Benachi - Madoa (Visualizer)
3:01
Benachi - PLENTY (OFFICIAL AUDIO)
3:07
Пікірлер
@CecyWaziri
@CecyWaziri 4 күн бұрын
Mungu akusamee rose; nilipenda nyimbo zako lakn tulip fikia no apn😢😢😢
@CatherineKamau-m1o
@CatherineKamau-m1o 7 күн бұрын
Iko fitty
@CapitalBInvestee-lr9vl
@CapitalBInvestee-lr9vl 9 күн бұрын
💯💯
@annastaziakimaro3042
@annastaziakimaro3042 9 күн бұрын
Hapo hakuna kumtumikia MUNGU ila kuna utumishi wa kumpinga MUNGU, kama mjumbe tu wote wanaopendezwa na wimbo huu utawapeleka motoni hao wanamuimbia shetani na Sio MUNGU wa MBINGUNI, kuwa makini
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 11 күн бұрын
Rose unaharibu brand yako acha usasa huo rudi kwenye sehem yako muche MUNGU kwa njia ya uimbaji achana na hizo nyimbo za kuinga hazikufai😢😢😢😢😢
@EpafraEzra-y7y
@EpafraEzra-y7y 13 күн бұрын
Great song 💯💯
@MAJIYAUTULIVU.BIBLIA
@MAJIYAUTULIVU.BIBLIA 14 күн бұрын
Benachi Ninakufatilia sana. Mche sana Mungu usisahau shetan hapendi tumpe Mungu heshima...
@NathanRichard-b1r
@NathanRichard-b1r 14 күн бұрын
😢😢 kisasa kinaharibu waimbaji wa nyimbo za injili unabakia ni uhuni tu ujumbe mubovu roho mtakatifu wenye kuwaongoza kashawaacha saiz munajiongoza ninyi wenyewe duuu murudieni muumba wenu mukitaka munitukane ukweli hapo hakuna wimbo hata kidogo ni lojo lojo tu uhuni mwingi ukisasa mwingi lkn Mungu ni yule yule jana leo hata namilele ijapobaridika dunia na wanadamu Mungu atabaki pale pale hubirini injili ya kweli ili watu waamini kupitia ninyi sio ninyi ndio muwe ubao uelekezao shuleni lakini ubao huo haujawahi kufika shuleni
@GuardsonGuardson
@GuardsonGuardson 16 күн бұрын
Hii ni injili au ni uhuni khaaa🫣🫣🫣🫣
@lusogo_albert_1
@lusogo_albert_1 16 күн бұрын
Rose mhando 😮
@florapeudy3963
@florapeudy3963 16 күн бұрын
Tutajua mengi tripuu hii waimbaji wetu
@Evangelistic-z3j
@Evangelistic-z3j 17 күн бұрын
Yesu Yesu Yesu kwanin hivi......mbona hivi 😢😢😢 Mbona adui shetan ameamua kuondoa aibu kwa uimbaji huu wa kipepo
@esthernjeri6483
@esthernjeri6483 17 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 18 күн бұрын
ROSE UNAIMBA NINI TENA UMEKUWA MALAYA NYOKO
@SalomeMsilu
@SalomeMsilu 18 күн бұрын
YESU hurumia watu wako😭😭😭
@esterjuma827
@esterjuma827 18 күн бұрын
Mungu atusaidie
@VincentyohanaYohana
@VincentyohanaYohana 18 күн бұрын
Duuh. Tuyahangalihe mambo haya kwa jicho lingine maana Ni uchafu kwenye gospel
@shadrickmbamba4521
@shadrickmbamba4521 18 күн бұрын
Siungi mkono nyimbo hii bora ungeimba umesimama tu na uvae vizuri ma dancer hao ndo kabisa hadi breach Mungu akakumee wengine wasije ona kawaida wapotoke kwa mavazi hayo style za nywele ndo usiseme wengine wamevaa na jicho la upofu as fashion unarudi nyuma Mtumishi badirika sasa mbona bado hujasahau sana safari yako ya mwanzo ulipo anguka anguko lako😢😢😢
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 19 күн бұрын
Hii ya dunia au ya dini
@EliasJacky-c4p
@EliasJacky-c4p 19 күн бұрын
Rozi muhando mbona baada ya kuugua,mungu kakurehemu yu hai Tena,mbona wateleza dada yangu!!!!!! Hauna tofauti saizi na watu Giza,mrudie muhumba wako Rozi
@isaya9613
@isaya9613 19 күн бұрын
Wimbo safi wala haunashida
@NtimiAngetile
@NtimiAngetile 19 күн бұрын
Rose mbona unarudi nyuma tena😢😢😢
@deborahjustinerwambogo8490
@deborahjustinerwambogo8490 20 күн бұрын
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh😷😷😷😷
@lovek6593
@lovek6593 20 күн бұрын
Ameanza tena kuzisaka popote pale ziko.likimkuta lakunkuta akimbilie kwa pastor nganga kenya😅
@ImmaBahati
@ImmaBahati 20 күн бұрын
Hiii nyimbo ni ya kipepo kabsa tena ya kishetani yani mwanaume kavaa na hereni 😅😅😅😅 na brichii kichwani hii hapana haifa rose kashaisha mrudie mungu
@davidjuli6846
@davidjuli6846 20 күн бұрын
Hapo Rose hana shida coz ameshirikishwa tu kuingiza sauti, Mwenye wimbo ndo mwenyeshida pamoja na wachezaji wake.
