Hakika maashaallah huyu ni bingwa wa lugha nyingi sana
@iddishame65965 ай бұрын
Mashaallah tumestafid mwalm Allah akueke Hakika ww ni nuru ktk umma huu
@abuidifundi20165 ай бұрын
Aamiin thumma aamiin na wewe pia mwalimu wangu
@Anwaaritv5 ай бұрын
Mashaallah
@abuidifundi20165 ай бұрын
Shukrani
@Anwaaritv7 ай бұрын
Mashaallah
@ZainabAbdallah-p5k9 ай бұрын
Mashallaah alihamduli nawaona maustadhi wangu mungu awape umri mrefu ishallaa
@mustafahkapopwa523910 ай бұрын
Hiyo ili kuwa ni laana ilo kutuma hivo wewe uja ona bado utaona mengi kabla mauti yako, mtume muhamad sio mwenzako
@husseinhassaname11 ай бұрын
Jamani mm nawausia muogopeni.mungu dunia hadaa acheni mzaha ktk dini tmche mungu
@RashidiIsmaili11 ай бұрын
Ndiyo hoja iliyo jengwa ili uwe mkweli tupe hadithi iliyotolewa na sheikh said iliyo thibitisha
@RashidiIsmaili11 ай бұрын
Acha ushabiki bacho alijenga hoja kwa ushahidi uliyo kamilika wapi said alitoa hata hadith moja ya kuhonyesha uthibiti wa wanyama kupehana khabari?
@mkubwamasoud277611 ай бұрын
Yaani huyu jamaa mtupu sana
@naasibabuu11 ай бұрын
wamepotea na wamepoteza watu huyu nae anatoa fat wa
@AliShee-mb2gh11 ай бұрын
Izrail ni malaika gani?
@athumankalua50111 ай бұрын
Mda wowotee mwenyee hojaa ajee kwaa Shee
@BestBest-rx3sb11 ай бұрын
Jibuni hoja wacheni matusi
@AbuuAbdillah-hb8li11 ай бұрын
Huyu ni jaahili mjinga hivyo vya kitambulisho na kwenye pesa ni haramu lkn kwasababu tupo chini ya nchi zenye ukafiri na utawala batili tupo kwenye dharura ya kisheria (ila yule atakae lazimishwa na moyo wake ukawa katika hali ya utulivu wa imani ) huyu kina elimu yake ni ndogo sana na hawaa zimemjaa
@saidihaji373911 ай бұрын
Wewe ndio jahili maana hata maana ya dharura huijui kisheria . Dharura inakuja ktk imaa KUIHIFADHI DINI . KUPOTEZA NAFSI. KUHIFADHI HESHIMA. KUHIFADHI MALI KUHIFADHI NASABA . TWAMBIE : Wewe Usipokuwa na kitambulisho Utakua umwpoteza lipi katika mambo hayo yaliotajwa ??
@AbuuAbdillah-hb8li11 ай бұрын
Amelelewa kwenye bidaa na uzushi uongofu wala haujui
@AbuuAbdillah-hb8li11 ай бұрын
Huyu kijana uchache wa elimu alionao na ukichanganya na hawaa za nafsi yake ni mtihani mtupu jaahili
@saidihaji373911 ай бұрын
Jibu hoja na sio kuandika maneno ya kishaitwani .. Hii ni dalili ya mtu mtupu ambae hana elimu kwaivo anabaki na matusi na maneno ya dharau tu .
@AbuuAbdillah-hb8li11 ай бұрын
@@saidihaji3739 sasa wewe kwa akili yako kuna hoja gani hapo ya kujibu kwa huyo mchache wa elimu amekaa kupingaponga tu sunnah na kutetea bidaa na uzushi kwa hawaa alizolelewa nazo
@AbuuAbdillah-hb8li11 ай бұрын
@@saidihaji3739 pili nyinyi msifikishiwe haki mkiambiwa haki mnasema kua mnatukanwa majibu yenu yanafanana na washirikina ambao walikua wakikatazwa mambo yao wanamwambia mtume swalallahu aleihi wasallam kua anawatukana
@adammakame11 ай бұрын
Wafu kwa wafu
@HusseinZubeyr11 ай бұрын
Mungu awape mashekhe zetu afya njema na salama ili tuzidi kustafidi kutoka kwao
@HusseinZubeyr11 ай бұрын
Hakuna maua yanayofichikana
@saadaAbdalla137111 ай бұрын
Kapige mananda kwanza 😅
@babuumohd429011 ай бұрын
MAULID NI MAZAZI AU NI SHEREHE MAANA SASA UMEFIKIA BAADHI YA MASHEKHE WANASEMA AMULID NI IBADA. KWANZA WATUELEZE NI MAZAZI AU NI SHEREHE. MAANA KIARABU SISI WENGINE HATUKIJUI
@BakariKassim-s7l Жыл бұрын
Omba msamaa kwa ALLAH ww wacha ujinga
@سليمه-ح2ن Жыл бұрын
ماشاء الله أستاذ سعيد صدق أنك أشد في العلم كالأسد زادك الله علما ❤
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
آمين ثم آمين
@ramadhaniswalehe5569 Жыл бұрын
Acha pumba wewe juha
@mustafahkapopwa5239 Жыл бұрын
Subhanallah ! Wewe vita dhidi ya mtume ita kupa shida sana qabla mauti yako hivi una kijuwa kilicho kushawishi mpaka utupe hicho kitabu ? Na hapo unapo tibia zambi zako toka hapo ulipo tupa chini jicho kitabu hivi hukujuwa kama ndani mna ayat za allah na sifa za mtume ? Shauri yako. Ume danganywa na watu wa saudia. ita kuwa kheri kwako kuachana na uwahabu .
@husseinilyas8570 Жыл бұрын
Hayo yote hayana faida jibuni mulicho ambiwa kuhusu kuzawa kwa mtume
@MujibuKimweri Жыл бұрын
Hakika ni msiba mkubwa sana. Tunamuombea kwa Allah amfanyie wepesi katika safari yake insha'allah 🤲🤲
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Aamiin thumma aamiin
@rashidbisaho6223 Жыл бұрын
Ooook, Kwa hiyo sai ndo unajuawa kwamba Barzanji Kuna Aya za Allah? Wewe huna hekma bro..na hujatosha Rudi kasome
@AthumanJuma-hg2cl Жыл бұрын
Wewe unaweza wewe do ujui kabisa
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Karibu 0658685069
@azizayassin3623 Жыл бұрын
Punguza pupa kuwa kama othoman malimu kapoaaaa kapooooa akituo mawaidha htaki amalize sasa unaomba radhi
@AbdillahHabib-c9z Жыл бұрын
Masheikh tunawajua na nyinyi wapiga debe tunawajua pia.