Ahlusuna TV.
2:46
12 жыл бұрын
Live Ahlusuna TV.
3:12
12 жыл бұрын
Clips 4
1:45
13 жыл бұрын
Пікірлер
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 7 сағат бұрын
Kwanza kabisa hakuna aliepigania uhuru dhidi ya Uingereza, labda wale waliopigana na wajerumani. Uhuru wetu ulikuwa tu ni sisi kuionyeaha UNO wakati huo kuwa tunaweza kujitawala na ndicho Nyerere alifanya baaasi.
@lambomayenga6151
@lambomayenga6151 12 сағат бұрын
Hivi tujiulize wewe ulikuwepo Berlin ? Umri wako unakutaka useme ukweli. Mbona unawadanganya hawa watoto. Hivi elimu unajua maama Yake nini? Mbona hats baada Uhuru waislam hawakwenda shule isipokuwa wachache. Waambie ukweli watoto hawa wasome shule SIO blaablaa. Wapemba Wana wasomi wengi je si waislam.
@Garusahir
@Garusahir 12 күн бұрын
Allah akurehemu akulipe jannat firdaus
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 17 күн бұрын
Ili mrad wawaritadishe wenzio 😢 wazungu maluuni kweli
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 25 күн бұрын
Mambumbumbu na udini; waislamu wapiganie uhuru, halafu nchi apewe Nyerere, kirahisi hivyo? Tafakari mnaopandikizwa roho ya kuzimu.
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 haf wanamtukana na wanamwita kafiri
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 25 күн бұрын
Kwa asemavyo huyu mzee anamaanisha nini, wakati hao waislamu wanapigania uhuru huo, Wakristo na watu wa dini nyingine walikuwa Wapi?
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 25 күн бұрын
Waliopigania uhuru kwa dua walipenda, maana uhuru ulikabidhiwa kwa awamu kwa nchi nyingi za Afrika na duniani kote, ilikuwa lazima uhuru tupewe.
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 25 күн бұрын
Sarafu ina pande 2, kwani wasingepigania uhuru huo hadi leo tungekuwa bado tunatawaliwa?
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 25 күн бұрын
Kazi ya kulaani mutu siyo kazi yako, ni kazi ya Mungu 😂
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 25 күн бұрын
Msiojua dini kweli tatizo; tumwonbapo Mungu jambo siyo kazi yetu kujua ni wapi au nini Mwenyezi Mungu amfanyie mtu aliye kufa. Kuona au kuto ona pepo ni kazi ya Mungu.
@NassirShayo
@NassirShayo 10 күн бұрын
HAYA MANENO YAKO SIO SAHIHI KWA ASILIMIA 100%
@faustinconrad2554
@faustinconrad2554 25 күн бұрын
Huyu mzee alikuwa mchochezi wa kiimani, Mungu atampa haki yake kwa kile alichokipanda Kibiti na mkuranga.
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 6 күн бұрын
Wengi wao wapo hivo
@RamaMohamed-oi9ff
@RamaMohamed-oi9ff Ай бұрын
Masha Allah, Allah atuzdshie Iman n atupe nguvu ktk watu wanaotudharau ktk maisha haya yetu ya kileo🎉❤🎉❤unyonge kwa waislam umezd
@manyandaramadhani5427
@manyandaramadhani5427 Ай бұрын
Na wewe kwa nini huktpiga picha hukua na sim maneno mengii
@Elsah-r8c
@Elsah-r8c Ай бұрын
MashaAllah ❤
@AmirIbrahim-wh5sq
@AmirIbrahim-wh5sq 2 ай бұрын
Allahu Akbar❤
@sammarley1413
@sammarley1413 2 ай бұрын
Nyerere laanatullah alayhi
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Ай бұрын
Sasa nyerere kafanyaje nawewe
@AdnanOmar766
@AdnanOmar766 3 ай бұрын
Masha Allah kwamawaitha mzuri Jazzakakher shek
@mauricendungu
@mauricendungu 4 ай бұрын
Its 7.35am the only sheikh i admire in kenya
@seiframadhan1254
@seiframadhan1254 5 ай бұрын
Mashallah
@MackameHassani
@MackameHassani 5 ай бұрын
Hakuna alie mwema Kati ya mzungu na mwarabu kwa Muafrika hata siku Moja, dini hizi sis tumeletewa jmn sisi waafrika tusijazane chuki hapaa kila mtu aiheshimu dini ya mwenzie.
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 4 ай бұрын
Ss ulitakaje chaguwa kushuka au kunyowa mitume aliwachaguwa Allah kuja kuwatangazia njia aitakayo yeye na baada kuondoka kwao maulamaa ndio warithi WA mitume na Kila ummah unashahidi.kazi kwako kutia pamba sikioni au laa usisahau kaburi
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Ай бұрын
​@@MaryamIssa-y7vhayo yawazungungu unajua ya waarabu lakin? Jinsi walivokata watu mikono na jinsi wavomuua kwa sumu mtemi Milambo wa Tabora hawa wote mashetani tu
@MwanaidMaulid-ou9sk
@MwanaidMaulid-ou9sk 6 ай бұрын
Pepo iwe makazi yako shekhe wetu
@saidalmarjibi6112
@saidalmarjibi6112 6 ай бұрын
Uislamu uliletwa na Waomani…. Na Watanganyika walikuwa na imani nzuri kabla ya kuingia Uislamu, haikuwa vigumu kuwafahamisha fadhili ya mwenyezi Mungu. Wakaja wa European kukamilisha.. wengi tena wakaingia Ukristo--- na hao ndio wananchi wa Tanzania 🇹🇿 leo. ❤
@Rad07919
@Rad07919 4 ай бұрын
Haukuletwa na wa omani, uislam ulikua ushaingia visiwani ila wao waliusambaza sehemu nyingi za East Africa.
