Sema Askofu jamni mahubiri yako nimazuri tena sana.kitu 1 kwangu mimi nisichopenda nilazima uweke habari zamafuta yaupako mara kununua huko nikuwasema wachungaji wengine.Tuache Mungu atalifanyia kazi kwann kila siku lisemwe?
@octavinaalphonce68985 күн бұрын
Asante mbarikiwe
@LucianaMgwama10 күн бұрын
Mungu ibariki kigango chetu na sisi sote❤
@m.mmarckus62984 күн бұрын
Amina
@germanasondoka905711 күн бұрын
Tunashukuru Mungu Wanasegerea kupata MTOTO wa tatu Kigango cha Bikira Maria Kisukuru. Kwa maombezi ya Mama Bikira Maria Maria tunaomba kila hatua ya ujenzi iende kwa wakati.
@calvinireallylikethissongk685914 күн бұрын
St Maximillian Maria kolbe, Segerea Parish🎉
@eliasnganira766116 күн бұрын
Body language ya fr
@SizaAdolph17 күн бұрын
Mama umebarikiwa
@bennykomba644718 күн бұрын
Asante kwa mahubiri mazuri sana Baba. Tatizo moja ni kwamba ukutika kwenye maiki ya kwenye madhabahu unakuwa husikiki vizuri Baba. Mafundi mitambo wako waliangalie hilo
@jameshirima18 күн бұрын
Baba Maro 🎉🙏🏾🤝🏾
@Yomiyomi689718 күн бұрын
Huwa mnakimbia nini kukaa Kanisani. Mahubiri dk 3 kweli? Dominika hiyo! Ndo modernism. Tumetekwa. Hatuna muda tena kt yaliyo ya Mungu. Hovyo sana
@AbineryMwalukoАй бұрын
Jamani shetani mwenyewe simnamuona?😂
@Yesunimwokozi1Ай бұрын
Habar kaka ,hamna group la wasap la shujaa wa imalukata?
@shujaatz26 күн бұрын
Ndio kaka. Nicheki WhatsApp nitakuadd +260 979899963
@Masoy_PianistАй бұрын
DAAAH tutamkumbuka pia hata sisi wa parokia ya Jirani Kimanga kwa Mahubiri yake mazuri Mungu ampe kheri na maisha Marefu na Utume mwema kwake ......AMEN🙏
@LucianaMgwamaАй бұрын
God's Blessings and favors be upon you all.hongereni sana
@PaschalLihumboАй бұрын
Asante baba Neno zuri.
@JosephFrancisJoseph-n1c2 ай бұрын
Asante baba kwa neno lako
@mtafiti-j8v2 ай бұрын
Grazie frate 🎉
@beatusidama62332 ай бұрын
Monumental achievement!
@teklarevocatus73952 ай бұрын
Congratulations
@mtafiti-j8v2 ай бұрын
Congratulations to you Conventual Franciscan Friars
@furahia25103 ай бұрын
Hongera sana Shemasi
@glorymakitele3 ай бұрын
Asante kwa historia ya Mt. Romedio👍well explained!!!!! Barikiwa Sana baba shemasi.
@anthonyapolinary72013 ай бұрын
Ahsnate kwa mafundisho mazuri padre Amedeus
@Eva-f4n3 ай бұрын
Amina
@glorymakitele4 ай бұрын
Congrats!!! It's a well historical presentation!!!
@HonestLMsoffe4 ай бұрын
What an astounding historical presentation, well-done deacon Ben..keep us posted.
@eunicemgaya45424 ай бұрын
🎉🎉 Historia Nzuri ...tunasubiri sehemu ya pili. Hongera .
@anoldalistides31674 ай бұрын
Keep it up my bro..May God keep His countenance on you.. Eagerly waiting for your next episode..
@anoldalistides31674 ай бұрын
Splendid... Thanks Fra. Msofe, the video is so heart warming and empressive. 14
@aidanthadei42754 ай бұрын
Interesting.. friar ben 🎉 waiting for the nxt episod😊
@shujaatz4 ай бұрын
Very soon!
@Lilianhhando4 ай бұрын
Nice…. Hongera sana Shemasi
@josephchacha82774 ай бұрын
Asante Ndg kwa Shirikisho hili.
@sr.jovithavincent41194 ай бұрын
Ásante sana Ndg Benedict, kwa historia hiyo nzuri, ya mt Romedial, tunashukuru kwa hayo mazuri aliyoyatenda kwa jamii husika, nasi kwa maombezi yake tujaliwe fadhira kama zake. Ásante sana baba kwa kutulisha. Tunasubiria sehemu ya pili kwa shauku kubwa
@mariambuta96494 ай бұрын
Hongera sana baba Shemasi Ben
@irenesimon83324 ай бұрын
Congrats dad And thanks for the history telling ❤
@shujaatz4 ай бұрын
Any time!
@furahia25104 ай бұрын
Hongera sana ndugu B Msofe
@teklarevocatus73954 ай бұрын
Nina shauku sehemu ya pili🎉
@tumainimrosso-yr7cu4 ай бұрын
Asante sanaaaa baba Bene kwa historia nzuri. ..tunatazamia sehemu ya pili...ubarikiwe sana
@judithtarimo38694 ай бұрын
Congratulations Deacon Benedict
@glorymakitele4 ай бұрын
It's a nice reflection!!!
@ClaraRichard-c2d4 ай бұрын
Asante Ndg Benne,nimebarikiwa😊
@yassynicerich61134 ай бұрын
Am so much proud of you ndg Benedict
@tumainimrosso-yr7cu4 ай бұрын
Hongera sana baba Bene ..Mungu azidi kuwa pamoja nawe ..Tafakar nzuri
@paulina.baynit79704 ай бұрын
Asante sana kwa tafakari nzuri Fra Benedict, Mungu azidi kukutunza na kukubariki 🙏👏💯.
@registakimario89204 ай бұрын
Hongera sana Br.Benny kwa kutulisha vzr kwa tafakari ya neno la Mungu.