DUA YA TAREHE 25/8/2024 SIKU YA JUMA PILI
34:47
UMUHIMU WA KUTOA SADAKA SHEIKH ABUU JADAWI
31:48
DUA YA KUANGAMIZA UADUI 28/7/2024
15:08
Пікірлер
@jeanclaudensabimana
@jeanclaudensabimana 20 сағат бұрын
naam sheikh
@NyamweruAlex
@NyamweruAlex Күн бұрын
Kuota una panda baiskeli ila ukawa una anguka anguka huku ukiwa umebeba mfuko wa ngano ukielekea kuuza na unaye muuzia akawa ni mfanyakazi wa hoteri na ukaona ana ubwabwa ulo baki ukamuomba akakupa ukala na huku yule mwanamke akawa aliwahi kuwa mchumba wako wa utotoni ina maana gani hii nimeiota mimi na nikiwa ktk hali ya umasikini
@user-qg3qu1hm3i
@user-qg3qu1hm3i Күн бұрын
Jazakaallahw kheir
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f Күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f Күн бұрын
Mungu akuhifafhi dada wew❤❤❤
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f Күн бұрын
Takbiir❤❤❤❤
@PopoSuleman-e3b
@PopoSuleman-e3b 3 күн бұрын
Marshallah tabaraq'Allah
@rukianassoro503
@rukianassoro503 4 күн бұрын
Ameeeeeeen❤❤❤
@habibujuma-hl8pd
@habibujuma-hl8pd 4 күн бұрын
Kalibu kwenye dini ya haki dada yangu laila
@JudithWanyonyi-cp6mq
@JudithWanyonyi-cp6mq 5 күн бұрын
Niliota nakula ugali na mboga ya maajani green
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 8 күн бұрын
Kuna vitafunio hupendwa pande za kiarabu zipo kama chapatti nyeupe na nzuri huwa napendaga kunywea chai na nikawa nimeota nakula gafla nikastuka nimeamka je inamaana gani shekhe na nipo kikazi nje napitia changamoto na huzuni nyingi mno ila nipo na Allah sw kwa kila hatua naomba duwa napata ujasili wakutojikatia tamaa
@Dirawandesiymran
@Dirawandesiymran 8 күн бұрын
Naomba uniunge kwa group ustadh
@user-ev4lo6xi1e
@user-ev4lo6xi1e 9 күн бұрын
Shelhe Mimi nimeota na wapa chakula maduwe zangu
@user-xo2dq6nq6n
@user-xo2dq6nq6n 9 күн бұрын
Jazzakalah khairan sheikh Allah akulipe inshallah 🙏🙏🙏
@andrewmwandau8364
@andrewmwandau8364 9 күн бұрын
Tulio nje ya nchi twaeza shiriki aje?
@user-cu9tp7ze7z
@user-cu9tp7ze7z 11 күн бұрын
Alhamdulillah
@ZaitunSalimin
@ZaitunSalimin 13 күн бұрын
Je ukiota unakula nyama inamanicha nn ustadhi
@ZaitunSalimin
@ZaitunSalimin 13 күн бұрын
Je ukiota unakula nyama inamanicha nn ustadhi
@fatimaidresa1283
@fatimaidresa1283 13 күн бұрын
Amin
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 13 күн бұрын
Nimeota pesa nyingi sana ila mwenzangu hakubahatika kukimbia akaanguka kwenye maji yake sijaelewa ila mimi nikakimbia nakuluka daraja salama na kutoka nikaenda nikakutana na mwanaume aliyekuwa ananipenda sana ila anaumwa kama kaathilika kisaikolojia nikakutana naye nikamsaidia akaniambia kumbe unapesa nyingi sana akapona tukaingia kwenye upendo ukaludi na tukawa tunaenda nyumbani kwake, majirani wakaanza kumuambia umepigania umpendae hadi umempata wakatusifia mmependezana baadae wakaona wivu majirani kwa sisi kupatana kwetu, , maana hatuelewani na tuligombanaga mda sana na uchumba ukaisha hatukuowana ni miaka 2 imepita , je inamaana gani shekhe
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 13 күн бұрын
Naomba uniunge shekhe kwenye group
@sadahassan4750
@sadahassan4750 16 күн бұрын
0712218955
@zainabonlinetv2210
@zainabonlinetv2210 16 күн бұрын
Ushirikina upi lete dalili dini hii inaenda kwa dalili weka dalili hapo chini
@muhammadkhamis9396
@muhammadkhamis9396 16 күн бұрын
Shekhe me nafahamu ya kuwa dua ya ahlulbadri ni kati ushirikina
@jeanclaudensabimana
@jeanclaudensabimana 25 күн бұрын
Mbon hajapandish kidore juu
@FatumaMwaliko
@FatumaMwaliko 25 күн бұрын
Amina inshallah mungu atafanya wepesi namungu akujalie shehe wetu akupe afya njema uzidi kutumbea kwamungu inshallah
