Huu ndio wa kwetu ila Bongo tunakosea unajua South Africa wana mziki wa KwAITO ila huu mziki wa sasa wa Mapiano bado upo tu kwenye Kwaito ila transformation imeleta hilo neno amapiano lakini hawajatoka katika mfumo wa kwaito tazama hata uchezaji wao ni kwaito tu sasa hapa kwetu tumewatangulia hata South Africa katika Transformation kwa maana tuna mdundiko,mchiriku na sasa tupo katika levo ya tatu ya singeli mbali zaidi singeli pia ina Transformation humour humo kwa maana singeli aliyokuwa akiimba msaga sumu si aliyoifanya Manfongo wala Jay Combat .... unaona hapo??? ila mentality kwamba ni Mziki wa kihuni bila kusahau hata kwaito South Africa iliaminika hivyo lakini walisimama vema na ndio icon ya South Africa sasa ,hata sisi Tanzania 🇹🇿 Mdundiko,Mchiriku na singeli ndio Icon ila bado Serikali haitaki .... ukitaka kuamini weka bongo fleva pale weka mchiriku uone wapi patakuwa na vibe
@optatuslikiliwike173610 күн бұрын
Nina kila kitu lakini nimekosa mume wa kunioa numekosa nimekosa ninini mimi jamani
@saidmabanga38812 күн бұрын
Wami bar mwananyamara
@husseinremmy576213 күн бұрын
Tarehe 17/11/2024 siku ya jumapili nikiwa na miaka 31 na nna mke na mtoto mmoja wa miezi 6 naweka kumbukumbu 😅
@HamisiMtumba13 күн бұрын
𝟮𝟬𝟮𝟰
@muhammadomar178714 күн бұрын
Huu wimbo leo ndio nimefaniliwa kuupata youtube.nilishindwaje jamani.mambo mazuri haya,raha mpaka kwenye utosi
@kirikuo761216 күн бұрын
Rip🎉
@bakalijongo599817 күн бұрын
12 mwezi wa 11/2024🎉
@MikiNdwiga18 күн бұрын
Ndala Kasheba alipendwa na wengi hapa Kenya.
@Emmanuelmbembela-b4k18 күн бұрын
Wanyiha tu juu sana😂😂
@sumeenabeattie210123 күн бұрын
Does any one know someone that can write and sing me a song in Swahili for a guy. I’m will to pay.
@HellenFrancis-s4hАй бұрын
Miziki ya kizamani ni tamu jamani
@SharifuAbdallah-u6iАй бұрын
Uwimbo nakumbakambali San asee.mwanyamala der és salam
@joelmpe3851Ай бұрын
This is Al Etto not Chicco. Beautiful Work!
@SofiaJumaKalombaАй бұрын
Jamn kumbe amefarik hii nyimbo naioenda nikiisikiliz hii nyimbo inanitiwa machoz kabis mm ni🇲🇿
@Hosea-g1zАй бұрын
Mwamjuma rajabu marijani
@ericklibaba1198Ай бұрын
2024 ❤ RIP Brother Omary 🙏
@ezekielrichad5974Ай бұрын
Nakumbuka mbali Sana wakati huo
@mbotembote944Ай бұрын
Marjani Rajab sauti yake hakuna mtu anaeweza kumuigiza
@cosmasmpwage2576Ай бұрын
Dida apumzike pema peponi
@HewardMwazalaАй бұрын
Nakumbuka Baba mzee mwapoa..miss those days..
@MwichandeHassanАй бұрын
Ipi hiyo
@allykuyawa4832Ай бұрын
Nyimbo yake ya mwisho
@allykuyawa4832Ай бұрын
Wee acha enzi zake tulikuwa atulali ata km yupo kibaha na dar tunaenda
@GaryLee-j2vАй бұрын
Harris Barbara Walker Mark Lee Ruth
@elifazmpozayo2930Ай бұрын
2010 hiyo 🎉🎉🎉 now 2024
@RashidSaid-u9qАй бұрын
Jamani mkongwe zaidi wa Nyimbo za zamani Kuna Nyimbo Natafuta msaada Ambae Anaweza kunisaidia
@RashidSaid-u9qАй бұрын
Ukweli mtupu jamani Nyimbo Hizi Hatareee
@RashidSaid-u9qАй бұрын
Ndala kasheba
@gabrielmashauri8236Ай бұрын
Wimbo huu una ujumbe unaovuta hisia za ndani kabisa.Dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau😢!
@IreneCalvin-g8hАй бұрын
Dada dida tutakukumbukaa
@fazeelshomary8743Ай бұрын
Golden Era ya Taarabu hii, 13 years ago, R.I.P Dida, October 2024!
@dianaKambuaАй бұрын
Sisi hatupendi maneno,kazi tu ndio tunaijua🔥🔥🔥
@markojwang4809Ай бұрын
King Kikii alikuwa ni mwanamziki mwenye aina ya miziki na mtindo wa kipekee
@mariamismailMohammed-jg2tpАй бұрын
2024 baada ya kufa dida nimekuja kuisikiliza tena 😢
@HamissiSelemani-i3gАй бұрын
2024 2juwane
@dianaKambuaАй бұрын
Naskiliza huu wimbo nikiwa Na uzuni sana,pumuzika Kwa Amani dida😭😭💔
@Africa1_newsАй бұрын
Dah nmekumbuka mbali saaana D I D A..
@asiakhamsini1490Ай бұрын
Hii nyimbo walimuimbia dida kipindi yupo times fm uwiii 💔 na kipindi chake Cha mitikosiko ya pwani
@platnumzkawiche1861Ай бұрын
DIDA😥😥😥😥💔
@MuddyMjumbeАй бұрын
Kama wasikiliza hiinyimbo baada kusikia talifa yamsiba gonga like
@shabaninjaidi1490Ай бұрын
Nmeikumbuka
@JamesJulius-po2ueАй бұрын
dah
@Sarah-ph5kwАй бұрын
Me too
@HassanMohamed-u1fАй бұрын
Boss
@EbiaMichael2 ай бұрын
Nimelia sana😂😂😂
@RajabuMbega2 ай бұрын
Golden voice of East Africa
@NabweraAmboko2 ай бұрын
Nostalgic song
@okothopiyo11082 ай бұрын
Tamu sana
@ndazibruno72322 ай бұрын
2013 third year ilikuwa noma hili song 🔥🔥🔥👊
@AishaYahaya-z9j2 ай бұрын
2024 tupo wangapi? Gonga like
@mussamakuru12542 ай бұрын
Rip Omary omary and pancho ngoma ilipigwa 2009 dhahabu records