JIBU LA 156 ; HUKMU  KUPAKA RANGI NYWELE
5:54
JE KATIKA UISLAM KUNA NUKSI ??
13:06
WALETE DALILI HAO WANAODAI.....
3:32
EWE MUISLAMU IJUE MIEZI YA KIISLAM
6:24
Пікірлер
@JumasKaboma
@JumasKaboma 4 сағат бұрын
😊
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii Күн бұрын
Muongo huyu
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 2 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 2 күн бұрын
MAASHAA ALLAH❤❤❤❤
@aminasaid6555
@aminasaid6555 4 күн бұрын
Alhamdulillah MashaAllah ❤
@aboumill994
@aboumill994 4 күн бұрын
I adored speech.
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 5 күн бұрын
Mche Allah....acha kuzunguka zunguka na kupiga nyambu.....HII NI DINI YA ALLAH.....UKIICHEXEA HALI UNAJUA ALLAH ATUUUMBUA HAPA HAPA
@Alibaana550
@Alibaana550 4 күн бұрын
Na wewe pia mche ALLAH , na ukae chini uisome dini yako kisha uache mihemko.
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 4 күн бұрын
@@Alibaana550 maulidi ni bidaa na kuna shirki kwenye barazanje....BIDAA ....MAKHURAFI NYIE TUFANYE SUBRA UZURI HATUISHI MIAKA MINGI...TUANGALIE NYIE NA SISI MASUNN NAN YUPO KWA HAKI.....
@Alibaana550
@Alibaana550 4 күн бұрын
@@SameerMdumbemalongo ALLAH atupe salama kutokana na mazito ya siku hiyo
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 5 күн бұрын
Umoja gani fafanua...mbona unazungumza kwa ujumla, chambua huo umoja , maana makundi ya baatwil ni mengi.tuonganenenao?
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 5 күн бұрын
أهل بدر هم خيرة الصحابة الأكرمين والتوسل إلى الله بهم جائز ولم يرد ما يمنعه شرعا ولا عقلا وليس ذلك شركا ولا هو من مباحثه فمن شاء توسل بهم ومن لا فلا بأس فالأمر فيه سعة ....
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 6 күн бұрын
Bismillah
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 6 күн бұрын
Bismillah alhamdulillah maashallah
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 7 күн бұрын
Hapo ni msikitini au wapi mbona Amna kitenganishi ukuta wa kutenganisha wake na waume kama msikiti??
@ibrahimkassim8289
@ibrahimkassim8289 9 күн бұрын
Sheikh Allah akupe janatul Ferdaus. Waislamu wengi wamepotezwa sana .
@luqmansudi
@luqmansudi 10 күн бұрын
الله المستعان
@halimakunary8802
@halimakunary8802 10 күн бұрын
Huyu sheikh kweli na Allah akulipe kheri na akuongoze daima. Hii ndio tauhid haswaa! Mashallah
@kidasichambeo3062
@kidasichambeo3062 10 күн бұрын
Dr sule anatoa elimu yake wapi
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 10 күн бұрын
❤❤❤
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 10 күн бұрын
Allahu akbar
@user-iz2dw8rp2i
@user-iz2dw8rp2i 10 күн бұрын
Mimi binafs toka nilipopewa pete niliharibikiwa maisha yangu mpaka leo sina ishu.ni miaka 10 iliyopita.kabla sikupenda ila nilivaa tu baada ya kuambiwa unatakiwa uvae pete.nilivaa shingo upande.wallahi Sikudumu nazo kabisa nilivaa km miezi 4-au6 nikavua.kwanza niliona haya nikaona siko huru kila ninapoenda watu wananiona km nimetoka kwa mtaalam au napenda ushirikina
@CizaDangote
@CizaDangote 11 күн бұрын
Asante sheikhe kwa kukemeyea Ushirikina. Tunamtemgemeya Allah. Hao wenye pete zao wazivae hata shingoni kama Mungu hajataka jambo liwe haliwi. Hata wakivaa pete kiunoni.
@Abuusaad-uy5cx
@Abuusaad-uy5cx 11 күн бұрын
Mawahabi katika ubora wenu wakujitoa ufahamu...pigeni kelele tu ...hivi nyinyi mwadhani nani hataki pepo ?
