Assalamualaikum sheikh Ii imetoka kwenye khutba gani
@faridahalwaily853 ай бұрын
Astaghfiruh Allaah dhaanaah mbayaaa
@JUBRANBULAYHl-yb4ke3 ай бұрын
Jua ewe Sheikh kwamba si uchawi wala bishara, kwani Mwenyezi Mungu akimtakia kheri mja wake humpa, na Mwenyezi Mungu akimtakia shari mja wake, humtesa. Jua, Mwenyezi Mungu akulinde, kwamba sio hewa, bali uaminifu na uaminifu. Yeyote anayempa mtu ahadi, amana, au kiapo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, basi lazima atimize, kama alivyosema Mwenyezi Mungu Mtukufu katika wahyi madhubuti wa Qur'ani Tukufu, Aya hii: “Na timizeni ahadi ya Mwenyezi Mungu mtakapo ithibitisha. , na mkataba Wake mtakapouhitimisha, na mmejiwekea haki kwa yule mliyefunga naye na mmemuamini juu yake.” (Wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha) maana yake, baada ya kuviimarisha viapo vyenu, mkavunje viapo vyenu na kulala navyo na kuvivunja baada ya kuvimaliza. Mwenyezi Mungu Mtukufu ni mkweli, na Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema katika wahyi madhubuti wa Qur’ani Tukufu, aya: “Na ikiwa nyinyi mnaona ndani yao hukumu iliyo sawa. Basi wakabidhi mali zao na utimize ahadi uliyo fungamana na Mwenyezi Mungu na viumbe. {Hakika ahadi itaulizwa.} Yaani tutaulizwa kuitekeleza au la. Mkiitimiza basi mtapata malipo makubwa, na msipoitimiza basi mtabeba dhambi kubwa. Mungu Mwenyezi ni kweli. Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema katika wahyi madhubuti wa Qur’ani Tukufu, Aya hii: “Na timizeni ahadi ya Mwenyezi Mungu mtakapo ifunga, wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha, na hali mmemfanya Mwenyezi Mungu kuwa ni mdhamini juu yenu. Hakika Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yatenda. Wala msiwe kama yule aliyeukunja uzi wake unaosokotwa baada ya kuwa na nguvu na kuchukua nyuzi [nyingine]. Viapo vyenu vimekuwa chanzo cha fitna baina yenu, isije ikawa taifa moja kuwa kubwa kuliko taifa jingine. Hakika Mwenyezi Mungu anakujaribuni kwa hayo tu, na kwa yakini atakubainishieni Siku ya Kiyama mliyo kuwa mkikhitalifiana. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu ange penda angeli kufanyeni umma mmoja, lakini humpoteza amtakaye na humwongoa amtakaye. Na bila ya shaka mtaulizwa yale mliyokuwa mkiyatenda. Ewe Mwenyezi Mungu, nipe kauli na ubainifu kuhusu waja wako wema na uwezo wa kuhukumu baina yao kwa haki, uadilifu na uadilifu. Na umbariki bwana wetu Muhammad na aali zake, Ewe Mwenyezi Mungu. Na maswahaba zake, rehema na amani ziwe juu yao wote, ewe Mwenyezi Mungu, Amina, Mola Mlezi wa walimwengu wote☝☝🤲🏼🤲🏼☝☝
@DinhoAufiAlmasse5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohamedjakaya53555 ай бұрын
Yaani waumini mkimaliza swala tu mnaondoka duu! Kama mmegombana vile jamani sasa hata hiyo jamaa ni yanini?
