KZ
bin
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZbin
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
Жазылу
Mwendokasi Tv
Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini.
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini.
Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake.
Kktokuingilia faragha ya mtu.
Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa.
Mwendokasi Tv "We Run Together "
9:37
WENJE Awaanika vibaya LEMA na LISSU Hawafai kuongoza CHADEMA Walipanga Kumsaliti MBOWE
2 сағат бұрын
3:56
Hatma Ya Dkt. Slaa MAHAKAMANI hii hapa, MWABUKUSI athibitisha kunyimwa dhamana
14 сағат бұрын
11:53
WEUSI wanakiwasha BATA la Kupokea MWAKA MPYA hapa ARUSHA
14 күн бұрын
5:07
Tazama MOTO ukiwaka kwenye Mashindano ya MAGARI kuelekea USIKU wa MWAKA MPYA
14 күн бұрын
5:12
Arusha Ya MAKONDA yapamba MOTO mashindano ya PIKIPIKI Kupokea mwaka MPYA 2025
14 күн бұрын
8:25
MAKONDA awahakikishia Wananchi Wa ARUSHA usalama, BATA La Kukaribisha Mwaka MPYA 2025
14 күн бұрын
9:21
Akataa GARI MPYA aliyopewa na MWANAE ahofia JENEZA,Naogopa itakuwa amejiunga FREEMASON
14 күн бұрын
8:32
WAKENYA wamkubali DIAMOND mbele ya RC MAKONDA Kuwa ni mwamba kwenye mziki
14 күн бұрын
1:16
ASKARI mkiona Gari Mpya ipigieni SALUTE Mwamba kajitahidi, RC MAKONDA asema!
14 күн бұрын
5:28
Wamuomba RC MAKONDA Wanaume wenye HELA Wavae SARE ili tuwatambue !!
14 күн бұрын
8:44
RC CHALAMILA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAFANYABIASHARA JENGO JIPYA K/KOO
21 күн бұрын
10:04
MMMH!! HII SASA NOMA MAPENZI YALETA UTATA,WACHEKESHA KILA KITU
21 күн бұрын
8:44
VITUKO VYA TX DULLAH,CHARD TALENT NA MTUMISHI OBAMA WAFANYA UNYAMA,WACHEKESHA BILA KUTUMIA NGUVU
21 күн бұрын
8:39
UTANI WA BABALEVO NA LINEX HUKU AKIIMBA ‘SALIMA’ LIVE MLIMANI CITY
21 күн бұрын
10:14
AWAVUNJA MBAVU MASHABIKI “NILIKUWA NAISHI NYUMBA INAITWA SHANGAZI PUB 😀
21 күн бұрын
7:55
BABALEVO AMPA ONYO WAKAZI KUONGEA MAMBO YA WATU,ITAKUWA FUNDISHO KWAKE
28 күн бұрын
3:45
PROF.KITILA ABANANISHWA MASWALI NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU DIRA, AJIBU TUNAKUSANYA MAONI YA WADAU
Ай бұрын
15:00
Diamond Afunguka yote Sababu za Kushindwa Kutumbuiza Kenya/ Chuki/ Fujo Wasanii Kadhaa Watajwa
Ай бұрын
3:38
MSIGWA AVUJISHA SIRI ZA CHADEMA ADAI HAWANA HOJA,AMKAANGA SANA MBOWE
Ай бұрын
8:35
MACHOZI YAMTOKA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA WAKATI AKIABUDU MBELE YA WANANCHI
Ай бұрын
9:20
MAELFU WALIVYOFURIKA ARUSHA MATEMBEZI YA AMANI KULIOMBEA TAIFA WAKIONGOZWA NA MHE.MAKONDA
Ай бұрын
9:34
VIDEO YA MWIJAKU AKIMKOSOA DIAMOND HII HAPA,AMEKOSEA KILA KITU KWENYE HILI
Ай бұрын
8:55
MWIJAKU:ATAKA MAANDAMANO YA KUOMBA MSAMAHA KWA KAJALA WARUDIANE NA HARMONIZE
Ай бұрын
10:45
BABALEVO AWEKA WAZI HARMONIZE KUMPA HELA,MWIJAKU HAWEZI KUSHINDANA NA MIMI
Ай бұрын
0:35
ZUCHU ATINGA NA MABAUNSA KUNDUCHI ANAJAMBO LAKE
Ай бұрын
5:52
NONDO ASIMULIA KUTEKWA NA GARI JEUPE, KUPIGWA NA KUTUPWA COCO BEACH
Ай бұрын
9:09
RAIS SAMIA AKIONGOZA VIONGOZI KUAGA MWILI WA DKT.NDUGULILE VIWANJA VYA KARIMJEE
Ай бұрын
8:24
MDOGO WA MAREHEMU DKT.NDUGULILE AKIZUNGUMZA MBELE YA RAIS SAMIA NA KUMSHUKURU KWA MCHANGO WAKE
Ай бұрын
8:38
SPIKA WA BUNGE TULIA ACKSON AKIZUNGUMZA KARIMJEE WAKIAGA MWILI WA MAREHEMU DKT.NDUGULILE
Ай бұрын
Пікірлер
@leonarOsward
41 минут бұрын
Mbossoooo wee unajua adidaaaa
@Zwangendaba97
4 сағат бұрын
ndio interview hii alikua amelewa ama?
