Kwa iyo we ndo mwenye usalafi Mjinga we Kama mmezozana nyie mtajuana wenyewe kaz kwenu Huwez kutwambia sisi sote
@HawaMohamedi-s4pАй бұрын
Maizybi mnatuka nini sasa?
@aliussi-e4iАй бұрын
Allha akupe kheri
@aliussi-e4iАй бұрын
Ndio
@anuaryally62042 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh
@abdurahimissa85782 ай бұрын
فاحذرو من الفكرة الوهابية الخبيثة
@IbrahimRajabh3 ай бұрын
Allah akbr Leo nimelea kbc bidaa nimbaya Allah atupe mwisho mwema
@AthumanAthuman-b6q4 ай бұрын
Nadhima nikubwa sana mambo yahovyo yamejaa kwenye jamii mnaanzisha taarabu kwenye dini .
@NassorroButcher-cu3pg4 ай бұрын
Wewe haki gani mtumwa wa ibilisi wewe, huna jambo na Insha Allah mnakaribia kutambulika kwa ushaitwan wwnu
@NurdinAbdullahi-gt6ui4 ай бұрын
قال ابن رجب فليس العلم بكثرة الرواية ولا بكثرة المقال ولكنه نور يقذف في القلب يفهم به العبد الحق ويميز به بينه وبين الباطل
@omari-vo7dy4 ай бұрын
Shekhe acha chuki
@SaidKessy-f5p4 ай бұрын
Wewe sheikh unafunza watu nini katika uislam..ushindani?madhahabi?matabaka katika dini?chuki?vijembe?kuhukumu watu kwa matazamo wako?kutoleana aibu?unawazungumzia masheikh wako katika daraja ya utume?WACHA KUSAMBAZA CHUKI ZA KIWAHABI AIBU ZENU ZINAJULIKANA..
@DaniDani-v3w5 ай бұрын
Umesema kweli haya mimi nilitoka siku 3 nikatoka siku 40 sijaona mabadiliko ya elimu ila imani inazidi kwa kule kukaa msikitini nakujua sifa sita lakini ukitoka ukija uraiani imani inaondoka elimu huna unaona watu wote wapotea hawabainishi hak tuifate
@NassorroButcher-cu3pg4 ай бұрын
Haaaa, subhana llah, wewe hukupata elim yoyote jamat tableegh? Ama kweli yawezekana nyie ma salaf mpo pamoja na mayahud, ama mnatumiwa kuushusha dini, sasa nyie mna msaada gani kwenye duni hii mbona mna bomoa watu tu?
@msamgunda76842 ай бұрын
@@DaniDani-v3w sasa shekhe huko kupanda iman si ndio lengo?imani ikipanda unaweza kwenda kuitafuta elimu zaid.inshaallah allah atuongoze.
@abdulrahmanbakar54165 ай бұрын
Izi chuki za waislamu zimeanza wapi? Ebu achaneni fikirieni jamii za kiislamu zinavyoteseka. Eti mara Usalafi Ushia Suni Sufi yaani duh
@yussufchileva305 ай бұрын
Ww muongo mzee ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ndani
@yussufchileva305 ай бұрын
I love tabligh ever
@mohamedimusa-sg4qs5 ай бұрын
Mashallah baraka ALLAH fiika
@msamgunda76845 ай бұрын
Faida kubwa ya tabligh huipata zaidi kwa yule mwenye kuandamana na tabligh.madhehebu yote yana kasora zake,cha msingi angalia ipi ni kher uifuate,shar uikimbie.inshaallah kher itapatikana.
@alliyharith34572 ай бұрын
Tabliigh siyo madhehebu
@RajabuMsumari-dh5jb5 ай бұрын
Shekh Kasim Anajifunza tusimlaum,
@AbuRumeysa-yz6xt5 ай бұрын
Jazaaka'llahu khayran shekh ila nnaswali moja,uko kutawadha baada ya tendo la ndoa ukitka kurudi mara y pili mwatawadha nyote au wewe mume pekee??
@Alrisaalaturrahmahislamiccente6 ай бұрын
wakati mmoja nafanya kazi msikitini ya kuadhini na swali swala tano nafamya kazi za usafi napata rizki yangu lakini jamaa tabligh wakaniambia nitoke nao. sasa ajabu mimi niko msikirini lakini nambiwa nitoke
@NassorroButcher-cu3pg2 ай бұрын
Kwaiyo wewe unachofaham kufanya usafi mskitin nakutafuta ridhiki ya sadaka kwaumini ndio juhud?
