Пікірлер
@dottobatho1619
@dottobatho1619 4 ай бұрын
Daaaaah
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s 6 ай бұрын
Mh
@kulthumsaif2856
@kulthumsaif2856 6 ай бұрын
Hatujaongea Hatujaongea 😂😂😂😂
@BarakaJitulaimani
@BarakaJitulaimani 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@fifierick1754
@fifierick1754 8 ай бұрын
😢😢😢😢 victoria jmaniiiiii duh
@agnesmuchai8353
@agnesmuchai8353 Жыл бұрын
0
@agnesmuchai8353
@agnesmuchai8353 Жыл бұрын
00l0lpp0]p0 [l
@neemajoseph6204
@neemajoseph6204 Жыл бұрын
aiseeeee
@neemajoseph6204
@neemajoseph6204 Жыл бұрын
jmn Pole sana,ndugu,nyangu
@vumi8371
@vumi8371 Жыл бұрын
Tamaa mbele mauti nyuma ndio hii
@vumi8371
@vumi8371 Жыл бұрын
Mungu wangu
@salumahmed1498
@salumahmed1498 Жыл бұрын
Pole xana ndugu yangu exther😭
@naimamalekela812
@naimamalekela812 Жыл бұрын
yarrab yarrab yarrab eeeh mwenyez mungu niepushe na huu ushetan 😭😭 watoto wa kaka angu ni wanangu pia hata kama kalaaniwa
@frankmwanachawe2377
@frankmwanachawe2377 Жыл бұрын
Good bles you
@mariamsuku7021
@mariamsuku7021 Жыл бұрын
Mara mia angemfukuza tuu kuliko kuchoma moto
@complex7582
@complex7582 Жыл бұрын
Victoria ndo umemuua mumeo Kwa tamaa zako
@zainachande5095
@zainachande5095 Жыл бұрын
Duh inauma sana victoria una roho ya ajabu sana 🙆‍♀️🙆‍♀️ dah sijawai ona😭😭😭😭😭 unatamaa ya hali ya juu
@jennipeter5078
@jennipeter5078 Жыл бұрын
Jaman shangazi wengine mbona wengine tulilelewa na mashangazi namshukulu shangazi yangu mwenyezi mungu amulinde jaman
@neemahando6183
@neemahando6183 2 жыл бұрын
Inakoroma mbona? Wakati ni youtube
@gilbertmanyelezi1083
@gilbertmanyelezi1083 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@vailethkemi8097
@vailethkemi8097 2 жыл бұрын
Jamani dunia hii Mungu tusaidie
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 2 жыл бұрын
No 2
@janciergoldencier7308
@janciergoldencier7308 2 жыл бұрын
Da Veronica mbn hamn simuliz ya Michael sehemu ya 10 ??
@emmanuelpaul5704
@emmanuelpaul5704 2 жыл бұрын
Mungu anatupenda sana wanadam tatizo sisi ndo tunamtega ee mungu nijalie moyo wa kukupenda zaid
@tunkuh661
@tunkuh661 2 жыл бұрын
Mama 🥔
@elizabethherman800
@elizabethherman800 2 жыл бұрын
Namba ya ester plz da vero
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 2 жыл бұрын
Tamaa mbaya kupita kias ana roho ngumu me nlivo na wivu jmn
@samwelkisaka6754
@samwelkisaka6754 2 жыл бұрын
Naamini kwel shetani yupo kazin nkumbuka hata mim nkutana na ndoto nyingi Sana nachaajabu naota kitu ambacho kinatendeka ndani ya cku mbil au 3 nawez kumwotea mtyu husika amefarik Lin kwel yule mtu atafarik au nawez kuiotea biashara yangu ckuhyo nitauza San nkwel inatokea hvyo nauza kupitiliz yni inshort maixha yangu naixhi kupitia ndot nandozenye nguv. San asa nashindwa kuelew hii nimipango y sheran au Ni mungu ????????ananionyesha????
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 жыл бұрын
Mungu wngu mbna wa2 wanaroho mbya xna hv mtt wa Kaka ako unanifanyia hvo jaman
@winshukuru9914
@winshukuru9914 2 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa ni sauti ya mungu kabisa
@winshukuru9914
@winshukuru9914 2 жыл бұрын
Hugo mzee mungu ambariki
@winshukuru9914
@winshukuru9914 2 жыл бұрын
Yaan jaman hii inasikutisha sana
@winshukuru9914
@winshukuru9914 2 жыл бұрын
Pole sana fatuma na hongera kwa kuwa jasiri
@winshukuru9914
@winshukuru9914 2 жыл бұрын
Hugo meneja in mchafu was tabia
@winshukuru9914
@winshukuru9914 2 жыл бұрын
Kwan huyo meneja hana mtoto jaman
@winshukuru9914
@winshukuru9914 2 жыл бұрын
Pole fatuma
@ilundafarm2798
@ilundafarm2798 2 жыл бұрын
Mnasikitika wakipita waomba michango mnawanyima
@jackapple5471
@jackapple5471 2 жыл бұрын
Pole Sana ndo mapito
@rosemarry2020
@rosemarry2020 2 жыл бұрын
Yaani kiukweli hela ni ushetani sana,tamaa mbaya utampoteza mume kipumbavu kbs
@hadijarajabu7306
@hadijarajabu7306 2 жыл бұрын
Pole sana mwangu jaman
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Jaman dah😭😭😭pole sanaaa
@salvatoryshirima8833
@salvatoryshirima8833 2 жыл бұрын
Simulizi ya ester
@gracemushi5690
@gracemushi5690 2 жыл бұрын
Kaka Michael pole Sana
@mariamkheri8138
@mariamkheri8138 2 жыл бұрын
Inauma sana sana saaana duh
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 2 жыл бұрын
Yeton mamdogo kalipiza kisasi hatari
@vaileths5823
@vaileths5823 2 жыл бұрын
So sad
@bahatibanda4159
@bahatibanda4159 2 жыл бұрын
Duuh dunia hii achatuu
@stellavenansi2144
@stellavenansi2144 2 жыл бұрын
Dahhh!!😭😭😭😭😱😱 Inauma saaana
@magdalenakisao9224
@magdalenakisao9224 2 жыл бұрын
Pole sana
@hadijarajabu7306
@hadijarajabu7306 2 жыл бұрын
Dah pole sana fatuma uyo meneja kakuingiza seem Sio