Natamani siku moja niwe mlinda amani WA nchi yangu
@BarazaOnline12 ай бұрын
@@Zubeda-j2k umri wako ni gani?
@musamlulu22333 ай бұрын
Bado ila wanajitahidi blue kashinda mapema jamaa alipoomba ila yeye kawa mchoyo
@BarazaOnline13 ай бұрын
😅😅😅
@danielntoko21173 ай бұрын
Aksante scolar Kisanga !Niko mukongomani.Nakutakia siku nzuri.
@BarazaOnline13 ай бұрын
Pamoja sana aloo
@AliSuleiman-v2x3 ай бұрын
Hongera mama samia fukuza wamarekani tuwe huru kama burkinafaso fukuza wazungu wanatutesa tukiwa kwetu madini yetu wanachukua wanatuacha masikini fukuza haya mashenzi tutakulinda mamayetu tutapambana kukutetea
@BarazaOnline13 ай бұрын
@@AliSuleiman-v2x ✊️👏👏👏
@JosephAdam-e9w3 ай бұрын
Nimepambana sana kujiunga najeshi mpaka sasa nimekata tamaa na nimezeeka mpaka sasa nina miaka 22 uzee ndo umenikabili bila kutimiza ndoto yangu🙆
@BarazaOnline13 ай бұрын
Miaka 22 mbona bado sana? Inategemea na jinsi gani unavyoipambania ndoto yako
@JosephAdam-e9w3 ай бұрын
@@BarazaOnline1 nikikumbuka kama nshanunua paiper kdgo zakuandikia maombi yakujiunga na jeshi kama nindogo 20 na kusikani vyet sana lakini Ngoma nzito mm nazania NAFASI iz zna watu maalum mtoto wafulani ao ndo Wana pass like a shadow wewe unakua apo eti unafanya interview. Kumbe ambao tiali wameshapta wanajulikna duuh🙆
Dah mm sio bingwa wa drafti ila hao hawatoi sare michezo mia
@BarazaOnline14 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ReganChuwa5 ай бұрын
Aiwezekani kamanda awezi kupanda mlima
@BarazaOnline15 ай бұрын
😁😁😁wewe hujajuatu boss
@abdulmahemu90145 ай бұрын
Mitula yani bado sana duhhh eti mchezaji hatari
@BarazaOnline15 ай бұрын
@@abdulmahemu9014 ukijichanganya hapo unakula supa kama 200 za chapchap🤣🤣🤣
@AbduliMaulidiАй бұрын
Kaka hamna hata mwanafunzi hapo wa draft hawez cheza hivyo😂😂@@BarazaOnline1
@wherethefanstarts53025 ай бұрын
Hawa kijiweni kwetu tunawaitaga mapimbi.. Au matula😅😅😅
@BarazaOnline15 ай бұрын
😄😅🤣jichanganye kwa hawa jamaa uone
@danielshimora53155 ай бұрын
Sasa watanzania tumefika pazuri, Putin ni mkombozi.
@BarazaOnline15 ай бұрын
Kweli kabisa
@MpwataOmari5 ай бұрын
Freedom iscomyng in tanzania dooooooood viva Rashia.
@BarazaOnline15 ай бұрын
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@emmanuelsunday83255 ай бұрын
Hatuwata hao warusi
@BarazaOnline15 ай бұрын
@@emmanuelsunday8325 😅😅
@MpwataOmari6 ай бұрын
Mashoga sasa wamekwisha.
@BarazaOnline16 ай бұрын
Kwisha kabisa
@RaibebeBebe5 ай бұрын
Kila asiependelea urusi ni shoga
@mwalamibingwe41776 ай бұрын
Apo molali inapanda tu unatamana adi kulia
@BarazaOnline16 ай бұрын
@@mwalamibingwe4177 😅😅😅umeonae?
@RamadhanMdumya-ue5rp6 ай бұрын
Noma sanaa!!!!
