Celebrities Best And Worse Looks
1:54
Fanya Haya Kuonekana Elegant
1:39
Пікірлер
@RamadhanOmali
@RamadhanOmali 26 күн бұрын
Majeshi komed
@carohkilonzo4688
@carohkilonzo4688 3 ай бұрын
Weweeeh hamisa kwa mavazi si mchezo
@marthakyando3152
@marthakyando3152 4 ай бұрын
The way nime rush kuja huku cuzn na deserve pole😂😂😂
@afroswaggatz
@afroswaggatz 4 ай бұрын
😂😂 pole Cuzzo tukupe mkeka ukae na maji unywe
@hirschyount5281
@hirschyount5281 4 ай бұрын
"Promo sm" 💪
@user-yb1mv2nx6m
@user-yb1mv2nx6m 5 ай бұрын
♥️♥️♥️
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 ай бұрын
Kwan huy kaka kabila gn
@arthurbailey3796
@arthurbailey3796 8 ай бұрын
'Promo SM'
@anziiism
@anziiism 10 ай бұрын
I love Zuchus dressing..shes expressing her art. We love her
@PaulNzima-pd8il
@PaulNzima-pd8il 11 ай бұрын
Man of the moment... Mbosso Khan 🔥🔥🔥🔥🦁🔥
@HusseinyKalanga-jh9gh
@HusseinyKalanga-jh9gh Жыл бұрын
Fundi kama fundi daah ila wema kaeli kazingu hapa hta mm naunga mkono
@AminaAbdul-iw9yn
@AminaAbdul-iw9yn Жыл бұрын
Safi
@AminaAbdul-iw9yn
@AminaAbdul-iw9yn Жыл бұрын
Jamani hii kitu imeishia WAP MBNA hatuoni tenaa kpndi hiki cha fundi
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Kaa tayari wiki hii inakuja show ingine dear.
@mohamedtamla826
@mohamedtamla826 Жыл бұрын
Hongereni sana afroswagga mkoa vzur sana
@mohdzotv2676
@mohdzotv2676 Жыл бұрын
Gari limewaka Sasa hta mmi maua yangu Nampa Ireen p✈️
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Hakika
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Na Mimi Natoa maua yangu Kwa iree. Poul kiukweli kapendza sana jamani
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Jua kweli kina Waka ila dada Angu wema sepetu kwenye hili kazngua wallah kazngua hta mm Nampa ⁰
@khadijahassan1946
@khadijahassan1946 Жыл бұрын
Nawapenda Sana afroswagga maana nimeamua kuja njie kama njie hamkutaka kukop na kupest kama vipndi vingi vilivyo njie Mko vzr video zenu znaonekana vzr na kipindi kizur saba kweli fundi kama fundi
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Asante sana Khadija…tuendelee kuwa pamoja mate.
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Lawama siwende Kwa wote wasanii na na hao wavalishaji maana wote wanausika
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Basi sawa😅
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Nimeanglia vipindi vyte viwili zaid ya mara 10 na Kuna kitu nimekpnda kwenu kwanza mko Vzur sana naomba kipndi kinachofata Msiache kuwaambie ukweli wadada wanaovaaa uchi kwenye video zao wasanii na huku wasanii wenyewe wamevaa vzuri tu
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri na mapendekezo. Kwa hakika tutayafanyia kazi.
@khadijahassan1946
@khadijahassan1946 Жыл бұрын
Haunishind mimi nimeanglia zaid ya mara 50 na sichoki
@mohdzotv2676
@mohdzotv2676 Жыл бұрын
Safari imeanza Rasmi✔️
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Ila njie afroswagga kwann hiki kipndi msipeleke media Kubwa sana maana sijaona hapa bong kitu kama fundi media njingi zmejaa kwenye interview na kusifia ujinga ila Njie mko tfaut sana niko pamoja nanjie Kila mahal❤️🌟
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Asante sana mate! Taratibu ndio safari imeanza hivyo. Asante kwa ushauri na kuwa pamoja nasi💐
@kalangahusseiny3501
@kalangahusseiny3501 Жыл бұрын
Ila jmaa kama fundi kweli hivi naombeni mniambir huyu ni fundi kweli au
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Ni mjuzi na mjuvi wa haya mambo. Endelea kutufuatilia katika vipindi vijavyo.
@kalangahusseiny3501
@kalangahusseiny3501 Жыл бұрын
tunaomba muwe mnafnya Kila siku jamani kipndi kizur sana nimekipnda kwa sababu mmefnya kipndi kizur na idia nzur sana 💯
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Asante kwa maoni yao Kalanga, tutajitahidi iwe hivyo.
@mohamedtamla826
@mohamedtamla826 Жыл бұрын
daah nimekupenda mtangazaji kwa sababu ametulia anaongea kwa mpangilio na anajua anachofanya kiukweli huu fundi ni moja ya kipindi kikubwa sana
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Asante sana Mohamed.
@janethbendera7286
@janethbendera7286 Жыл бұрын
Jamani modizo nimekupnda bure jaman kama fundi kweli kumbe mmmmh
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Nakuona mbali sana Kijana Wangu modizo maana unafnya kitu Bora sana na Kwa hili nasema kipndi Kiko Bomba kipndi kifupi akichoshi alafu kinaeleweka naomba muendlee kuwaelewesha wasanii wetu maana kwenye swala la mavazr hawajielwi jamani
@modomidundo
@modomidundo Жыл бұрын
We kijana unyama sana dooh so poa mzee wangu creator umetisha 📌📌😁😁
@teamgachi2004
@teamgachi2004 Жыл бұрын
Umeona eee hyuu jmaa bwna au basi sema nimerudia Hii Kitu Zaid ya nne sasa nasema kipndi ni homba
@sirvesterndahani5638
@sirvesterndahani5638 Жыл бұрын
kazi nzur sana hongereni
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Asante sana
@khadijahassan1946
@khadijahassan1946 Жыл бұрын
Ila uongo dhambi kipnd kizur japo kuna vitu mnatakiwa nyingine Kama izo picha za gigi htuzuoni
@afroswaggatz
@afroswaggatz Жыл бұрын
Asante sana kwa maoni yako, tutayafanyia kazi katika vipindi vijavyo.
@mjofusaimon6205
@mjofusaimon6205 Жыл бұрын
Ulipo tupo kaka fundi Kaz nzur sana ila alie edt mbona hajatuweke izo pcha za Gigi jamani daah ila kipndi kizur sana
@mohdzotv2676
@mohdzotv2676 Жыл бұрын
TumeWasha sasa 🔥Afroswa