UHURU WA ROHONI.HULETA MATOKEO NJE
39:48
7 сағат бұрын
MIMI NI KANISA
41:24
14 күн бұрын
KAMATA MBWEHA.ASKOFU ELIASAPH MATTAYO
45:44
ITAJULUKANA YUPO MUNGU ALIYE HAI
4:53
SADAKA NA MATOKEO ACHA DHAMBI
47:22
MITI INAYO SUMBUA MAFUNDI
40:29
Пікірлер
@omardeenmlanzi4407
@omardeenmlanzi4407 4 күн бұрын
Sinagogi ni msikiti wa Wayahudi
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 7 күн бұрын
Eimee
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 7 күн бұрын
ninamashaka nahaomapapa. Niwapinga klisto
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 7 күн бұрын
Nyie mnaosali. Lomani unajua ninimaana. YAROMA ndugu katika bwana wetu YESU KRSTO lomaninchi siyo dini kwakuwa. Mkiambiwa mnabisha bambaneni nahao mapapaweni. Mgejua ilammefichwa msijue mmengangana
@victormkello9575
@victormkello9575 9 күн бұрын
Amen
@victormkello9575
@victormkello9575 11 күн бұрын
Amina
@victormkello9575
@victormkello9575 11 күн бұрын
Ni kweli kabisa Mwalimu. Maoni yangu kwa vijana; Kabla ya ndoa katika kipindi cha uchumba tuache kuongozwa na upofu wa mapenzi ya ujanani. Kwani taa ya tahadhari huwaka mapema kukuonesha mtu wako hana utii, heshima na upendo wa kweli, ila mtu hajali hayo hata roho wa Mungu akimuonya huziba macho na masikio. Ukiishaingia kwenye ndoa utaishi kwa majuto tu. Kikubwa kabla ya maamuzi yetu binafsi tuitafute hekima na maarifa ya ki-Mungu na tutii. Endelea kubarikiwa mtumishi 🎉🎉
@victormkello9575
@victormkello9575 11 күн бұрын
Asante Mwalimu. Hakika kila kijana akisikia somo hili na kulifanyia kazi, jamii itakuwa na wake wema na waume wema wa kutosha. Na hakutakuwa na hali ya U-Single Mother na U-Single Father tena, kama ilivyo kwa sasa. Barikiwa sana 🎉🎉🎉
@victormkello9575
@victormkello9575 11 күн бұрын
Somo jema sana Mwalimu ubarikiwe sana, kizazi chetu kinaiihitaji hii hekima, maana uasherati imekuwa tabia ya kawaida bila kujua ni chukizo mbele ya Mungu na huondoa baraka za ndoa. 😔
@victormkello9575
@victormkello9575 11 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi kwa fundisho hili, mwenye masikio na akusikie 🎉🎉
@victormkello9575
@victormkello9575 11 күн бұрын
Barikiwa mtumishi kwa somo zuri la MAANDALIZI 🎉
@elishampoki8751
@elishampoki8751 14 күн бұрын
Mpinga krsto siyo mkatoriki mpinga kristo ni shetani ndani ya watu wanaomwabudu mungu wa elufi ndogo asieweza kuwaokoa huyo ndiyo nabii wa uongo akiongozwa na mpinga kristo,
@elishampoki8751
@elishampoki8751 14 күн бұрын
Wewe unamjua mpinga kristo mpinga kristo ni mtu wadini asiye na Roho wa kristo ,huyo ndo mwabudu sanamu , isaya 45:20,
@YaredImelda
@YaredImelda 14 күн бұрын
Amen
@YaredImelda
@YaredImelda 14 күн бұрын
Amen
@YaredImelda
@YaredImelda 14 күн бұрын
Amen
@elishampoki8751
@elishampoki8751 17 күн бұрын
Usipozaliwa kwa Roho mtakatifu Alafu unatumika na mambo ya kiroho huyo ndiyo mpinga kristo Mchungaji wa mwilini ni namba 6 Mzee wa kanisa wa mwilini ni namba 6 Waumini wa mwilini ni namba 6 Hapo unapata ya mpinga kristo 666, Mtu wa Rohoni anaeongozwa na Roho mtakatifu,Huyo mtumishi anaitwa kuhani wa Jehovah,
@fredymsungu2038
@fredymsungu2038 17 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@elishamcosta8034
@elishamcosta8034 24 күн бұрын
Amen
@YaredImelda
@YaredImelda 14 күн бұрын
Amen
@JamesTut-uj8jg
@JamesTut-uj8jg Ай бұрын
RIP from Busia-samia 🇰🇪,, I loved your song 'Hawatakushinda and Dunia inapita' poleni kwa familia
@OscarTz
@OscarTz Ай бұрын
Amina kubwa
@marionoti5760
@marionoti5760 Ай бұрын
Hivi mungu amekufunulia wewe ili nawe utufunulie sisi? kwa nini hajajifunua kwetu sote? Biblia unayoisoma ndiyo inayotuambia waziwazi kuwa imani ya kikristu itaenea dunia nzima kupitia warumi/waroma 1:4-9, wewe na suti yako ya kitapeli (manaake hapa DSM Matapeli hujificha kwa kuvaa suti) umeandikwa wapi? Basi tuambie tukuamini wewe au biblia? Unanyofoa aya kutoka vitabu vilivyo andikwa nyakati na waandishi tofauti tofauti ili kukidhi nia yako ovu. Ndio maana kumekuwa na vikundi kibao vinavyojiita vya kikristu lakini vimefarakana kati yavyo. Yesu alisema kwa Petro na mitume(kanisa) kuwa ni mwambani ambapo atalijenga kanisa lake na milango ya kuzimu(vikundi vyenye hila kama cha kwako) havitalishinda kamwe. Nani kweli ukatoliki ndio uliomueneza kristu dunia nzima, pia umekabiliana na uadui na hila nyingi lakini unavuka na ni imara na utaendelea kuwa imara mpaka mwisho wa nyakati. Ili mtu akufuate wewe lazima awe mwongo, eti awe ameokoka leo, wakati yesu anasema atakayevumilia mpaka mwisho wa nyakati(akiwa anamuishi kristo) ndiye atakaye okoka. Yesu amewaonya watu wanaojikweza na kujikalisha viti vya mbele(eti nimeokoka huku mwongo na unahila moyoni) watashushwa. Pole Tapeli wa injili, unatafuta kuwapotosha wana wa kristo kwa manufaa yako. Hakika makristu wamezuka Duniani.