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 11 күн бұрын
Ata huweleweki sijui ndio mganga mwenyewe
@omaryissa2562
@omaryissa2562 11 күн бұрын
ndio wote hao maandiko yake yanadhihirisha hilo
@IsmailAbdillah-ip2id
@IsmailAbdillah-ip2id 10 күн бұрын
Mawabi mnawajua ni kina nani nyinyi mbona mnatoka mapovu au ndo mahirizi mnayo nyiny
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 11 күн бұрын
Wakina doctor sule na diwani na genge lao wapo wwng hao walijitokeza tuuh shirki ndo mtindo wao kutetea mapete yana nasibishwa na ubani buhuri na kutuma majini kula fail sijui,wakinasihiwa husema ukimbilia kusema wahaby lengo.kuvunja uislamu sa sijui kati ya sisi na wao nani anavunja uislamu😂😂😂😂
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 11 күн бұрын
pete ni katika mapambo
@omarlalu6873
@omarlalu6873 11 күн бұрын
Elewa lengo kwanza
@IsmailAbdillah-ip2id
@IsmailAbdillah-ip2id 10 күн бұрын
Mdiyo ni mapambo ila hajamanisha pete ya kuvaa kama pambo kamaanisha pete za nyota wamazosemaga
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 11 күн бұрын
Allah anatosha ndio kila kitu hakuna pete itakayo kunufaisha ndio maana sitaki kuvaa pete
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 11 күн бұрын
ALLAH SW anatosha usimese dawa wala usiende spital KWASABABU Allah sw akikulinda basi bacteria hawezi kukudhuru. Na kutegemea kuondoa madhara ya bacteria KWA kutumia dawa na panadoli na ukamsahau ALLAH SW ni ......😂
@IsmailAbdillah-ip2id
@IsmailAbdillah-ip2id 10 күн бұрын
@@hilalkhalfan1452 we unafika mbali halafu mwenzako hajasema hivyo
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 12 күн бұрын
Barakallahu fink
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 12 күн бұрын
Naaam twahiby wattuu. Waache shirki. Wqmruuddie allaah wataasameehhewa swaddactta shhkk.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 12 күн бұрын
Tulijuwa na hili utasema ihitilafu maana tushakuzoea kila bjamboi ihitilafu ili kuwarizisha watu sasa hiyo so dawa ya salafi kutokuwa na tahamizi.Bainisha hakki usimuogope mtu au kumuonea aibu mtu shkh panako bidaa, sema hii bidaa so jambo bidaa unalitafutia ulaini hauuwa msimamo wa ahlsunna kufumbia macho batwil.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 12 күн бұрын
Shkh.mtume mwenyewe kagwa ummah katika maundi 73 alogawa yote yataangamia isipokuwa kundi moja litasalimika je hajagawa ummah hapo??? Inamana mtume alimanisha haviwezi kuwa sawa hakki na batwil wakakaa sehemu moja,makundi ya bidaah ndo yameleta furka kutoka katika a hakki,shk.mbona huna tahamizi na msingi wa maulamaa wetu wa ahlsunna wanatuambia kukaa mbali na watu wa bidaa pamoja na kujitenga nao na. Kuwachukia kina ibn msoud wenyewe walijitengaa na makundi ya batwil.
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 5 күн бұрын
Hujui maana ya umma Wala uislaam Mtume kasema umma utagawanyika makundi 73, kundi Moja ndilo litaingia peponi, Je ni kundi lipi???? Ukitaka kujibu Hilo lazima ujue tofauti ya umma na uislaam Umma Hadi makafiri wote ni umma Waislaam kila mmoja ana jitihada zake za kujipendekeza kwa mola wake, baada ya faradhi Kuna mapambo ya nyongeza za thawabu.... Pitia Aya ya 69 suratul ankabuuut kujua maana zaidi
@romessjunior5643
@romessjunior5643 Күн бұрын
Allaah akuhifadh shekh shida hawa uelewa ni mdogo sanaaa​@@ismailmsangule1380
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 12 күн бұрын
Shkh angepata nafadi atupitisge jweny ikhtilaaf za wanacwazuoni juu ya hili kwani kwa walio juzisha kupunguza hata km nimiaka kadhaaaa nao niliona wanahoja tena nzito
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 12 күн бұрын
Watu mbona wamekazania sana kuzika watu misikitini wanatafuta uhalali hawo wanaitikadi za kutala ushirikina ndo shida yao watu wa bidaah
@user-pi4mv4vd5k
@user-pi4mv4vd5k 13 күн бұрын
Hakki ni hakki na batwili ni batwili hatutaki mixer kama nyinyi Watu wa bid'a
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 16 күн бұрын
DR. SULE AMEDHALILIKA SANA, HESHIMABYAKE IMESHUKA KATIKA UISLAAM.
