Пікірлер
@PatriciaSidi-c4w
@PatriciaSidi-c4w 13 сағат бұрын
Mungu awe nawe daima Pastor kwa kumukomboa Mtumishi wa Mungu Rose muhando❤❤❤❤
@davidmwamakula3944
@davidmwamakula3944 Күн бұрын
uchaguzi wa haki kwiyooo 😅😅😅😅😅😅😅😅to
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u Күн бұрын
Ccm tenda haki na kweli hongeren mtendaj mungu akubariki sana kwa kusema vizuri hivyo basi usije ukageuke maana imeonekana kuwa wewe ni mtu wa mungu ccm hawatetei watu wanaotekwa na kuuwawa na kupotezwa.
@Malugumayenga-y3v
@Malugumayenga-y3v Күн бұрын
Washamba kumbe bada mpoo wengi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Күн бұрын
Misukule hiyo elf 10 tu wamenyanyuka mitego ya fisiemu
@MoreenMichaelmichael
@MoreenMichaelmichael Күн бұрын
Mhhhh huyu mdada mbona maelezo hayaelewek
@anwarKhan-gn6yt
@anwarKhan-gn6yt 2 күн бұрын
Hakuna diwani hapo
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 2 күн бұрын
Shangilieni sana mtajutia baadae
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 2 күн бұрын
Imeisha hiyooo
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 2 күн бұрын
Uyu dada anachanganya sana maelezo asipo angalia anaweza kuwa shahidi
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 2 күн бұрын
Mwambieni huyo Mtendaji chama kikubwa ni kimoja duniani ni ccm tu
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 2 күн бұрын
Ccm hoyeeee
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 2 күн бұрын
Mafisiem hayana sifa za kuongoza Taifa hili tena! Ni jukumu la Wananchi kupiga kura na kuchagua Viongozi wanaofaa kutoka upinzani! Kama ccm miaka yote mlishindwa kutetea Wananchi leo ndiyo mtawatetea? Uchaguzi ukikaribia mnakuja na maneno matamu ya kulaghai Wananchi! Wananchi amkeni msidanganywe na pesa za kwenye kampeni! Baadae mtazijutia! Wauza rasilimali za Taifa, watekaji na wauaji hawafai tena kuongoza Taifa letu! Mungu tunaomba usimame na wenye HAKI, Amen.
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 2 күн бұрын
Wananchi amkeni tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai Katiba mpya, tuikatae ccm na vibaraka wake wote uchaguzi huu kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais. Msiwachague hawa mashetani wauza rasilimali za Tanganyika, Watekaji na wauaji! Haya yakirudi madarakani Wananchi mtajutia!
@benakizmannews
@benakizmannews 6 күн бұрын
Mungu ni mwema sana
@apostledavidisimon8179
@apostledavidisimon8179 7 күн бұрын
Hongereni Sana Madiwani kwa kutambua Mchango wa MH. MKUU WA WILAYA SOLOMON ITUNDA NA MKURUGENZI CESILIA KAVISHE.
@jeanmarieirankunda-ww4bn
@jeanmarieirankunda-ww4bn 8 күн бұрын
Siasa ya Tanzania inachemshwa na sugu ,makonda pamoja na lissu
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 9 күн бұрын
Wazee wa maandamano kwisha
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 9 күн бұрын
Kwisha kivipi, hata waondoke Mia, chadema iko imara sana
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 9 күн бұрын
@@philemonsnyanda9450 sawa niko pale nikingoja matokeo yakishatoka naomba unishtue
@koletakilasa5988
@koletakilasa5988 11 күн бұрын
Poleni jamanii😢😢😢
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 11 күн бұрын
Naona unajikanyaga tu
@LangiMwampamba
@LangiMwampamba 11 күн бұрын
Unaongea hivo kwasababu chadema imekulea na umepata umaarufu wale walikuwa huko kabla Yako wanaumaarufu gani siasa siyo kuangalia nyumbani kwenu tuu angalia pia maeneo mengine ujitoe Kwa kuwasemea uwe mbuge wao hata kama hujachaguliwa
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 11 күн бұрын
Wewe sio chawa ujatumia sanaa ya mwalim nyerere kama uchawa mwenzako ni lijinga la kiwango cha ovyo kujipendekeza unaachaje jina la baba yako utumie jina lamtu maatufu au kiongozi utupe jina baba yako upumbavu na uchawA
@ashaali7154
@ashaali7154 11 күн бұрын
Waandishi ni wachochezi tu kama familia imeamua watafanya wao sio kuwatumia nyie muwasemee hebu acheni chokochoko.
