Пікірлер
@emmanuelmakorere4835
@emmanuelmakorere4835 6 сағат бұрын
Hi story ni ya kutengezewa movie
@AlsonSemoka-xp6vl
@AlsonSemoka-xp6vl 7 сағат бұрын
Na mimi natamani ningeishi hizo zama,,zilikuwa zama zisizokuwa na mambo mengi,, No internet,,,watu kuheshimiana daah!!!!
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 10 сағат бұрын
Bubblish jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Munishi kiboko
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 18 сағат бұрын
Asante Pazia Tv umeitendea haki interview mkuu! Hongera. Asante pia Malebo story yako inatia moyo wengi
@JaliathMsilikale-x5n
@JaliathMsilikale-x5n Күн бұрын
Mungu asante Kwa pumzi hii
@hilarymark7583
@hilarymark7583 2 күн бұрын
Yaani mtu wa chuga ni Mchuga tu hata akizeeka
@EverlyneNjane-uo8om
@EverlyneNjane-uo8om 2 күн бұрын
You are a blessing bella
@user-cp5iz2pb3t
@user-cp5iz2pb3t 2 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@JULIAWANGECHI-wt3tf
@JULIAWANGECHI-wt3tf 3 күн бұрын
La😂kini huyu Ako na meno mengi,si tulisikia sita tayari yameenda?ameogopa yasiende mengine.
@PetroTsaxara
@PetroTsaxara 5 күн бұрын
Kumbe ni wewe yule malebo uliekataa kuokoka ❤❤❤
@faithngunjiri7696
@faithngunjiri7696 6 күн бұрын
Am here after hearing him sing at VCC today ...God is faithful
@adelebwale4818
@adelebwale4818 7 күн бұрын
Jambo jameni ninawashukuru sana kwa kutusaidia kutuonesha kaka Patrick kubuya na dada Rehema,ningeomba munisaidie na number ya dada Rehema asante🙏🙏
@anthonygenge4366
@anthonygenge4366 8 күн бұрын
nmependa hpo kwenye V.O.K K.B.C RTD TBC
@user-im7vi2yf2d
@user-im7vi2yf2d 8 күн бұрын
Au anakataa kuokoka kwa sababu una malaika
@user-im7vi2yf2d
@user-im7vi2yf2d 8 күн бұрын
We malebo wewe, acha hizo.
@HarrisonOmondi-zf8nc
@HarrisonOmondi-zf8nc 12 күн бұрын
Waaah,,natazama kutoka Kenya mjini Kisumu,, huyu Mzee ako na talent ya comedian soo funny I say
@rebecajeremiah1556
@rebecajeremiah1556 12 күн бұрын
😂😂😂 et ningelemewa
@jepibier
@jepibier 12 күн бұрын
Je kuna mwingiliano wowote ule la Wachagga na waNgoni
@priscamakwetta740
@priscamakwetta740 15 күн бұрын
Eliya mwantondo Mungu akutunze daima,🙏🙏ni moja ya washauri wazuri juu ya huduma yangu.
@MulundamusisiriLeroi
@MulundamusisiriLeroi 15 күн бұрын
Ongera Kaka Mungu Amu abari kabisa Mimi Ni COMEDY MUZEE LE ROI MULUNDA OFFICIEL à Bukavu RDCongo 🇨🇩🙏❤️🤝🇹🇿🎼🎶🙏👍
@OmarAmran-t7k
@OmarAmran-t7k 16 күн бұрын
Serikali naomba wawe wanaajiri ma TO walisaidie taifa, huku mtaani wanazingua , sio kuajiri vilaza bana ,
@MrMbarikiwa
@MrMbarikiwa 17 күн бұрын
Kwa kweli huyu dada amenibariki sana. Neema ya Mungu iwe juu yenu milele.
@DenisJackson-pj2vs
@DenisJackson-pj2vs 17 күн бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu . Mungu azaidishe utetezi juu ya huduma Yohana 16:33.
