Nimefurahi sana kusikia party 2 Mungu ni mkubwa sana tumeoba watu wengi sana wametenda makubwa kutokea chini kwenye dhambi ex Saul ambae alikutana na Yesu alabadilika akawa Mtume mukubwa neno la msingi ukiona watu wenye dhambi tuombe wajue Jesus kwa sababu alitufia sote na kila mtu ana kazi alioitiwa kufanya duniani hongera sana sana nimetamani kipawa chako kabisa kabisa.Jina la Bwana lipewe sifa milele na milele.Amina
@UwaseAlexia-zo5wf10 сағат бұрын
❤❤❤
@immaculeenganyira2969Күн бұрын
😃😃😃abana ni abatagatifu ♥️♥️bati areberera inzuki🤦♀️🤦♀️amahane y’abanyarwanda nink’ayinzuki nubundi 😝