Asante sanaaa❤.... nilikuwa natafuta sana story ya mtakatifu Anthony kwa undani
@PelicanPassion3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi.
@PelicanPassion3 ай бұрын
Share na wengine pia ili tukuwe kiimani.
@charlesmzenge85103 ай бұрын
Amina🙏🙏🙏🙏
@charlesmzenge85103 ай бұрын
Aki nmeona hii video nmefurahi sana, sababu leo ni siku ya nne,kusali novena ya Mtakatifu Anthony wa padua🙏🙏🙏
@PelicanPassion3 ай бұрын
Wao! Hongera sana mpendwa fuatilia na zile video zingine za mtakatifu Anthony wa padua tulizo elezea maisha yake na video nyingine tuliyo elezea miujiza aliyo ifanya. Kwa maombezi ya mtakatifu Anthony wa padua Mungu akujibu maombi yako.
@PelicanPassion3 ай бұрын
Karibu tujifunze kwanini mtakatifu Anthony wa padua anaonekana amembeba mtoto Yesu.
@stablegstable3 ай бұрын
Pelican Passion, tafakari yako juu ya maisha ya Mtakatifu Antony wa Padua imejaa busara na uvuvio. Ni wazi kwamba umefanya tafakari ya kina na umeshirikisha kwa namna inayogusa roho. Endelea na huduma hii nzuri!" Hongera sana!
@PelicanPassion3 ай бұрын
@@stablegstable aah! Namtukuza Mungu kwajili yako na kwajili ya kila ataye jifunze kitu kwa maisha ya mtakatifu Anthony wa Padua. Asante kwa kunipa moyo. Mungu akubariki sana pia.
@stablegstable3 ай бұрын
Hongera kwa simulinzi nzuri ya MT.Antony wa padua!
Naomba kufahamu kwanini picha ya mt. Anthony kambeba mtoto Yesu ina maana gani?
@PelicanPassion3 ай бұрын
Naomba tu nitengeneze ka video kafupi ka history hiyo, soon
@mariavenance34273 ай бұрын
@@PelicanPassion sawa🙏
@PelicanPassion3 ай бұрын
Tuna Mshukuru Mungu Tayari tumeshatoa video inayo elezea kwa nini mtakatifu Anthony wa padua anaonekana amembeba mtoto Yesu. Asante kwa swali zuri tunaamini video hiyo itajibu swali hili. Ubarikiwe sana.
@janetwaithira63 ай бұрын
Ahsante kwa kutuelimisha
@PelicanPassion3 ай бұрын
Tuki yajua haya tunazidi kuimalika kiimani.
@francismigongwa41463 ай бұрын
Mt padre pio utuombee
@josephdanielchikolomo46553 ай бұрын
Amina
@depaalissuofficial3 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana na unafariji 🎉
@PelicanPassion3 ай бұрын
Tujifunze unyenyekevu na tukubari kuwa tunapo anguka tunaweza kuinuka na kuwa bora zaidi ya tulivyo kuwa awali. Asante pia kwa kutushilikisha.
@AmelianaElipid3 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri🙏
@hildakazinza84814 ай бұрын
Mungu akubariki kwa utume huu, familiar nyingi utazikomboa
@PelicanPassion4 ай бұрын
Mungu azisaidie familia jamani maana vita ni kubwa sana. Ni vyema kuwa na maalifa pia ya kujenga familia zetu ziwe na upendo.
@olivianisospeter29164 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe
@jmulinge35964 ай бұрын
Amen amen amen 👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 o
@reginamutua9334 ай бұрын
🙏🙏🙏
@adolfstan65104 ай бұрын
❤❤❤❤
@PelicanPassion4 ай бұрын
Hii ndio sababu wakatoliki wanasifiwa. Kama kanisa linasimama na sababu kanisa litaendelea kusimama ni uwepo wa Ekaristi takatifu.
@PelicanPassion4 ай бұрын
Hii ndio sababu wakatoliki wanasifiwa. Kama kanisa linasimama na sababu kanisa litaendelea kusimama ni uwepo wa Ekaristi takatifu.
@Regnaldtitus4 ай бұрын
Proudly catholic
@PelicanPassion4 ай бұрын
We have everything. I'm Proud to be a Catholic Proud to have Jesus
@PelicanPassion4 ай бұрын
Natamani wakatoliki wote tulijue hili.
@emperorvicky52994 ай бұрын
my first view, I promise to always stay here and recommend the channel to family and friend will teach the PMC with your teachings
@PelicanPassion4 ай бұрын
Thanks for application and support.
@emperorvicky52994 ай бұрын
@@PelicanPassion anytime my good friend
@PelicanPassion4 ай бұрын
Kila vita ina namna yake ya kupigana. Muombe Mungu akupe hekima ya kujua ni njia gani unapaswa kutumia ili akushindie.
@PelicanPassion4 ай бұрын
Wakati mwingine ni vigum kujua kama unapedwa ukadhani unachukiwa.