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 11 күн бұрын
SILAZIMA KUIGA WATU NA WENGINE WALA HATA HAMUWAKARIBII NI NJAA TUU
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 11 күн бұрын
mnajichanganya unawezaje kukataa jina unalopewa na watu?? UNAFIKI
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 11 күн бұрын
Kweli watu wamechoka na Sacco's hii ya mangi ! Jamani watu wamechoooooka !
@allyshaban406
@allyshaban406 12 күн бұрын
Tunaona na yapo acheni uzwazwa
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 12 күн бұрын
Mlikataliwa wakurugenzi leo mnalalamikiwa watu wanataka tume nyinyi mnalazimisha
@keithapeter7854
@keithapeter7854 12 күн бұрын
Kujieleza tu wanatetemeka
@keithapeter7854
@keithapeter7854 12 күн бұрын
uroho WA madaraka tu
@josephmasebo6761
@josephmasebo6761 12 күн бұрын
Good
@HelenikoBusagara
@HelenikoBusagara 12 күн бұрын
hakuna lolote hapo
@user13375
@user13375 12 күн бұрын
Jibu rahisi tuu, wewe sio chawa kama....
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 12 күн бұрын
Ewaaaaa ww ndio umenyoosha
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 12 күн бұрын
Kuanzia leo. Nyie ni misukule hamjitambui
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 12 күн бұрын
Nunua. Nunua wakati. Wa manunuzi huu hamtaweza chadema chama kubwa magufuli. Alinunua mwisho. Wa siku. Alihujumu uchaguzi
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 13 күн бұрын
Chadema wamechoka wanatafuta PA kutokea
@ShibobMaster
@ShibobMaster 16 күн бұрын
Pamoja sana kaka mkubwa unyama
@ShibobMaster
@ShibobMaster 16 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@ShibobMaster
@ShibobMaster 16 күн бұрын
Pamoja sana kaka mkubwa
@DanielKabika-h9k
@DanielKabika-h9k 16 күн бұрын
Hongera sana
@cletusmwanauta9798
@cletusmwanauta9798 16 күн бұрын
Hongera kwake
@michaelnkoswe1243
@michaelnkoswe1243 16 күн бұрын
Mama jembe
@boychidu
@boychidu 17 күн бұрын
TUNDUMA OYEE 🎉NENDENI KWA WINGI MKAJIANDIKISHE
@BertishebaMwantimwa
@BertishebaMwantimwa 17 күн бұрын
G sorry inaitwa je hii bendi
@nyumbanituthegendaheka7222
@nyumbanituthegendaheka7222 19 күн бұрын
Sio asili ya iringa...Asili ya wabena wa njombe...mnachukua tu vitu vya watu alaf mnawakilisha mtakavyo bila maana halisi
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 20 күн бұрын
Bahati kubwa sana🎉🙏😊
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 25 күн бұрын
Pole sana baba
@mifwanyalu4573
@mifwanyalu4573 26 күн бұрын
Mungu wa mbinguni akuinue juu sana D NASSE
@SALOMEMWAKATWILA
@SALOMEMWAKATWILA 28 күн бұрын
Dah kikosi changu
@edwardmwita1559
@edwardmwita1559 29 күн бұрын
🙏🙏🙏