Ningependa unifunze kufanya makeup. Ningependa kujiajiri
@LifestylewithLyne20 күн бұрын
Kichwani kwangu nitaifanya hii ila in real life mhhh 😅😅😅😅
@BodyOfChristApologeticsАй бұрын
Hii kweli kabisa! 🙌🙌 Watanzania tupambane
@SalomeLuchembaАй бұрын
Leta kwa ambapo hatujasuka
@FabriceIssa-p5jАй бұрын
Kazi nzuri
@zawadisalum-f7uАй бұрын
Ooh I wish to be there with you shogaaa nyonyoo...I remember last time tulipuga miseleee
@SharoneEliasАй бұрын
Et na manyonyo makubwa 😂😂 dada Bei gn kwa week ukikomaa unapat
@SharoneEliasАй бұрын
Naje siku makadilio Bei gn unawez kungiza
@ZAINABUMWINYI-go3cg2 ай бұрын
🎉 asantee Sanaa
@MponelaComedy2 ай бұрын
Hizo Pin zinatumwa kwenye sanduku la Costa ama kwenye Email?
@pendosamwel92892 ай бұрын
Jee unawek kiini au yale maji yake
@HosenMkwizu-v7u2 ай бұрын
Habari dada jamani mm nateseka kumfikia abiria jaman
@dudy2 ай бұрын
Hi, l am dudy watching your video. I am visiting Tanzania soon next month. I am a KZbinr who is interested in visiting the hadzabe tribe in Tanzania. I am looking for a local person whom l can travel with to create content. Shall we make it together please? Thank you
@PaulinetuvaTuva3 ай бұрын
Akinapenda
@Ashuramakame-k9q3 ай бұрын
Tufundishe jicho la smoke
@AshaMumba-x6v3 ай бұрын
Asant kipnz❤
@ukhtyjabutv63683 ай бұрын
Naweza fungua google adsense kabla yakuwa monitized
@michaeljango80733 ай бұрын
I speak Swahili ya Keneya your Swahili is very heavy and your accent very very deferent I will follow you to learn more
@simplyzacky3 ай бұрын
Will try using English more
@michaeljango80733 ай бұрын
@@simplyzacky in my time in east Africa Tanzanians they don’t speak English Uganda’s they don’t speak speak Swahili 😂😂😂
@ZenabAli953 ай бұрын
🥰👌🫶
@KhadijaMirza-o3j4 ай бұрын
Dada manager call no
@elizabethndimbwa54704 ай бұрын
Ahsante sana kwa elimu hiyo
@Nyar-Karateng_TV5 ай бұрын
Dada, endelea kutengeneza videos. Mimi nataka kujifunza kuzungumuza kiswahili kama waswahili. Alafu pia watu wa diaspora/wazungu wengine wanataka kujifunza kiswahili.
@jafarigardener38715 ай бұрын
Hiyo karatasi unaipatia wapi
@fashyahmed41355 ай бұрын
Na jeee setting powder na baking powder zote unaweza zipaka??? na utazijuaje tofaut yake
@fashyahmed41355 ай бұрын
Ipi bora baada ya kuhighlit na concealer, kat ya kuoaka setting powder au kupaka powedr ya kawaida shm ulizo highlit???
@iAm_miles175 ай бұрын
Nataka kazi nina makaratasi zote za uber…kindly help me out ,thank you
@yusuphkinga54915 ай бұрын
Dada naomba unibip nnashida na ww
@jafarigardener38715 ай бұрын
Hiyo karatasi mnaipata wapi
@ukhtyjabutv63683 ай бұрын
Inawezekana google adsense nikaiandaa kuwa nayo kabla yakutimiza vigezo vyakuwa moñitized tube?
@jafarigardener38715 ай бұрын
Kama huna address 8naku2aje?
@AzminaMuhaji5 ай бұрын
Mashallah 😋👌
@nihanAmina-t4o6 ай бұрын
Asante dada nmejifunza
@RachelSadick-m3b6 ай бұрын
Sawa dada zakia my love
@NNeema-i9q6 ай бұрын
Asante kufundisha
@miriamtutorial6 ай бұрын
Foundation ya Vee beauty ni nzuriii????
@simplyzacky6 ай бұрын
Sanaaaaa.....
@miriamtutorial6 ай бұрын
Sijawahi kujua kuhusu edge control kumbe inakubali 😍😍… haiyeyuki??