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 16 күн бұрын
Bismillah maashallah
@abdulsalaam5166
@abdulsalaam5166 16 күн бұрын
جزاك الله خيرا يا شيخنا
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 17 күн бұрын
Bismillah
@hemedykhalid4600
@hemedykhalid4600 17 күн бұрын
Yaaa Allah tunakuomba tujaalie watu wenye hekma mfano wa huyu sheikh Abdulkadir ktk nchi yetu ili wawaunganishe watu na wawafahamishe watu juu ya ulazima na umuhimu wa kushkamana ktk uislamu na sio kuwagawa watu na kuwakufurisha watu kw mambo madogo ambayo ni mambo2 ya ikhtilafu na ikhtilafu ktk dini haziepukiki lkn kuheshimiana ni jambo la lazima Allah ndio anajua ninani mbora wetu
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 17 күн бұрын
Amiin yarabbih al,aam🤲
@JamalJamal-l8m
@JamalJamal-l8m 18 күн бұрын
السلام عليكم..
@AmirAbdallah-pr4uq
@AmirAbdallah-pr4uq 18 күн бұрын
Mashaallah
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 18 күн бұрын
tunaomba pia tupate maelezo kuhusu upangaji wa safu (n vidole ama visugudi) nd hutumika shukrn sheikh wajaka Allah khaira
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 18 күн бұрын
wengi kati yetu tunatofautisha kw mguu wa maamuma kua nyuma kidgo, maskini kumbe n kufuatisha kibega
@AbdullahAllySharjy
@AbdullahAllySharjy 18 күн бұрын
Masha Allah akulipe❤
@HamisiHamisi-e9v
@HamisiHamisi-e9v 18 күн бұрын
Jitahidini sauti isiwe na mawimbi
@JumaMwanga-xd9gy
@JumaMwanga-xd9gy 18 күн бұрын
kama n dereva je inkuaje
@ibrahimkimweri2329
@ibrahimkimweri2329 19 күн бұрын
Sababu zipi za msingi zilizowafanya hawa mashekhe,wanazuoni watu wawili wakubwa sanaa wasioee
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 19 күн бұрын
ASALAM ALAIKUM, SHEIKH KUWA MAKINI KATIKA SUALI NA UTULETEE MAJIBU YALIO SAHIHI NA KWA DALILI NA SIO KWA KUKISIA. HABADIRI SIO WATU WALIOKUFA SHAHIDI KATIKA VITA VYA BADRI KAMA UNAVYOWADANGANYA WATU. KWAHIO UMEANZA NA UONGO. JIBU LIPO HIVI. ILE NI AHLU LBADRI NI WATU WOTE WALIOPIGANA VITA VYA BADRI WALIOKUFA SHAHIDI NA WALIOBAKIA KATIKA VITA BILA KUFA. TUKISEMA TUNASOMA BASI TUNASOMA HIVI;- @#YAA RABBI TUNAKUOMBA UTUPENDE KAMA ULIVYOWAPENDA WATU WAKO WALIOPIGANA VITA VYA BADRI. @# ☝️ UKISEMA MANENO HAYO BASI MWENYEZIMUNGU SW KWA KUTUONYESHA KUWA ALIWAPENDA KWELI BASI ANATUJIBU DUA ZETU. SUALI. 1) HAPO SHETANI KAINGIA VIPI? 2) HAPO SHIRKI IMEKAAJE?. AU KUMWAMBIA ALLAH SW KUHUSU KUWAPENDA WATU WAKE WALIOPIGANA JIHADI NDIO USHIRIKINA ?. SHEIKH MKUBWA NI AIBU KUBWA KAMA ULIVYO WEWE KUWA HUJUI MAANA YA SHIRKI . NI KUWAPOTEZA WATU KWA MAJIBU HATA HUJUI MWENYEWE NINI UMESEMA. HADHARI SHEKH, KUSIKILIZWA KWAKO KUSIKUHADAE NA KUPOTOSHA ELIMU.
@ramadhanhaddad7348
@ramadhanhaddad7348 19 күн бұрын
Shekh vp kwa sisi wamasai ambao kwetu wanaume husuka na huvaa shanga?
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 19 күн бұрын
Shukran sheikh❤❤❤❤❤
@JamalJamal-l8m
@JamalJamal-l8m 18 күн бұрын
Assalaamu alaykum...
@rabiinassoro5239
@rabiinassoro5239 20 күн бұрын
Asalaam aleykum.. Niulizie kwa Shekh hivi kila swala ya witri ina kunut au ni wakati wa ramadhani tu.. afwan
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 20 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@julioshomy1101
@julioshomy1101 20 күн бұрын
Mashallah wa kwnza leo ku comment
@Alibaana550
@Alibaana550 20 күн бұрын
ALLAH akubaarik