@nicokabonge197
8 сағат бұрын
Mimi ndio nafatilia muda huu
@mohamedrajabu9055
8 сағат бұрын
Poleni sana lkn police wetu inabidi wapewe elimu tosh jambazi kakiri kanyanyua mikoni hana silaha tena unamuua vp kama akiwa mzima muhojini nini shida
@PlatCharie
9 сағат бұрын
Simba heshima. Yako kabisa
@labanMathias
19 сағат бұрын
❤❤❤
@NudeAtlanta
Күн бұрын
Hope one dai i wll host these man in nude atlanta
@JayNord-n6k
Күн бұрын
Namkubali tembo
@HusseinOmary-qf6ee
Күн бұрын
Tunaosubili ujio wake mpya like na ku.Comments hapa!
@jacklinejuma-bo7zj
Күн бұрын
Awe naakiba ya maneno
@chikondiclement
2 күн бұрын
Tune hata gitaa mwanzo mondii😅
@AlengeLeya
2 күн бұрын
naitaji namba zako za watsap tafazali, Niko Congo
@ElizabethNyabu-q1x
2 күн бұрын
Sasa zariiiii ulimwacha kwnn mondiiiii jamaniiiii au mond ndy ulimwacha zariiii ctak kukumbuka😢😢
@IscoMonga
3 күн бұрын
Tumeyi shunga kwa amu
@MiriamIdza-j3t
3 күн бұрын
Upo vizr namnape da sana
@TomasKisunzu
3 күн бұрын
Mshamba Gani labda wewe ndo mshamba kwani we unanini
@DonathaLaizer
3 күн бұрын
2025❤
@aishaahmed5028
3 күн бұрын
Walikuwa wanaendana na kupendana mchawi kayaharibu na yy mpaka leo hana moja alilokuwa nalo yumo a nahangaika 😂😂 na dunia كما تدين تدان
@frademyindustry3751
3 күн бұрын
ASA Ile nyimbo ya loyal sasa ndo balaaa
@frademyindustry3751
3 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@victoronchaga8848
4 күн бұрын
Shiet 😮
@EmmanuelMaitha-i3h
4 күн бұрын
Harmoniz bn eeh acha pigo za huyo jamaa
@NyangokoPaul
4 күн бұрын
❤ umeweza
@zainabumartin9520
4 күн бұрын
Hawa niwaongo baba yake baba yake wanasema mtu wa moro
@FadhiliMgalla
4 күн бұрын
Mungu yupo?
@gloryvalerian
5 күн бұрын
2025 😂gonga like kam upo
@rashidfatma2137
5 күн бұрын
Wakati Wako Umeshapita.Muda Wako Ume-isha. Vaki Na Baby Wako Shakib! Mtumzima Hashuwo😂😂😂
@NestoryBenard-r4e
5 күн бұрын
Pole xan kaka
@AfulaAmdala
5 күн бұрын
😮❤😮
@IbrahimJamal-h8w
5 күн бұрын
huyo dada ana faida gani kuvaa hiyo nguo🤣 hata hakuna kinachostirika
@LucasMosoti
6 күн бұрын
Linex ni mkali japo hana support kaka ...angelikua hit sana 🔥🔥
@Veronica-b2f2g
6 күн бұрын
❤❤🎉🎉🎉🎉
@jamalsultan6868
6 күн бұрын
😂😂😂
@GervasMalimi
7 күн бұрын
Tafuta dawa kaka uwashe nyota😂
@RehemaIddy-o2g
7 күн бұрын
Mond mond mond nimekuita mara tatu 😂😂😂😂
@MariamKileo-mu8rv
7 күн бұрын
Me tu nilikua naangalia wakat unachutama sijui umekaa uchi me msiniulize simu yangu hain charge
@kokusimabuberwa259
7 күн бұрын
❤❤❤❤
@RaymondMadomado
7 күн бұрын
Hii story sio ya Ukweli kama walikutana Mwaka 1988 Sasa diamond kazaliwa mwaka gani 😂😂 diamond kazaliwa 1989
@onionpeeling5822
8 күн бұрын
Kizamani
@yahayadaniely2657
8 күн бұрын
Salima
@alfylegit9573
8 күн бұрын
Kama sio mambo na producer kucheza na Sauti,, Kuimba Live huyu hawezi kabisaa😂😂😂
@eliyasanga6374
7 күн бұрын
Nili kuwa natafuta sms hiii 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂 Asante kwa kuniwakilisha
@alkhudhertarek976
7 күн бұрын
Acheni wivu
@rerisamba
5 күн бұрын
Hata nilishangaa nini
@UrassaPaschal
7 сағат бұрын
Haya kaimbe wewe
@Mejja-c9t
8 күн бұрын
Never give up konde
@murekateteaza9524
8 күн бұрын
Ukimcukiya zari na mungu anaweza kuku azibu👈🏾alikupenda bila faida yakipesa naungali dogo
@malawimoto1951
8 күн бұрын
2025 we are here. Wasafi for life🎉🎉
@FredrickMatiku-xf2uk
8 күн бұрын
Hizi nazo zilipendwa kumbeee ivan don na zari na diamondplatinum na zari zilipendwa
@bernardnsengiyumva-zf1bz
9 күн бұрын
Malaya mkubwa unatongisha hako kamufupa kwani kanizidi kiuno cha Zali au Yule mkenya mujinga mkubwa
@mr.isackenocknyaimaga3899
9 күн бұрын
This is ........
@IrakozeVianney-x7d
9 күн бұрын
Hadi raha vitoto vya 2000 mnasemaje?
@AlexJumanne-ls5gm
9 күн бұрын
Dah huyu wajina anajua sana saut yako tu najalibu kujifunza lakn inanikataa na Mimi ndo napenda kuimba kama saut yake
@abbassalum6824
9 күн бұрын
Kwel Madawa ya kulevya ni adui mkubwa san kwenye taifa nikimuangalia Chidi benzi roho yaniuma utafikili ni Mwanangu wa Kumzaa