Mungu awalinde sana na majaribu yanayowalenga waimbaji. Hika za mwovu kuzima sifa za Mungu katika uimbaji. Omba sana sana.
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE25 күн бұрын
@@rebekah7576 Amen Mtumishi, Mungu atubariki sote na azidi kututunza na tuzidi kuombeana katika utumishi huu. Asante
@shadrackeliaza288526 күн бұрын
Nahitaji Album hyo
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE25 күн бұрын
@@shadrackeliaza2885 Karibu Mtumishi, Albamu ipo ya Audio na Video katika mfumo wa flash, Softcopy na ata katika mfumo wa CD ukipenda. Wasiliana na 0788752535 Olimpa Chedy M/kiti wa kwaya.
@happycharles3585Ай бұрын
Kwakweli wimbo huu mlitumika iposwavyo mbele zamungu niseme tu mungu atupe maisha malefu ipo namimi nitaguswa kutanga nyimbo nitawaletea kamazawadi mufanyie kaz
@KKKTKWAYAKUUTEMEKEАй бұрын
@@happycharles3585 Amen, Mungu akubariki Mtumishi wake na asante kwa kututia moyo. Tunakukaribisha sana kwa huduma hiyo KKKT Usharika wa Temeke Wailes - 0713146441. Asante
@lordorcas93442 ай бұрын
L’armees de L’ETERNEL Le Dieu des L’Univers ❤
@alphayomogunde78283 ай бұрын
Ombi langu ni nawaombea zote tukutane kule mbinguni ambapo akutakuwa mauti,Amen 🙏🙏🙏🙏❤️🙏❤️🙏 from mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
@byelabandio60243 ай бұрын
Muda huu ambao kazi inanichanganya, this is exactly what my soul needed to feel am loved by god and man too.
@KKKTKWAYAKUUTEMEKEАй бұрын
Amen. Mungu akubariki mtumishi wake
@ВикторД-ь5е3 ай бұрын
Да будете благословенны и да пребудет с вами Господь до коле он приедет, привет из России
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE17 күн бұрын
Amen, May the Lord Bless us all. Thank you for your courage and blessings. We are looking forward to release a new Album in April (English translated) please stay tuned.
@wiza23093 ай бұрын
Kumuimbia Mungu ni raha sana, Tunaimarika mwili, nafsi na Roho
@shadrackeliaza28855 ай бұрын
Mungu ashukuriwe wimbo mzuri sana nabarikiwa sn na wimbo huo
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE4 ай бұрын
Ame, Mungu atubariki sisi sote. Asante kwa kututia moyo katika utumishi.
@busaraclemence44476 ай бұрын
wimbo safi, watu safi mazingira safi, Mungu awabariki
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
Amen, Mungu atubariki sote. Asante kwa kutusapoti na kututia moyo
@happycharles3585Ай бұрын
Mungu awape maisha malefu nabalikiwa sana nyimbo zenu
@happycharles3585Ай бұрын
Safali yakumwimbiy mungu sioutani wapendwa hususani kwayakuu hongeleni san shikaneni hivyo hivyo wanamungu
@mrswishponda66116 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
Amen, Mungu atubariki sote. Asante sana kwa kututia moyo na kutusapoti
@deborahmgedzi6326 ай бұрын
❤Mungu Baba Mwenyezi Awabariki Sana.
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
@@deborahmgedzi632 AMEN. Mungu wa Mbinguni atubariki sote.
@BraysonMsuya7 ай бұрын
Mungu awab riki.....
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE7 ай бұрын
@@BraysonMsuya @happinessmwanguo8200 AMEN, SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU. MUNGU AKUBARIKI KWA KUTUTIA MOYO.
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE7 ай бұрын
@@BraysonMsuya @happinessmwanguo8200 AMEN, SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU. MUNGU AKUBARIKI KWA KUTUTIA MOYO.
@miriammwakibibi7 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
Amen. Mungu atubariki sote. Asante sana kwa kututia moyo na kutusapoti
@adelinajoel4008 ай бұрын
Mungu awenanyi kwenye uwimbaji mzuri sana,
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE8 ай бұрын
Amen, Mungu atubariki sote na kututunza. Asante sana
@tsumiduwe14068 ай бұрын
huu wimbo mzuri i wish one day niwaone waimbaji hawa live ehh Mungu nisaidie
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE7 ай бұрын
@@tsumiduwe1406 @happinessmwanguo8200 AMEN, SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU. MUNGU AKUBARIKI KWA KUTUTIA MOYO NA KARIBU SANA USHARIKA WA TEMEKE
@polycarpcleophace32619 ай бұрын
Mbarikiwe sana! Wimbo mzuri sana umejaa mausia yanayoleta tafakari ya ndani
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE9 ай бұрын
Amen, Ubarikiwe pia Mtumishi. Hakika ni wimbo unaotukumbusha kutafakari njia zetu.
@happinessmwanguo820010 ай бұрын
Wimbo mzuri sana❤
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE7 ай бұрын
@@happinessmwanguo8200 AMEN, SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU. MUNGU AKUBARIKI KWA KUTUTIA MOYO.
@adelinajoel40011 ай бұрын
Mungu awabariki kwa wimbaji mzuri na sauti nzuri sanaaa.
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
Amen, Mungu atubariki sote. Asante kwa kutusapoti na kututia moyo
@dorikaluwanja11 ай бұрын
Hongera Kwaya Kuu Temeke 3:02 kwa uimbaji mzuri. Mbarikiwe saana.