@LazarobalamLazarobalam
@LazarobalamLazarobalam 17 күн бұрын
Amen Amen nimeipenda hiyo
@consorathajames2693
@consorathajames2693 18 күн бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 18 күн бұрын
Mungu ana kusud na wewe mwana wa Mungu, pole sana azid kukukmarisha hautakuwa kipofu daima shetani ameshindwa dhumuni lake
@josephinemtei186
@josephinemtei186 22 күн бұрын
Wokovu ni process wapendwa acha Yesu atadili na Malebo taratibu
@josephinemtei186
@josephinemtei186 22 күн бұрын
Wokovu ni process wapendwa acha Yesu atadili na Malebo taratibu
@josephinemtei186
@josephinemtei186 22 күн бұрын
2024❤❤❤❤
@HappinessAhia-ey1lq
@HappinessAhia-ey1lq 23 күн бұрын
Hey Bell keep on worshipping God, don't care about what others say concerning ya tattoos. Naishi Marekani na nawaona wenginwanatattoo na wanamcha Mungu. So wengi wanajaji coz hawajui. Pia ni mazingira yetu. Tunaamini tukiona mwenye tatu tunamuona kama muhimu but tukakosea sana. Mungu anaangalia dhamira ya ndani ya mtu.
@FlorenceOnyango-ff7yo
@FlorenceOnyango-ff7yo 24 күн бұрын
Hio tatu inamulikwa sana na camera
@FlorenceOnyango-ff7yo
@FlorenceOnyango-ff7yo 24 күн бұрын
Na amechora tatue weeee mungu shuka
@JustineCherop
@JustineCherop 25 күн бұрын
Unanitia nguvu za kuendelea na uimbaji wangu jamani pia nami Sina wazazi wote ila mungu pia amenijalia na kibawa cha uimbaji ninajua kunae mungu mbinguni mwenye neema
@glorygreyson2809
@glorygreyson2809 26 күн бұрын
blessed go viral Kibo wa YESU 4 God's Glory
@LazarobalamLazarobalam
@LazarobalamLazarobalam 29 күн бұрын
Good vector
@LazarobalamLazarobalam
@LazarobalamLazarobalam 29 күн бұрын
Amen Amen
@YonahEmanuel
@YonahEmanuel Ай бұрын
Hongera sana bella kombo mungu akuangazie nuru, lakni mimi pia napenda kuimba so naomba connection yako,
@paschalinahharis9604
@paschalinahharis9604 Ай бұрын
My favorite singer❤❤
@DukeMindali
@DukeMindali Ай бұрын
Hongera kabisa
@aljunjaziri
@aljunjaziri Ай бұрын
Bibi ujue mmetufanya tuokoke kwa nyimbo zenu. Mimi nikiwa bado mdogo nilikuwa nasikiliza nyimbo zenu. mnatuburudisha sana. Mungu awabariki sana
@JaneyChigga
@JaneyChigga Ай бұрын
Bella ukiendelea na utulivu ulionao ktk kumsikiliza Mungu utafika mbali sana. Utaliishi kusudi la Mungu. Nimekusikiliza una kitu kikubwa cha Mungu. Pambana, ng'ang'ana utamaliza na Kristo. Mungu akutunze.
@user-dv6wz5ql1j
@user-dv6wz5ql1j Ай бұрын
Mungu Asifitu
@JacintaMaiyu-ed2mh
@JacintaMaiyu-ed2mh Ай бұрын
Pastor Munishi
@user-nl5lg8lx5d
@user-nl5lg8lx5d Ай бұрын
Mpambanaji, Mama wa wengi ❣️ 🥰 nakupenda sana
@mattyhappy1581
@mattyhappy1581 Ай бұрын
Ameen
@qweentz-nb2qc
@qweentz-nb2qc Ай бұрын
barikiwa mtumishi welcome again Zanzibar🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MaleMakauki
@MaleMakauki Ай бұрын
it was great good job and god may bless you you are so confident its not an easy job to preach in zanzibar
@aloycendalu6867
@aloycendalu6867 Ай бұрын
Aiseehuyumdada kweliameokoka kwanza anaujasili wakipekee
@kasimebyarufu3386
@kasimebyarufu3386 Ай бұрын
Ule muze Malebo anatutesa sana sisi wa Congomani alafu tumemusamehe 😂😂
@williamnassari9594
@williamnassari9594 Ай бұрын
Mungu akutunze sana Madame Bella. Focus!