Hivi wazee wakongwe hawapo? kucheza ni sawa kabisa ila ngoma inavyopigwa siyo ile Mbangamojo ya ngoma nzito ya marehemu Mwandesile
@PriscaMwakifuna2 ай бұрын
Saafi sana
@timothwilliam95992 ай бұрын
Hatari san wapi hii
@Tanzaniatravelshow2 ай бұрын
Kyela - Mbeya
@pamone45235 ай бұрын
Shida mzee hachambui kwa urari sawa badala yake anaongea misimamo wake zaidi, hivyo anashindwa kueleza kwa kina mambo au utamaduni halisi wa mnyakyusa!
@Tanzaniatravelshow5 ай бұрын
Tunashukuru sana nasi tutajitahidi kuwaona watu mbalimbali ili tuweze kujifunza mambo mengi zaidi.
@EnockMwakalinga6 ай бұрын
Somo kubwa sana kwa sisi vijana wa saiz.
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Ahsante sana, endelea kuwa karibu na mtandao wetu kwa habari zaidi
@imanuelialmasi6 ай бұрын
Aiseee nimejifunza mengi kupitia mahojiano haya kongole kwenu nyoote mliowezesha hii. Mtangazaji na mzee mwakabambo wapo vizuri
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Tunashukuru, endelea kubaki nasi kwa makala zaidi
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Tunashukuru sana, Endelea kuwa karibu nasi
@MARIAANANGISYE-sy4os6 ай бұрын
Jamani hii ni shule kabisa nimejifunza Mengi kongole kwenu wote mliokuja na wazo hili la ubunifu wa kitofauti
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Tunashukuru sana endelea kubaki hapa hapa Kwa habari zaidi
@mwaka436 ай бұрын
Safi sana Mkuu Mwanzo Mzuri, keep it Up, Mwakabambo ameeleza Vizuri sana Mila na desturi zetu
@araskiezgoldskies6 ай бұрын
Tunashukuru mnoo
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Tunashukuru sana
@MARIAANANGISYE-sy4os6 ай бұрын
Aisee Mwee .... Jamani hii show ni nzuri sana ya yakipekee nasubiria episode nyingine
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Tunashukuru sana sana, endelea kubaki nasi kwa episode zaidi na zaidi
@Gumusuofficial1TvTanzania6 ай бұрын
Aisee nimefurahia sana hiki kipindi
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Tunashukuru sana, endelea kubaki nasi kwa habari mbalimbali za utalii na utamaduni
@ligetitv20536 ай бұрын
Mpalano Ni amapiano kabisaaaa sijui tulifail wapi!!!!
@Tanzaniatravelshow6 ай бұрын
Hhahahahah Mipalano ikianza wananchi wataamua, lazima tulete mapiano na mipalano katika jukwaa hili
@agnessmwakibinga6 ай бұрын
aisee nimejifunza mengi mnoo ahasante kwa madini haya mujaarabu