@PelicanPassion4 ай бұрын
Tufunge basi hata lile saa moja kabla ya kupokea Ekaristi.
@ProtasEdward5 ай бұрын
Amen
@RichardKwideha5 ай бұрын
Nikweri kabisa hiki ndio kipindi Cha kutoka katika kira aina za dini zote kwa sababu sisi watu weusi sio watu wa kidini ila ni watu wakiloho na hizo dini zote zimeletwa na wazugu na damu mchangayiko huku Africa ndio maana ukiona vitu wanavyo Fanya vinaendana na hizo dini na huo ndio utamaduni wao Sasa wakifanya utamaduni wao sisi wafrica tunachukia hayo ni mambo Yao dini na vitu vingine vyote hivi nivwao ila sisi wafrica hivyo havituhu kabisa wanaotuhusu ni manabii na mitume wote warikuwa wafrica na haku nabii au mitume wario Toka njee ya Africa,Sasa turudi kwa muumba au MUNGU wa kweri na kwa lugha ya kwanza Yani kiduala au kisawa anaitwa LO'BA TETE,, ukitaka kujuwa neda KZbin adika imani mcimbwe,sisi wafrica si watu wa kidini ila sisi ni watu wa kiroho asante LO'BA TETE:
@greenerdaniel83075 ай бұрын
Asante kwa cartoons. Watoto wetu wana enjoy
@greenerdaniel83075 ай бұрын
Mungu aikumbuke shauri lake juu yako.. Asante kwa neno❤
@greenerdaniel83075 ай бұрын
Bila kurudi nyuma.. Unatusidia kwenda mbele❤
@FRANKCHIKOLOMO5 ай бұрын
Kukufuru Mungu hakujawahi kumuacha MTU salama. Kipindi cha Sodoma na Gomola Ile ni mfano.
@gracecosmas5 ай бұрын
Nimeipenda sana hii challenge, nimegundua bado natakiqa nisome sana Biblia...Johnson Mwambola
@PelicanPassion5 ай бұрын
Hahaha
@PelicanPassion5 ай бұрын
Hahaha
@PelicanPassion5 ай бұрын
Je umelipokeaje jambo hili?
@PelicanPassion5 ай бұрын
Karibu kutushilikisha ulicho jifunza hapa.
@GastoNombo5 ай бұрын
Asante san kwa tafakari
@PelicanPassion5 ай бұрын
Tuendelee ku share na kujifunza zaidi.@@GastoNombo
@GastoNombo5 ай бұрын
@@PelicanPassion amina
@stevenngowi62695 ай бұрын
❤❤❤
@mjoliwabwana24885 ай бұрын
Asante sana dada Bertha, nimejifunza Kwa kisa hiki Cha panya wa mjini na Panya kijijini
@PelicanPassion5 ай бұрын
Wajibika kujenga na rejesha upendo wafamilia zenu.
@PelicanPassion5 ай бұрын
Upendo kwenye familia unajengwa au unatengenezwa. Tuwajibike katika hili.
@AngelinaNangale5 ай бұрын
Barikiwa sana mdogo wangu
@PelicanPassion5 ай бұрын
Karibu dada angu. Mungu akubariki sana
@PelicanPassion5 ай бұрын
Angalia kwenye description utaona maswali zaidi. Usasahau kutujulisha umepata ngapi?
@gracecosmas5 ай бұрын
Waao 1:04
@PelicanPassion5 ай бұрын
Watu wengine huwa wanatabia ya kuonea wenzao sana kazini. Wakigundua huwezi kukataa wanakutesa. Mungu atupe hekima ya kujua cha kufanya.
@greenerdaniel83076 ай бұрын
Hongera kwa kutujaza nguvu dada Bertha
@greenerdaniel83076 ай бұрын
Hakika neno linafaa🎉
@VeronicaNangale6 ай бұрын
Tamka mema
@PelicanPassion6 ай бұрын
Ukisubili kutamkiwa na watu utachelewa sans
@PelicanPassion6 ай бұрын
Jitamkie mema wewe mwenyewe, jipemoyo wewe mwenyewe na jipangie vitu vya kufanya.🎉
@FRANKCHIKOLOMO6 ай бұрын
Asante kwa kutujulisha kuhusu Siri za kutunza. Huu ndio ukweli wa maisha (life facts)
@PelicanPassion6 ай бұрын
Asante ubarikiwe sana
@BibianaTarimo6 ай бұрын
Tumsifu Yesu Kristu. Asante kwa some Zurich. Naomba kuhusu mtakatifu Beatus aliishi visit imani.
@PelicanPassion6 ай бұрын
Mille amina. Hivi karibuni tutaileta.
@FRANKCHIKOLOMO6 ай бұрын
Forgive yourself to get peace of mind
@PelicanPassion6 ай бұрын
Take this step for your own happiness.
@PelicanPassion6 ай бұрын
Kuna faida kwenye mtazamo chanya kwenye changamoto zetu.