@Alrisaalaturrahmahislamiccente2 ай бұрын
@@NassorroButcher-cu3pg mche Allah umenizulia Mimi nilisema nafanya KAZI ya usafi msikitini wewe unasema naomba sadaka jua utaulizwa kesho kwa kunizulia urongo
@salumkhamis-tp4cp6 ай бұрын
Very smart Allah akuhifadhi sheikh wetu
@NASSORMUYUGUMBI6 ай бұрын
Hadi sasa kuna masalafi washatoa video youtube kuhusu umoja, ambao wao wameainisha si wakweli, na sababu ni kwamba ndanimwe kuna mashia,masufi, ibaadhi n.k, napata tabu sana nikiwaangalia hata wao wenyewe kwa wenyewe wanaitana mahizbi, sasa sijui wanataka kutuhubitia umoja gani ndo wakweli. NDOMANA BINAFSI KUHUSU MASALAFI NAMALIZA KWA KUWAAMBIA HAWAJUI WANACHOKITAFUTA, NA KAMA WANAJUA BASI WANATUMIKA VIBAYA NA WATU WENGINE KUENDELEZA WANAYOFANYA, SAWA WANAJUA KAMA WANATUMIKA AU HAWAJUI.
@SuleimanYakoub4 ай бұрын
Wewe unajua kama unatumika au hujui ? ndugu soma dini yako Kwa usalama wako mbele ya mola wako
@NassorroButcher-cu3pg2 ай бұрын
Mi pia nadhani wanajua,nandio mpango wao kuwagawa waislam, tena miaka hii wameanza kubadirika mimi nilikaa boma ng'ombe mkoa kilimanjaro walikuwepo asee watoto wadogo wametengenezwa hawana ahdabu hawasalimii asiekuwa jamii yao
@sasi_tv67027 ай бұрын
BIsmillah walyaduu bilbaraka..Allah humma inni asaluka min khairika or khairaha wahaira ma jabaltaha halayhi waauzubika min shariha washarri ma jabaltaha halayhi
@barakashehe9577 ай бұрын
Asalam aleikum warahamat Allah wabarakat sheikh qassim wallah Allah akuzidishie ilimu ya kheri. Npenda sana darasa zako.
@allymkwiru40578 ай бұрын
Acheni upumbavu masufi
@HamadHamduni8 ай бұрын
Tunaomba masheikh waje kagera wilaya ya muleba kijiji cha karutanga,kwasababu ukafiri wakishia huku umeshamili kwa kiasi kikubwa mno,watu wengi wametoka kwenye uislaam nakwenda kwenye dini ya kishia kwasababu ya ujinga na njaa!
@HamadHamduni8 ай бұрын
Hivi mashia hawazioni aya za quran zilizo waongelea maswahaba?
@ahmedabdulwahab54449 ай бұрын
USELESS, USELESS, USELESS, USELESS
@ahmedabdulwahab54449 ай бұрын
Abulfadhil , Abdalla Humaid na Abu Hashim wote Havana tabia, heshima kwa ma Ashaikh na daawa yao ni RADDI to billa kufuata Quran na Sunna . Dr Islam msomi kushinda who na Elmu na Akhlaq. Uhasidi na wivu .
@HawaMohamedi-s4p3 ай бұрын
We ndoho unaasad namasheikh zeru wakisalaf
@ahmedabdulwahab54449 ай бұрын
Dr will not respond to questions raised since last year .it's not write to ask some one issues he will not respond. Ask barbarian not Doctor Islam. You have already said he will not respond and has no capacity to respond. But he has already responded through proper knowledge and with respect. Kindly direct your questions to colleagues your in Tanga. All your references are nonsense.
@ahmedabdulwahab54449 ай бұрын
Reputation for several times , do you have anything to do with DAAWA without reference with other sheikh .
@ahmadmzoa749 ай бұрын
Go to the point."Mjue fulani" ina saidia nini. Fulani jambo kadhaa amekosea ilivyo halisi ni kadhaa wa kadhaa kwa ushahidi huu na huu. Halafu msitishe watu kwa ukali wa ndimi zenu, waacheni wakuulizeni maswali kisha muwakinahishe kwa dalili (Kitabu na Sunnah).Tusiwe kama mafarisayo.
@ahmadmzoa749 ай бұрын
Mnatufahamisha kuwa league mnaiweza. "Tabia mbaya kabisa Muislamu kuwa nayo. Mpaka wachache wameathirika tabia hizo. Ache ni kuweka:"Comments are turned off ".Mnaogopa nini?Nyie simnafanya raddi.Tuwe wa kweli. Yule Muelimishaji mgeni kafanya muhadhara kwa Shaykh Salim mmemuandama kwa maneno mpaka sasa. Waislamu tujiuliza kosa lake ni nini yule Shaykh mgeni ??