@BarazaOnline16 ай бұрын
👍🏿👍🏿
@twahakumona71847 ай бұрын
❤🎉
@BarazaOnline16 ай бұрын
👍🏿👍🏿👍🏿
@abdulmkhaid7 ай бұрын
hovyo sana aisee-!
@BarazaOnline17 ай бұрын
🤣🤣🤣kwanini mkuu?
@LushidulaJidamawi8 ай бұрын
Ukosawa
@BarazaOnline18 ай бұрын
👍🏿
@BugangaNdila9 ай бұрын
Kweli ewe unaiweka BBS Swahili
@BugangaNdila9 ай бұрын
Uko vzr San na kazi murua,
@SimonMaregge9 ай бұрын
Pipa na mfuniko
@BarazaOnline19 ай бұрын
😂😂😂
@benedictntilla6943 Жыл бұрын
Mnajidanganya raslimali za taifa ilikuwa enzi ya Mzee Nyerere siyo sasa
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
Kwa sasa kila mtu anaziuza anavyotaka😡😡😡
@benedictntilla6943 Жыл бұрын
@@BarazaOnline1 Kwa Sasa ni Raslimali za wageni Wala siyo Siri, Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi watu wameuawa na Tembo lakini Tembo marufuku kuuawa RAIS alikwenda hajatoa tamko lolote Tembo ni wa wenyewe. Kibaya zaidi wameuliwa vijijini siyo mbugani.
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
@benedictntilla6943 ukiskia nchi imeuzwa ndio hivi sasa
@benedictntilla6943 Жыл бұрын
@@BarazaOnline1 Mimi ni mkubwa kwa umri kuliko baadhi ya viongozi ninalijuwa hilo ninaujuwa kila uongozi nimesoma shule, chuo, nimeanza kazi enzi za Mzee Nyerere hakuna geni kwangu
@benedictntilla6943 Жыл бұрын
Mimi ni mwanachama wa CCM nimetokea TANU, lakini kwenye uchaguzi ninamchagua mtu kutokana na uwezo wake siyo U CCM wake never.
@4custaywithme Жыл бұрын
No comments
@usembiphonedar5632 Жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la furaha na Mwanga wa milele akuangazie baba Magufuli! inauma sana kifo chako ni fumbo!!!??? AMENI!
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
😭😭😭amen
@emanuelkitiku690 Жыл бұрын
Safisana
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
Umeonae
@alphoncealmack9240 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kingdontz2783 Жыл бұрын
Pamoja
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
@kingdontz2783 Жыл бұрын
Umepiga hatua 4.1sb congrats Mi naangalia ela
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
Shukran bro, mdogó mdogo2 tunasonga, pesa muhim
@kingdontz2783 Жыл бұрын
Nao wameyatimba vile vile
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
Úmeonae
@alphoncealmack9240 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
🤣🤣🤣noma sana
@hannanommy302 Жыл бұрын
Nyie vipiii 😮kwani kucha ndo anacheza mpira 😢😢
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
Ndo nashangaa sasa
@wilsonkonene-dj7ci Жыл бұрын
Heko kabisa mwanahabari mpeguzi,, watching you live from kisii university school of information technology science ❤❤
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@merryaugustin8814 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@shangwefisima3993 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@hmavoo Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁🇹🇿🇹🇿
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
😊😊😊
@JabirAnnael Жыл бұрын
Dini siaasa nikinga ya wenyeelimu baki kwenye imani yako aminitu mungu yupo
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
Kabisa
@JabirAnnael Жыл бұрын
Tatizo mnataka ila niwaoga au niktokuzoma kwawengi wetu
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
Inawezekana
@JabirAnnael Жыл бұрын
Tunakukumbuka baba
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
😭😭😭
@nuriali-fz4hp Жыл бұрын
The good die young.hail magu.African really hero
@BarazaOnline1 Жыл бұрын
The hero of AFRIKA
@michaelkalinda3215 Жыл бұрын
Dah ina uma sana hivi hawa watu huwa wana kumbuka kweli huu wosia