@HamisiHamisi-g5y
@HamisiHamisi-g5y 27 күн бұрын
😢
@HassanSalumu-z8e
@HassanSalumu-z8e 28 күн бұрын
Asalaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh shekhe ukimuota mtu usiye mjua ila alikufa kwa kupigwa baada ya kuwa mnaenda kuzika watu wamekuja wengi sana ila yeye alipigwa kwa kuzingiziwa hakuwa mwizi alikuwa na miaka 11 sasa wakati tunaenda kumzika ikanijia sauti kuwa ni mfunue kabla ya kumfukia tulikuwa watu wengi sana ile kumfunua alikuwa ni mzima mazishi ya kahairishwa nikaja kumuona amekuwa mtu mzima ana 18 ana mke ila mkono wake wa kulia ulikuwa tayari umekuwa mbovu haukunjuki kwa sababu ya kupigwa akiwa na 11 ila baada ya kuwa mtu mzima anapendwa sana na watu na na ofisi yake vipi hii tafsiri yake na maiti hakuwa kwenye jeneza ila alikuwa kwenye nguo nyeupe nasi amefungwa kama sanda hapana naomba kujua maana yake insha'Allah
@Fatma-yz2xr
@Fatma-yz2xr 29 күн бұрын
MashaAllah
@user-mg9bw1me5x
@user-mg9bw1me5x 29 күн бұрын
Mashallah
@FatumaAli-xm8di
@FatumaAli-xm8di 29 күн бұрын
Mtoto wangu aliota amelala nae lkn haha mdhuru
@FatumaAli-xm8di
@FatumaAli-xm8di 29 күн бұрын
Mmi nimepata ndoto nyoka ameni fungal ssa Yuko tayari kuni meza Nika amka tafsiri yake ni nn
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda Ай бұрын
Kumbe huwa unaomba chenji😅😅😅😅
@mwanakomboali8374
@mwanakomboali8374 Ай бұрын
Shukurani 🤲 shehk
@AyuniSuedi
@AyuniSuedi Ай бұрын
Asalam aleyk nimeota na mtu alokufa tunapiga stori inajirudia inamaanisha nn
@SeleBobo-q1i
@SeleBobo-q1i Ай бұрын
Ukiota umemuona ndan chini ya kabati mana nilieka mayai 7 lakini aliyala 3 yaka baki 4 nikawa na wasi wasi kuwa kala nyoka nikamtafuta nikamuona nyini ya friji nikawaonesha kaka zagu akatoka nyoka akaenda chini ya kabati akaja mtu akataka kumtowa
@ramadhanirama7970
@ramadhanirama7970 Ай бұрын
Shekh niunge kwenye group la tafsir
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 14 күн бұрын
Mashaallah❤❤❤❤❤
@esterpastory8918
@esterpastory8918 Ай бұрын
Mm huwa namuota binamu yangu alishafarki zamani sana huwa naota naongea nae au naota ananipa mtoto nimshikie mara ananipa hela
@EuniceReuben-bx6of
@EuniceReuben-bx6of Ай бұрын
Ukiota unakula half cake ndoton maana yake nn
@AbdallahMohamed-n8b
@AbdallahMohamed-n8b Ай бұрын
Mashaallah
@user-uv8ne8hk8y
@user-uv8ne8hk8y Ай бұрын
Nakubali hiii mie mana niliota nimepewa pesa kumbe ilikua fitna subhanallah
@RizikiKalume
@RizikiKalume Ай бұрын
Jamani pia mm nmeota nala pilau kisha nikamfichia babangu chakula hicho ele nmeshika nyama dadangu akanambia wewe na hizo na safari yako utajuwa mwenyewe
@ABEDISAIDILIGOMAABEDISAIDILIGO
@ABEDISAIDILIGOMAABEDISAIDILIGO Ай бұрын
Kumbe Kuna mambo menge ya kujifuza
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 Ай бұрын
Mbona imeishia kati hiyo
@user-cp9cf5te6n
@user-cp9cf5te6n Ай бұрын
Nimeota nilifunga imefika mda wa kufungua nikala ugali sahan 3 naulizwa mbona unakula sana nikajibu nilikua na njaa nimeamka tumbo halipo saw
@HabibaJumanne-yi4vo
@HabibaJumanne-yi4vo Ай бұрын
Mimi nimeota nimekufa rakini sikuosha wara sikuwekwa kwenye jeneza wara sikuzikwa ira kunamutu akaja kunifunika macho nikajikuta ninatembea na wanangu kira wanakokwenda kama murizi
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 Ай бұрын
Hili lishia, nalijua. puuzi kabisa.
@WinfridaAloyce
@WinfridaAloyce Ай бұрын
Mm nimeota nimeumwa na nyoka wa kijani na nyeus kwenye mkono
@user-pz8qk7ke4h
@user-pz8qk7ke4h Ай бұрын
Mi niliota nimeshika mbuzi nyeupe nampelekea nayo n vipi sheikh
@user-pq8wv3ny8t
@user-pq8wv3ny8t Ай бұрын
Unabatiza