@JACKTONEOFFICIAL
@JACKTONEOFFICIAL 21 күн бұрын
Hii ngoma iko sawa kabisaa shida ni hao dancers wanakaa kina diamond wapenda bangi
@ombendaud5938
@ombendaud5938 21 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu Rose hapo unamtukuza shetani pasipo kujua usikubali kuachia wimbo huu ni shetani amekutumia
@CharlesMgassa
@CharlesMgassa 21 күн бұрын
Ina tatizo Gani kwani song acheni umama mnaojifanya sio wakosefu
@deboralumona3375
@deboralumona3375 22 күн бұрын
Munaimba mambo sawa lakini mambo hayako sawa.
@carohJobz
@carohJobz 22 күн бұрын
Turudini huku kindly🙏
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 22 күн бұрын
Rose muhando amepoteya njia sasa sijuwi ameshawishiwa nanani
@ibrahimbaruch2743
@ibrahimbaruch2743 22 күн бұрын
Mwombee na uingie inbox yake umweleze. Kila mja ana mapungufu yake
@jailonoely44
@jailonoely44 22 күн бұрын
WANA WA UFALME WA MBINGUNI!!! HIVI NI MIMI TU NDIO SIELEWI AU NAONA TOFAUTI ILA KWA NAMNA HII MAMA 🚥🚥🚥🚥🚥🚥
@TulyErasto
@TulyErasto 18 күн бұрын
Naona ushetani tupu,,YESU Rudi ,,YESU tunapotea maskini mweee
@Inkubutembo7779
@Inkubutembo7779 22 күн бұрын
Yesu rudi, mambo Yako yaliyo anza vizuri Sasa shetani anayaharibu.
@mercyKasyoka-k3r
@mercyKasyoka-k3r 22 күн бұрын
Rose kuzimu inakugoja ukimaliza hivi bingu utambaki kuisikia
@ibrahimbaruch2743
@ibrahimbaruch2743 22 күн бұрын
Nwombee na uingie inbox yake umwanbie vile mungu amekuambia umwambie
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 23 күн бұрын
😳🫢
@JoakimMarko
@JoakimMarko 23 күн бұрын
Wapi rozi rozi rozi rozi rozi mekuita mara5 naongezea na 6 rozii.. Mungu haangalii mwanzo anaangalia mwisho wako...
@ibrahimbaruch2743
@ibrahimbaruch2743 22 күн бұрын
Je, umewahi kumwombea?
@TulyErasto
@TulyErasto 18 күн бұрын
Tunamuombea,, lakini naona mengine ni maamuzi binafsi,,maana mwana akiwaweka huru tunakuwa huru KWELI,,Sasa hapa YESU hayupoo
@AtuganileGodson
@AtuganileGodson 15 күн бұрын
Angalia nguo tu dd,utachoka😢😢
@HenryMwinami-ky7lr
@HenryMwinami-ky7lr 23 күн бұрын
Tangu lini giza na nuru vikapatana, mama jiite kamkutano jiulixe uko wapi
@ibrahimbaruch2743
@ibrahimbaruch2743 22 күн бұрын
Hapa giza ni gani na nuru ni ipi? Mitindo tofauti huwafikia na kuwahudumia watu tofauti. Wewe kwako huo sio mtindo wako, sawa. Achia wanaofikiwa nao. Mungu huwafikia watu tofauti kwa njia tofauti
@KabwekuMukulu-n3v
@KabwekuMukulu-n3v 23 күн бұрын
Your old fashion
@phestostanley4019
@phestostanley4019 23 күн бұрын
Na mimi nikonti leo, Rose Rose acha mamiziki ya ajabu
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 23 күн бұрын
Mziki wa ajabu kivip
@CesyBusumabu
@CesyBusumabu 23 күн бұрын
Huu ni mziki wa kidunia ila kwa macho ya nyama waonekana mzuri soma @math 23:23-27
@ibrahimbaruch2743
@ibrahimbaruch2743 22 күн бұрын
​@@CesyBusumabu Mwombee, ndivyo Neno lisemavyo. Kisha uingie inbox yake umweleze.
@KobieKibui
@KobieKibui 24 күн бұрын
@annmasharia1481
@annmasharia1481 24 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@amisawadem
@amisawadem 26 күн бұрын
Good music 🙏🏿
@MarkoMkiva
@MarkoMkiva 28 күн бұрын
Rose muhando hajawah kufell
@Destin-b.12
@Destin-b.12 29 күн бұрын
Naipenda
@StephenKiiru-k8w
@StephenKiiru-k8w 29 күн бұрын
WOW 😲 nice song love it ❤️❤️❤️❤️❤❤❤❤❤❤
@estherk.5426
@estherk.5426 29 күн бұрын
❤what beautiful Energy y'all had together❤Thank God for giving us Rose & Benachi!! can't stop singing/praising God❤❤
@carolinemwazi5583
@carolinemwazi5583 29 күн бұрын
Totally loving the Swahili lyrics. Totally dope! 🇰🇪
@tsunamiofficial-j9f
@tsunamiofficial-j9f Ай бұрын
Who's here in 2025
@lusogo_albert_1
@lusogo_albert_1 Ай бұрын
Rose muhando 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