Upo vizuri mwanetu, wewe ni hazina yetu.Mungu akupe darja la juu zaidi
@songweairport760210 ай бұрын
BONGE LA INTERVIEW.... MTANGAZAJI KATULIA,ANAULIZA MASWALI MAZURIIIIII ...@BARAKA ..NICE SANA
@AlMakori Жыл бұрын
Chugandevu ni lazima iwe na matumizi ya kijulanga (wa kiume) wa kuzidi kiaka 12 na chini ya miaka 20
@mvupatrick Жыл бұрын
Bonsoir Vous avez réalisé un bon interview vraiment vraiment félicitation
@Liz1boyKatunzicultural-zc5pi Жыл бұрын
Nakuona mbali sana
@DarpopTanzania Жыл бұрын
Nimemaliza mda huu kumsikiliza kaka, its amazing
@jmat82012 Жыл бұрын
I respect this young man a lot. Refreshing.
@therbear4545 Жыл бұрын
I live with this dude!!
@vedastokessy4751 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 talk of impact
@Jimmymanasseh_Official Жыл бұрын
Nzuri San
@TECHTZTV Жыл бұрын
Yani huwa sichoki kumsikikiza huyu kiumbe natamani siku moja mungu amuinue juu zaidi aweze kuipeleka Tanzania mbele
@laurenttibursius2661 Жыл бұрын
very good interview .dada uyu jamaaa ana madini balaa
@Jimmymanasseh_Official Жыл бұрын
Duh sio kwa misemo hioooo
@Jimmymanasseh_Official Жыл бұрын
Good message
@labokush Жыл бұрын
Shukran sana kwa mazungumzo hayo, tumenufaika pakubwa
@thequizishow7333 Жыл бұрын
One on town
@joramunkumbi Жыл бұрын
ASANTENI SANA NDUGU ZANGU
@chardoAmos4476 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@lamwakaonline72162 жыл бұрын
Congratulations STAR IN CAMPUS
@abdulikaku50802 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@happinessndaluka64852 жыл бұрын
Well said bro.... I'm proud of who you're becoming... Cla fam # resplendent always with you in this life..... More from cornerstone is coming 🥳🥳🥳❤️
@redasaproduction60842 жыл бұрын
Safi
@amanitemba85442 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuona hii channel mnafanya vizuri sana.
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Shukrani sanaa, endelea kutufatilia kwa maudhui mazuri zaidi
@ShebbyDanG2 жыл бұрын
Gud jobs ma bro
@barakamafoletz2 жыл бұрын
Thanks brother
@Mberwaelisha2 жыл бұрын
Wooow powerful presentation ✊🏿🤝
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Shukrani sana
@barakamafoletz2 жыл бұрын
Thanks Elisha
@kephasilani2 жыл бұрын
👏👏👏👏
@barakamafoletz2 жыл бұрын
shukrani
@mjumbemwanda96662 жыл бұрын
I love this channel
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Tunakupenda zaidi...
@rodgence96412 жыл бұрын
waooh nice presentation one day ntakuja kushare niliyonayo
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Karibu sanaa, tutafurahi kuzungumza na wewe!!
@barakamafoletz2 жыл бұрын
Thanks
@menlandmutashobya83772 жыл бұрын
Mtafika.mbali
@mosfilmz46932 жыл бұрын
Nice interview 💪💪
@Jimmymanasseh_Official2 жыл бұрын
Amaizing Sana
@willezacharia63792 жыл бұрын
we are to study books....nimependa
@Mberwaelisha2 жыл бұрын
You're welcome Bro
@dottokasinge16822 жыл бұрын
ooooooh!! nice
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Thank you 🙏
@Mberwaelisha2 жыл бұрын
Woow This Is Very Powerful ✊✊✊🏿 Keep up the good work.
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Shukrani Kaka Elisha
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Nice work... Nimeipenda sana
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Shukrani brother 🙌🏽
@consvang38332 жыл бұрын
💥💥
@joyousedifonce79782 жыл бұрын
Waoo!!
@joelhunter2052 жыл бұрын
Wow!!
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Ahsante sana kwa mrejesho huu
@winrosemoses2012 жыл бұрын
Mwee kaka ameupiga mwingi.....Tishaaa sanaaa presenter wetuu uko vizuri
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Hakika safari Yake ni yakuhamasisha kwa vijana wengi. Presenter nae anahitaji pongezi.
@andsonvalentine24492 жыл бұрын
Ninafurahi kuona sisi vjna tukifnya v2 vikubwa bee media na mr kisamo
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Hakika Vijana kwa Sasa wameamka nawanapiga hatua sana.
@hardnessrange74602 жыл бұрын
🔥🥳🥳🥳Frank Kisamo
@passianmaningi84792 жыл бұрын
Ninawashukuru sana Kuna jambo limenigusa swala la kuaminiwa,Mbolea inawezekana kubadilisha swala la kilimo kwa ujumla *Je kuna uwezekano wa kuthubutu kuwa wakala wa mfumo wa Biogas?
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Tunashukuru pia kwa support yako kubwa kwa kipindi chote hiki. Uwezekano utakuwepo ni kifahamu tu namna.
@frankkisamo2 жыл бұрын
Hongera sana , kazi yenu ni njema BEE YOU MEDIA
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Ahsante sana Mkuu
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Saafi sana. Kipindi kizuri sana. I love this!!! Keep it up guys
@BEEYOUMEDIATZ2 жыл бұрын
Ahsante sana Kaka 🙏 Comment yako imetupa hamasa zaidi. Ahsante
@lamwakaonline72162 жыл бұрын
Congratulations mis chardonnay for good interview keep it up
@skyboinewz78322 жыл бұрын
Nilichojifunza cha kwanza ni kuwa ni kufanya kazi kwa bidii haijalishi watu watakuonaje kama unafanya kaz sana kuliko wao- hii ni baada ya pale Mh Rais kipindi akifanya kazi ya masijala kuonekana yeye kila kitu watu wanakuja kumuuliza yeye na sio wengine Pia kuwa ukipata nafasi ya kufanya kazi ufanye kwa nguvu zako zote na juhudi . Kitu kingine ukiwa kwenye nafasi yoyote ya mamlaka itumie vzur usiongee sana kazi zako zionekana-hii tunaiona kwa mama samia kwa yeye kufanya kazi nzuri kwenye nafasi yake ya uongozi ila haongei sana kutaka kuonekana