Kwa kweli Ashukuriwe Sana Mungu, kwa KUKUONGOZA kuileta hiii iliyo KWELI.
@stevenobunde93452 жыл бұрын
Wakora waitu
@masaimollel25252 жыл бұрын
Mungu nisaidie mimi🙄
@angelibrahim55392 жыл бұрын
Kwaiyu mutu mishi nasisi tunao kaa na Wana ume ambao hatujafunga ndoa je tufanye nini
@kelvinchisongela8702 жыл бұрын
Asante mtunishi wamuguu
@kelvinchisongela8702 жыл бұрын
Amen
@fatmakizimba7442 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi.namuomba MUNGU anisaidie.nikitenda dhambi hiyo naumwa kabisa nahisi kufa kufa,kama nachanganyikiwa vile.
@fredrickjaphety36093 жыл бұрын
tumwombe2 mungu
@noelswai26603 жыл бұрын
Hakika mchungaji 💯
@marygadau44433 жыл бұрын
Dakika tano za nguvu,
@GeofreyMhagama3 жыл бұрын
Nimekupenda bure..bwana Yesu akutunze
@jeanmjimmy3 жыл бұрын
Tuepuke, zinaa, uasherati na uzinzi maana atendea dhambi hizi unajinajisi mwenyewe. 1 Wakorintho 6:18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe
@saralembris64153 жыл бұрын
Umeongea uhalisia kabisa Mungu akubariki sanaa
@florianfinda74453 жыл бұрын
You better be systematic and truthful. Tittle inasema jinsi ya kushinda dhambi ya zinaa ila wewe umeeleza madhara ya zinaa. Two different things. Ulitakiwa uteneze video ya madhara ya zinaa na nyingine ya jinsi ya kushinda dhambi ya zinaa
@peterrobertkimambo10212 жыл бұрын
Kujua ndio kushinda,
@susangab58543 жыл бұрын
Amen Barikiwa
@adoniaceisaya7003 жыл бұрын
Ndio Maana Nicola Tesla hakuoaYusufu alijua atapotea,Martin Luther The Apostle of Reformation, Albert Einstein alichelewa kuoa,Yesu , Paul , Daniel,they never Married Their Assignment were too huge To Marry!!
@adoniaceisaya7003 жыл бұрын
Umemsema Kikwete!!
@zuhuramike13993 жыл бұрын
Amen
@duniayakijani78683 жыл бұрын
Daah.. Mungu naomba niokoe.... Najuta sana
@samambokile23694 жыл бұрын
Bless you
@jemamadole14074 жыл бұрын
Natafuta sehemu ya sita ya somo hili pastor
@thomasmadirisha78194 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@jaredkamsoba88104 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi
@Monthbongohit4 жыл бұрын
Nikweli Mungu atusaidie
@Monthbongohit4 жыл бұрын
Nikweli Mungu atusaidie
@malindisamwel41444 жыл бұрын
Ameeee mtumishi
@daudlazaro82764 жыл бұрын
Very strong and sharp truth..
@cecyliangonyan83824 жыл бұрын
Mungu nisaidie
@agnesjoseph44254 жыл бұрын
Ujumbe muzuli barikiwa
@abigaelfredrick68684 жыл бұрын
Amen Ubarikiwe sana Pastor nimejifunza kitu kikubwa sana na nitazidi kukifanyia kazi
@joshpraisebuzaniye29584 жыл бұрын
ujumbe mzur Asantee
@johnsonoyugi17735 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa maneno haya
@tanzaniafxlab5 жыл бұрын
Hii ni shule kubwa sana Nimejifunza sana
@johndelefa9732 жыл бұрын
Hallelujah!!!!
@tanzaniafxlab5 жыл бұрын
The truth for the healing of many, i have been touched so amaizingly to press on to Jesus
@togetherchristiansmedia34375 жыл бұрын
Hiyo ni kweli kabisa.
@togetherchristiansmedia34375 жыл бұрын
Hiyo nikweli kabisa.Mungu akubariki sana?
@MatundaAfya5 жыл бұрын
Amen
@MatundaAfya5 жыл бұрын
Amen amen
@togetherchristiansmedia34375 жыл бұрын
Hiyo ni kweli kabisa.
@togetherchristiansmedia34375 жыл бұрын
Napenda ujumbe uliyosema.
@adammachalila14505 жыл бұрын
Bless you
@togetherchristiansmedia34375 жыл бұрын
Hiyo nikweli ubarikiwe.
@aprgg5 жыл бұрын
"The Effects of FORNICATION and ADULTERY,It is a SIN,It Destroys your SOUL,SPIRIT and BODY! It REDUCES Your THINKING CAPACITY, it HARM your VISION Ability! JESUS IS OUR SAVIOR! Belive Him to Overcome!