@marionoti5760
@marionoti5760 Ай бұрын
Wewe ndiye mpinga kristu, Umejaa wivu, hadaa na uwongo. Nani kakuthibitisha(kakupaka mafuta) au umejithibitisha?
@TimoPhilimon
@TimoPhilimon Ай бұрын
Utukufu kwa Bwana YESU
@OscarTz
@OscarTz Ай бұрын
MUNGU awabatize kwa roho mtakatifu
@elijahsaro6611
@elijahsaro6611 Ай бұрын
Hii nyimbo ya nuhu nani ameimba nataka jina lake
@OscarTz
@OscarTz Ай бұрын
AMINA KUBWA KALIBU NYUMBA YA ISHALA MAAJABU KANISA LIPO BOKO CHAMA
@elishamcosta8034
@elishamcosta8034 Ай бұрын
Amen
@amosgidion3430
@amosgidion3430 Ай бұрын
Je' Mungu ana nafsi ngapi ⁉️
@petercloudy5293
@petercloudy5293 Ай бұрын
Mungu ana nafsi moja
@MikaelEnockGilayo
@MikaelEnockGilayo Ай бұрын
Neno la kweli ndo hili
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Barikiwa sana MTU wa Mungu
@OscarTz
@OscarTz Ай бұрын
Wapendwa tujue kuwa kuna maisha haya baadaye tumutumikie MUNGU Tuache dhambi
@OscarTz
@OscarTz Ай бұрын
Emeee kwa somo ilo la mushahara wa dhambi
@user-qy7he6cl8w
@user-qy7he6cl8w Ай бұрын
Ameen ameen nimebarikiwa sana Baba mchungaji Ubarikiwe Sana 🙏🙏
@ninamolell9010
@ninamolell9010 2 ай бұрын
🔥🔥
@chagambamercy309
@chagambamercy309 2 ай бұрын
Amen
@SEPHANIAMOVIES
@SEPHANIAMOVIES 2 ай бұрын
Hakika
@user-jh7ps7hl2w
@user-jh7ps7hl2w 2 ай бұрын
Amina❤
@AbigaelYohana
@AbigaelYohana 2 ай бұрын
Mungu aiinue "MOTOMOTO " yenye akina mama mashukujaa kizazi chake kitadumu mile na mile Amina.
@emmajr326
@emmajr326 2 ай бұрын
Amina kubwaaaaa
@enockrenatusfwankiye7061
@enockrenatusfwankiye7061 2 ай бұрын
🔥 🔥
@eliasaphmattayo4857
@eliasaphmattayo4857 2 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia very powerful
@enockrenatusfwankiye7061
@enockrenatusfwankiye7061 2 ай бұрын
Nondo za Yesu🙏🙏
@nurdinsaleh4786
@nurdinsaleh4786 2 ай бұрын
Barikiwa sana BABA
@ZarinaDomenico
@ZarinaDomenico 2 ай бұрын
Nitatimiza ndoto yangu
@ZarinaDomenico
@ZarinaDomenico 2 ай бұрын
Naomba kufunguliwa kwa maisha yangu
@motomototv5301
@motomototv5301 2 ай бұрын
Barikiwa.Karibu Tuabudu Pamoja.+255655501202 WhatsApp
@ZarinaDomenico
@ZarinaDomenico 2 ай бұрын
Amen
@ChristinaManku
@ChristinaManku 2 ай бұрын
Amina ubalikiwe bishop
@TimoPhilimon
@TimoPhilimon 2 ай бұрын
uzidi kubalikiwa
@shamsidaniel5582
@shamsidaniel5582 2 ай бұрын
Mungu Akubariki kwa SOMO Zuri ya Mshahara wa dhambi Ni mauti