Hongera sana Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Bravo Dkt.
@EmanuelyMbagalla-rt2vm12 күн бұрын
Kwa nature ya Uchumi wetu, mazingira na nyakati zetu, hiki chuo ndicho kinachopaswa kuwa na enrollment kubwa kuzidi vingine. Bil. 41 ni nothing kwa unyeti wa hiki chuo. Serikali itafute hata Bil. 500, huku 250 zikiwa ni kwa physical miundombinu ya kuongeza enrollment na iliyobaki itupe kwenye taaluma hasa tafiti. Ni kwamba pesa inayowekwa Udom ilipaswa kuwekwa SUA, hata kama eneo lingebaki kuwa Dodoma.
@antonymathew-tm7lb22 күн бұрын
Kuchukua shahada mmmhh!chukua tu
@HassanKhalfanАй бұрын
Jambo jema sanaaa
@AmbakisyeMingaАй бұрын
Me nataka kufunga nifanyaje mtalam
@FelisterVedastusАй бұрын
Nisaidieni dawa ya bruisela nateka sana
@FrankAlkadoPanganiАй бұрын
Congratulations US, for good presentation
@ramadhanntandu994Ай бұрын
Hongera san kak
@filipinadaud885Ай бұрын
mafunzo mengine lini? no yenu tafadhali? namna ya kujiunga na mafunzo hayo tagadhali
@issakunguАй бұрын
Elimu nimeipata vizuri sana, mtoe namba za simu kwa ajili ya mawasiliano.
@shabanihamisimaburuki4546Ай бұрын
Naomba unipe ratiba ya chanjo za kuku au tiba za kuku toka siku ya kwanza hadi anauzwa ( mwaka)
@JosephSozi2 ай бұрын
Semina nyingine vip
@JosephSozi2 ай бұрын
Mafunzo mengine vip
@lusakaone77822 ай бұрын
Hongera sana binafis nahitaji
@RamadhanMbwana-o1j2 ай бұрын
Mngejaribu kutuonyesha hiyo teknolojia...
@lukashagama2 ай бұрын
SUA inafanya vizuri sana katika tasnia ya kilimo na mifugo Tanzania
@suleimanmsellem32482 ай бұрын
Safi sana, Hongera SUA
@KitunduAbdallah-dn1uk2 ай бұрын
Nahitaji mafunzo kwa njia wasap Mimi niko Mwanza inawezeka na
@ZubedaAbdallah-s5p2 ай бұрын
Naomba no ya huyo mfugaji
@EmanuelyMbagalla-rt2vm2 ай бұрын
Duh, hiyo ni coincidence tu au ilitumika kama kigezo cha kupata ajiri(majina) Isingekuwa inasemwa nisingeandika nadhani.
@gloriusjohn90672 ай бұрын
Hongereni sana Wataalamu, Hongereni taasisi ya Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo.
@PatrickZitatu-ip3ns2 ай бұрын
Somo zuri ni naomba mawasiliano plz.
@MrPiece-vk4yw2 ай бұрын
Mbegu tunapataje hizo
@AmisseMwenetombwe2 ай бұрын
Lini mafunzo mwengine na sisi WA inchi jirani tuje!?
@JumaKisailo-et4jc3 ай бұрын
Somo zuri
@Surebet7053 ай бұрын
Asante kwa elimu. Mimi ni mfugaji, nipo Mkoa wa Ruvuma. Nahitaji mbegu bora za malisho. Nitapataje?
@FelixMwacha3 ай бұрын
kupima ni gharama gani?
@dorphingcompanyltd48533 ай бұрын
Wanapatikana wapi hao bakteria!
@elizabethjizwalo36412 ай бұрын
Hao bacteria wanakuja wenyewe au wengine wanawaongeza wanawanunua nadhani wanaita probiotic bacteria kama sikosei
@noelezekiel25783 ай бұрын
Hongera Dr
@severinmichael83293 ай бұрын
Hio nuksi nani akae nayo😂😂😂
@kennedymakafu98103 ай бұрын
Tunawapata wapi hao bakteria wazuri?
@alibinjuma7933 ай бұрын
SAUTI TAFADHALI
@happyissa52763 ай бұрын
Well done dears
@FelisterVedastus4 ай бұрын
Jaman hata mm nasubuliwa na bruisela nisaidieni dawa niipi
@fezilempariwa54784 ай бұрын
Wow wow thats my brother, congratulations 🎉🎉
@maganikochiba73605 ай бұрын
King maganiko Chiba Kumalija 🔥✊🏿
@filexmmari5 ай бұрын
❤❤
@uziasinkamba73805 ай бұрын
Ukovizu mdogowangu nimewasikiliza wengi lakini wewe upojuuuuuu .namba ya sm
@shidachinuku6105 ай бұрын
Nahitaji kujua ulipo ili tuongee Zaid nami nijiajiri
@shidachinuku6105 ай бұрын
Namba za sim nahitaji ili kupaka mashine
@TeleziaoigenHaule5 ай бұрын
Njoo tufundishe liyombo nguna
@johnoscar60616 ай бұрын
Mfereji wa keko bondeni hao kambale wamefikaje toka American.? 🙄
@dr.rashidsuleiman64686 ай бұрын
Sound please
@editherkinyunyu42536 ай бұрын
Naomba kujiunga
@evelinamwaikambo25066 ай бұрын
Naomba kupata mafunzo ya ufugaji wa samaki
@MabulaKuyyi6 ай бұрын
Mawasiliano kwa wale tunaohitaji kupata vifaranga vya kambale