Tuko pamoja Kazi ni nzuri,nashauri ikiwapendeza ongezeni maudhui ya burudani Kama vile mpira, muziki nk
@SajefreyRuvako3 күн бұрын
I have blessed more.....🙏🙏
@SajefreyRuvako3 күн бұрын
Rest in peace 🕊️ my grandfather 🙏🙏.....He was unique person.......I will remember him forever....... May Lord be glorified 🙏🙏
@boniphaceochucha86496 күн бұрын
✍️
@ElibarikiErnest-d5e6 күн бұрын
Hii ni sera itakayo wasaidia vijana kupata halisia kitu watakachokitaka ktkt elimu,kuna wanafunz wengi wenye ujuz tofauti tofauti,zamani vipaji vyao vilikuwa vinakufa,ila ktk sera hii kutatokea mabadiliko makubwa sana
@mohamedirajabu45956 күн бұрын
Kazi kubwa umefanyika katika mabadiliko ya mtaala wa elimu
@manuelcaires34737 күн бұрын
You will never fool Those that are chosen of God,no matter how hard you try.
@manuelcaires34737 күн бұрын
Traitors will have their days in God’s Tribunal.You will not lose for waiting.
@manuelcaires34737 күн бұрын
Who can trust you when you are joining the W.H.O.Tratores will have their days in God’s Tribunal.
@johnsilas96439 күн бұрын
Amen...nice combination
@SalimSultan-kc4dw10 күн бұрын
Much blessings Tanzania much blessings Africa
@johnsilas964311 күн бұрын
Mkutano wa maana kanisa
@mohamedirajabu459511 күн бұрын
Hakika tehama ni nyenzo bora ,tunaendelea kunufaika na chanel pendwa
@sheikinitv848911 күн бұрын
❤
@manlematz82112 күн бұрын
Sheria zinatungwa ila hazifuatiliwi tunaweza kuchangia lakn zikapuuzwa
@JoshuaKibambe-g1w15 күн бұрын
Hongereni Baravuga TV tunapata habari toka hapa morogoro mm joshua kibambe
@kadogojohn764316 күн бұрын
Asante kwa kutuhabarisha we appreciate you.
@kingmanyotatz265516 күн бұрын
🔥🔥🔥
@mohamedirajabu459518 күн бұрын
Hakika tehama ni mkombozi katika mustakabali mzima wa ujifunzaji na ufundishaji na hili kundi wezeshwa ni muhimu
@epic_erma27 күн бұрын
Taarifa tumeipokea mwalimu
@kadogojohn7643Ай бұрын
Asante Sana kwa channel hii, ninapata taarifa nzuri zaidi kuhusu Elimu naomba maudhui zaidi yaongezwe kuhusu vitu vingine.
@PeninaJeremiah-p4fАй бұрын
Mungu akubariki mtumishi 🙏🙏
@pollenjile1299Ай бұрын
Amen
@HopeKoolaАй бұрын
Na kama Nina madai na nikafuatilia nikaambiwa yalishapitwa na wakati nifanteje? Kwa sababu si kwamba nilikuwa sifuatilii nilikuwa nikafuatilia mwishowe madai yamepitwa na wakati
Asante sana mwalimu kayombo kwa kurudi kutusalimia kalibu tena likarangilo
@KuruthumBilali3 ай бұрын
Teachers tabaraka rahman ❤❤❤
@namsifumaduhumwita24953 ай бұрын
Hongera kwa Mhe
@decotha80204 ай бұрын
Barikiwa kwa kuwatia moyo waadventista wa Sabato
@zachayojohn67694 ай бұрын
Ahsante Sana kiongozi Kwa hotuba Yako nzuri,kazi iendelee
@Asha-s9u8p4 ай бұрын
Mungu akubariki sana sir hija
@SaidiKicheu4 ай бұрын
naitaji kuwasiliana na mkuu wa shule au nambazake
@MambiseMbise4 ай бұрын
Asante mkuu
@HopeKoola4 ай бұрын
Miaka Ishirini mhmm sinitakaa nisahau
@momamishevevo84604 ай бұрын
Asante sana! -Tunaomba mwongozo itolewe shuleni,ukweli shule nyingi hazina mwongozo ya elimu jumuishi (inclusiveness) -Mafundi kwa walimu
@JoshuaMangare4 ай бұрын
Barikiwa pastor
@emmanuelwilliam67185 ай бұрын
Hongera sana
@RoseMfinde5 ай бұрын
Malengo
@nicodemusmigire41785 ай бұрын
Unatengezaje password kwa ajili mwalimu wa darasa kuingia?
@MgayaKaskazi5 ай бұрын
Good ❤
@JanipherMboje5 ай бұрын
Hongera sana baba angu Marco Nzunda mkuu wangu wa chuo cha ualimu Dakawa, nimejifunza mengi sana kutoka kwako,ulitupatia ushirikiano mkubwa sana kipindi cha uongozi wetu na ulihakikisha kila mwanachuo anafuata misingi bora hakika wewe ni kiongozi bora sana na ni mfano bora wa kuigwa Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vya juu zaidi,🙏🙏✍️
@YasintaHongela-j4s5 ай бұрын
Vipi kuhusi kihushi kwani kamusi inaonesha aina nane za maneno
@gabrieldoseti57295 ай бұрын
Wajinga kabisa hawa yaani uchaguzi mwezi wa 11 mwishoni huo si upuuzi tu
@shukurukihwelo30845 ай бұрын
Tuangarie na mahindi bei ipo chini pia iri uuze lazima rushwa tuna umia sana
@shukurukihwelo30845 ай бұрын
Mama nakuombea Mwenyezi mungu akuimarishe afya na afya ya akirii uzidi kuwa bora maana wa Tanzania milion karib 70 twakuangaria wewe