@ahmadmzoa749 ай бұрын
Mnafanya raddi halafu mnaweka;"comments are turned off" mnaogopa nini? Kama nyinyi ni wa kweli? Kama mnamuamini ALLAH SUBHANAHU WATAALA na Siku ya mwisho kwa ugomvi wenu Shaykh Barahiyani hauishi miaka sasa mnamkhofu kikweli ALLAH A'ZZA WAJALLA?? Wapeni watu faida acheni malumbano. Hamuwezi basi msiwashambulie watu wanaoelimisha umma. Hamuwezi kumshusha ALLAH SUBHANAHU WATAALA Aliyemnyanyua.Mnapoteza wakati.
@ahmadmzoa749 ай бұрын
"Total approved failure Daawa" Ni magomvi na mipasho kwenda mbele. Hii ndo Daawat Salafiya kweli? Hawa jamaa wana nongwa,Uislamu gani sampuli hii? Haya mambo yana mashiko?? Ila mnazidi kujipambanua tunazidi kuwafahamu zaidi misongo iliyomo ktk nyoyo zenu.
@yussufhamad37219 ай бұрын
Huyu muharaam mziwanda kapinda Allah amuongoze
@HafeedhQuran10 ай бұрын
Allah akulinde na hasadi za watu wa bidaa waambie tu hii dini banaa
@HafeedhQuran10 ай бұрын
Allah akuongoze ww pamoja na sisi inshaallah.......alafu usiogope kusema....... hakki haifichwi banaa
@nduwamunguabdoulkarim53010 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@omarsirleem710510 ай бұрын
nna swali moja,twakubaliiana kwamba kundi la tabligh limezushwa lakini je,Daawa yao wakiifanya kwa njia ya sawa kama kuzingatia Tawhid na mambo mengine waliokua nayo.....yaani wasifuate kina Muhammad Ilyaas bali Quran na Sunnah katika kulingania kwao,je watakua katika usawa ama bado watakua kwenye upotofu kwa ajili ya kujiita wao ni kikundi flani
@abdulgadafi19226 ай бұрын
Waislamu Makundi makundi mbele ya mwenyezi Mungu ni harufu mbaya
@abdulgadafi19226 ай бұрын
Cha Bora ni Kurudi kwa Quran na Sunnah....ya mtume kipenzi Cha Allah na kipenzi chetu swallalahu alehi wasalam.... tuachane na mambo ya kujitenga na makundi makundi....jameni sisi ni waislamu walahii
@AlhajiShabani-rq9vm10 ай бұрын
Kama wajiaminisha kutaneni mbona hutaki ss
@AlhajiShabani-rq9vm10 ай бұрын
Unamuogopa kukutana naye
@hassanimuhammad77710 ай бұрын
حفظكم الله يا شيخنا الفاضل
@salemaliy196310 ай бұрын
Acheni upuuzi
@abuutamiimattanzaaniy867610 ай бұрын
Hakuna upuuzi hapo, ni dini tupu hiyo
@abuuaidh650010 ай бұрын
Yeye mwenyewe huyo nimvuta sigara ndio ukaona anaitetea sigara
@AbuSuhaylah-b6f10 ай бұрын
Kila kitu kina masharti hata mambo ya kidunia ulishawahi kuona jambo ambalo halina maandalizi? Unataka akurupuke ili akuridhirishe? Au mnataka kama ile mijadala ya akina Mazinge isiyo na nidhamu wala utaratibu? Dini sio ushabiki hii sio football it ain't about who's winning it's about bringing Daleels from Quraan and Sunnah.
@jumaajambiamusa821410 ай бұрын
abuu khaula acha utoto bs mwenzio ana kugonja kwenye mjadala ww kaz nimajib embu tuachie kilele kama hutak mjadala kaa kimy we mzee
@hajjisanga78910 ай бұрын
Nyinyi mnadawa au itikadi za kiwahab uislamu umekuja afrika na wasomi kwahiyo hamna kitu kipya isipokua uzushi wa kuwatawanya watu basi
@fadhilimusa973210 ай бұрын
Mafuta acha kubweka hapo ulipo siombali na shamsul maarif nenda ukasomeshwe.
@SaidMadai-n7k11 ай бұрын
Acha kubweka jikoni ukajiona mjuaji hem jikanyage no ipo y mziwanda ujione km hujui pimbi w kiwahabi
@khamisiabdallah873711 ай бұрын
Kwani wew ni wahabi mbona mnadai mawahabi wanatukana watu japo ukwel nyie ndio mwauita matus na wee je
@ramadhanyusuf240111 ай бұрын
Asie na uwelewa abaki kwa masufi kama huna ufahamu wa kumuelewa Shwkha Abu Khawlah basi bakia katika usufi..