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Ай бұрын
​@@Rad07919 unaweza kutuambia hapo visiwan uislam ulifikaje?
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 6 ай бұрын
Shida yko shekh unapenda matusi mno.huu upumbavu uusemao wapenda mno kuutaja.usimzulie mtumi kua amesema ni upumbavu. "Man kadhabba alaiya fal yatabawwa a mak adahu ilal naar
@HusnaHusnamohamedi
@HusnaHusnamohamedi 9 ай бұрын
Masha Allah
@MohamedKasalama
@MohamedKasalama 9 ай бұрын
Makubwa umetuachia na kutufungua Allah akuhifadhi mahali pema pepon Aaamin
@MohamedKasalama
@MohamedKasalama 9 ай бұрын
Akili zenu fupi hata kama jina ni la kiarabu huyo muarabu mkiristo anatoka wapi? Mtamuelewa tuu sheikh
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 9 ай бұрын
Shukran sana
@issaissa7628
@issaissa7628 10 ай бұрын
Allahu Akbar 🥺
@DjumaAsha
@DjumaAsha Жыл бұрын
Ma sha Allah Tabaarakallah Furaha hadi machozi ❤❤❤Allah atuongozee vizazi vyetu vilivyo hai na vitakavyo kuja pia Awajaze kheri mashekh zetu watukufu
@babually173
@babually173 Жыл бұрын
Elimu ya bure kabis allh akuifadh ustadh
@alhabibmkama3566
@alhabibmkama3566 Жыл бұрын
Allah akbar. Subuhana llah. Hizi ndo darasa zinazotakiwa kwa waislamu wa zama hizi
@hamadiomari7804
@hamadiomari7804 Жыл бұрын
Mungu atupe Kila lenye kher
@SalmaTelkom
@SalmaTelkom Жыл бұрын
MASHAALLAH ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI SHEIKH WETU
@Kabeya410
@Kabeya410 Жыл бұрын
Allahu maghfirlahu warahmatu waskanahu filjanna
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Mwalimu wangu MashaAllah najivunia yeye❤
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
MashaAllah❤
@AfnanAfshan
@AfnanAfshan Жыл бұрын
Allah amraham
@salhidsalhida4151
@salhidsalhida4151 Жыл бұрын
Kiukweli sitachoka kukuombea maghfira akupokeee ilhal amekuridhia
@abdullazizmohammed7015
@abdullazizmohammed7015 Жыл бұрын
Allahumma ghfirlahu warhamhu
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Жыл бұрын
Huyu.ndie.mwanaistoria.wakwanza.kuongea.ukweli.wewe.ndie.wamuona.muongo.sisi.wenye.hii.nchi.tuna.muelewa.vizuri.tu
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Жыл бұрын
Hiki.kupindi.cha.samia.ndio.utaelewa.huyu.mzee.Alikuwa.anaongea.nini.kwa.mwenye.fahamu..nzuri.hiki.kpindi.cha.mama.samia.tutaona.menge
@lameckmbele5901
@lameckmbele5901 Жыл бұрын
ww mzee hufai hata kupewa ujumbe wa nyumba 10 huna busara unafundisha watoto ujinga kifupi ww ni mchochezi
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Yani nyie Duu mnabishana Hadi na marehemu?
@angelomalimi2444
@angelomalimi2444 Жыл бұрын
Jinga sana hilo shehe chochezi la vulugu
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Huna adabu,inaonyesha namna gani akili yako Giza Hadi unabishana na marehemu
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 Жыл бұрын
Sawa.., haya sema wewe usio uchochezi kuhusu hili jambo analoongea...
@razamohammed2700
@razamohammed2700 Жыл бұрын
Alibasaleh Speeches
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Siyo majina ya kiislamu ni majina ya kiaraabu okey weka hoja yako vizuri mzee
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Vijiba vya roho chuki kwa waarabu zitawauwa
@hassancharo1496
@hassancharo1496 Жыл бұрын
Allahu Akbar Subhana Allah Alhamdulilah
@hashimmakeha9586
@hashimmakeha9586 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Inshallah
@sprinasadro285
@sprinasadro285 Жыл бұрын
Allah akuweke mahali pema peponi amaan
@fatmasalim834
@fatmasalim834 Жыл бұрын
Allah awalipe ujra wao aliyeisoma na aliye upload. Ameen
@fatmasalim834
@fatmasalim834 Жыл бұрын
Afwan, anaesoma ni sheikh Ali Salim Muhsin not sheikh Khamis Nasoro . Tafsir nzuri mashallah na sauti tulivu kabisa.
@ruenasmakuwanje7242
@ruenasmakuwanje7242 Жыл бұрын
Mashallah 💕