutoa tamko mji wate wa daresalama kuandamana waachiliwe huru soka na viongozi wengine call all chadema political wing and sapotor rengforce unity in daresalama let soka free from police lteligince and ather chadema political wing