@FrankRamadhani-vq6xy5 ай бұрын
Napenda Sana mawaidha yako xhekh wangu Allah azidi kukuweka tuzidi kupata faida
@asilahassan99654 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@mhusinigau32316 ай бұрын
Huyu dokta jinga tu. Yaani ana uhabi golo kbs mm nilijua kasoma dini mpk kapata udokta kumbe kasoma uwahabi
@HashimSalim-qj7zn3 ай бұрын
Akili huna Allah akuongoe maana hujui suna nini mpaka leo umefunikwa ni uzushi
@mhusinigau32313 ай бұрын
@@HashimSalim-qj7zn yaani ww ndio wa kunifundisha Sunna ww. Kwani ww ni muhabi mbona imekuuma
@HashimSalim-qj7zn3 ай бұрын
@@mhusinigau3231 Sasa nisikufundishe kwa nn km huijui
@Erick-yx2df7 ай бұрын
Shekh hlo kla sehem hufanya hvy
@abubakarsaid39767 ай бұрын
Alhamdulillah
@ahmedmohammad51458 ай бұрын
Mashaallah. Allah. Akuhifadhi. 4:29
@ahmedmohammad51458 ай бұрын
Ahmed. Mohamed. Omar. 3:08
@aminahkimwana1099 ай бұрын
Mansha ALLAH
@manmudogo29 ай бұрын
Subhanallah
@abdullahhashim-lz5by9 ай бұрын
Mashallah
@aminahkimwana1099 ай бұрын
Mansha ALLAH ❤❤❤❤
@aminahkimwana10910 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ShuaibNyembwe10 ай бұрын
لإ له إلا الله ،الله أكبر😢😢
@kaleali600910 ай бұрын
Kweli kabisa sheikh
@yusufathman247810 ай бұрын
Maa shaa allah sheikh
@patrickvieira886611 ай бұрын
Mashallah
@aminahkimwana10911 ай бұрын
Mansha ALLAH napenda sana ujasiri wako nakupenda kwa ajili ya ALLAH ❤❤❤❤❤
@AbduulAli-c2h11 ай бұрын
Jazakallahu fikum Ali
@shuwehaharuna630911 ай бұрын
MashaAllah ila jaribu kuongea kwa haraka kidogo
@Hassan_Bamatraf11 ай бұрын
Masha'Allah barakallahu fik Ustadh ali
@aminahkimwana10911 ай бұрын
❤❤❤
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
❤❤❤
@AsiaMohammad-i4s Жыл бұрын
Mashalla ❤
@fatumatsopa5578 Жыл бұрын
Sheikh Ali uula keep it up
@khamisisongoro7442 Жыл бұрын
Shukran sheikh kweli
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
NAAM SHUKRANI SHEKH WANGU ALIY ABUBAKARI
@annanzallo1150 Жыл бұрын
Subhana Allah
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
Mansha ALLAH twa kupenda kwa ajili ya ALLAH ❤❤❤
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
❤❤❤
@saidmruu5897 Жыл бұрын
Sheikh niko na ombi insha ALLAH...lifanyie kazi.. Naomba usome Qur'an japo juzuu ama iwe kwa KZbin ama application napenda qiraa chako akhi
@aliabubakarali01 Жыл бұрын
INSHAALLAH
@saidmruu5897 Жыл бұрын
Masha ALLAH ALLAH akuhifadhi sheikh...NAKUPENDA kwa ajili ya ALLAH
@yassinm69 Жыл бұрын
Shekh Ali nafuatilia darsa zako
@rushu1232 Жыл бұрын
Sauti gani ya ngoma ya nyimbo laila haila Allah sio uwisilamu.
@mwalisuleih1164 Жыл бұрын
Laailahaillallah Muhammad rasuulullah 😢😢😢
@HarunakhalidKombo-jg2bf Жыл бұрын
Maashaallah.
@massoudsaid765 Жыл бұрын
ماشاءالله ❤ماشاءالله ❤ ماشاءالله❤
@safiyasalim371 Жыл бұрын
Kweli kabisa shekhe
@HassaniChausa Жыл бұрын
Mashaalla
@RehemaWere Жыл бұрын
Subhanallah, tushaitolewa hiki kisa kwa mosque ni ya huzuni, na tunaambiwa mama ndo mlango wa pepo akifariki na mlango wako wa pepo unafunwa😢, Ya Allah tulio na mama Allah awazidishie maisha marefu katika Dunia na kesho akhera🙏
@omarally6819 Жыл бұрын
Duh! Mtihani mzito, Allaah atuongeze
@abuujuhaima5588 Жыл бұрын
Kisa cha uongo kabisa, na kuna maswali mengi yakujiuliza 1.Mwanzo ulisema nikibunda chapesa, kweli unaweza kukichomeka kwenye Msahafu halafu kisionekane 2.Kweli hawasomi Qur'ani lakini ndio miezi6 yote pasifanyiwe usafi pale kwenye Msahafu...! 3.Na kwa Imani aliyokuwanayo huyo mwanamke mbona ni mbali sana na yule asiyeisoma Qur'ani kwa muda mrefu....?
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Kwaakili Yako Nisawa. Maana Kila Kitu Nikupinga.
@imraniseifu25087 ай бұрын
Mawahabi kilakitu nikupnga ikiwa mtu wawo ndo anaongea vinakaaga kimya sana