UGA MEDIA ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa kwa dhamira la kutoa habari zinazogusa matatizo ya kijamii na zenye kuleta Faraja na Amani ndani ya jamii chini ya motto wa ‘Furaha Yako’.
UGA Media inafuata misingi yote na maadili ya uandishi wa habari kwenye kazi zake kwa kufuata taratibu, miiko na sheria za vyombo vya Habari Tanzania.
Tunaamini kwenye ubora kwa kutoa taarifa kwa USAHIHI, UKWELI, WELEDI bila kubagua na kuegemea upande wowote.
Wasiliana nasi leo:-
+255 675834720 I +255 774530430 E-mail:
[email protected]