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
Amen, Mungu atubariki sote. Asante kwa kutusapoti na kututia moyo
@heavenlightnessmasaki8141 Жыл бұрын
Napendaga Sana kwaya kuuu❤❤❤❤❤
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Amen, Asante sana Mtumishi. Mungu akubariki
@FrankBSanare-pi8hr Жыл бұрын
Nawapenda bureeeee 🥰🥰🥰🥰🌹🌺🌷🌷
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Amen, Tunakupenda pia Mtumishi wa Bwana. Asante kwa kututia moyo Mungu akubariki
@PriskasatielSatiel Жыл бұрын
Mungu awabalik sana
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
Amen, Mungu atubariki sote. Asante kwa kutusapoti na kututia moyo
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Amen, Hakika Duniani tu wasafiri. Mungu akubariki Mtumishi wake
@JafetMwansasu Жыл бұрын
Waluteri wenzangu kimbilio letu ni mbinguni hapa duniani tunapita2.Mungu atuxamehe katika mengi
@walterokuli7782 Жыл бұрын
Nice song 👏
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Amen, Thank you Sir!
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
God Bless you!
@lidyamasaki315 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa uimbaji wenu ,wimbo mzuri umenibariki mnooo
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Ameen. Mungu atubariki sisi sote. Asante kwa kututia moyo
@irenemmari5054 Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu kazi yenu ni njema sana
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Ameen. Asante sana Mtumishi kwa kututia moyo. Mungu akubariki.
@lovelysiao Жыл бұрын
mungu akubariki sana naatunze kipawa chako daima🙏
@lovelysiao Жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana 🙏👋
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Amen Mtumishi. Mungu akubariki sana
@lovelysiao Жыл бұрын
@@KKKTKWAYAKUUTEMEKE amen
@lovelysiao Жыл бұрын
Munngu Awabariki sana awafanyie wepesi kila siku na kufanya sauti zetu nyororo zaidi
@augustinotendwa8425 Жыл бұрын
Nawaopenda wapendwa mbarikiwe
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Ameen. Mungu akubariki Mtumishi. Asante kwa sapoti
@LilianAlfredShelughala-rl7ro Жыл бұрын
Mm nawapenda mno
@joycethomas7918 Жыл бұрын
Wanakwaya nawapongeza sana sana mmeimba vizuri sana. Mungu awabariki kwa kuitangaza Injili ya Mungu kwa njia ya uimbaji. HALLELUJAH
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Amen. Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa kututia moyo. Mungu Akubariki!
@kenethlulenga6856 Жыл бұрын
Kwanza nawapenda na ninaomba mungu wa mbinguni awape Amani ya kuendelea kuimba
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE Жыл бұрын
Amen. Tunakupenda pia Mtumishi wa Mungu. Asante kwa kututia moyo.
@Dotto192 жыл бұрын
Amen
@Dotto192 жыл бұрын
Asanteni sana KWAYA KUU Temeke. Mungu awabariki sana🙏🏾🙏🏾
@witnessmuchunguzi19282 жыл бұрын
Mungu Awabariki🙏
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
Amen Mtumishi, Asante kwa kututia moyo. Mungu akubariki
@ananiachaula2 жыл бұрын
Mungu awape moyo was uvumirivu uimbaji nikazi ngumu Sana kutokana na majukumu turiyonayo Ila niwatie nguvu murioamua mkaacha Kaz zenu mungu si mzungu Wala hatanyamaza kwa kujitoa kwenu
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE6 ай бұрын
Amen, Mungu atubariki sote. Asante kwa kutusapoti na kututia moyo
@rosesimba63232 жыл бұрын
Usku mwema
@subrinamushi36262 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kuimba vizuri. Mungu awabariki.
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki sana Mtumishi. Asante kwa kututia moyo
@johnsamwel15952 жыл бұрын
siku zote mpo vzr ktk uimbaji
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
Ameen, Asante sana Mtumishi kwa kututia moyo, Mungu akubariki
@johnsamwel15952 жыл бұрын
kiongozi mzalendo ameenda zake ,wamebaki mafisadi mungu tusaidie hongereeni sana kwaya kuu usharika wa temeke
@farajambilinyi67412 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
Amen. Mungu akubariki Mtumishi
@JaphetRingo2 жыл бұрын
Heart touching message
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
Asante mtumishi. Mungu akubariki
@elimbinzimlay23092 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA NIMEFARIJIKA KWA NYIMBO NZURI
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
AMEN, ASANTE SANA MTUMISHI KWA KUTUTIA MOYO. MUNGU AKUBARIKI
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
AMEN
@eliapendamwinuka42222 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa album hii yenye nyimbo zinazovuta hisia na faraja ya ushindi
@subrinamushi36262 жыл бұрын
Hongereni kwa uimbaji mzuri sana na Mungu awabariki.
@lukeanami75402 жыл бұрын
one of my very favourite songs by Temeke
@johnsamora85822 жыл бұрын
Huu wimbo mzuri sana,mbarikiwe kwa muda wenu watu wa Mungu
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
Amen, asante sana Mtumishi kwa kututia moyo Mungu akubariki
@abelkingu46532 жыл бұрын
Songs that never die!
@KKKTKWAYAKUUTEMEKE2 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki. Nasi wimbo huo unatubariki pia