Mimi nililima bamia robo heka nikawa natoa ndoo 8 sokoni sh 7000 kila ndoo na nilikuwa nachuma kwa wiki mara mbili
@Farminghustles2 ай бұрын
@@HappynesKihangile safi sana kilimo ni kizuri ukikizingatia
@mandyfitnesstv67382 ай бұрын
Hii mishe iko pesa sana hii
@Farminghustles2 ай бұрын
@@mandyfitnesstv6738 hujakosea aisee na mradi huu uki-upatia unakupa pesa
@starsixtyseven1952 ай бұрын
Chopping it too fineley Needs sharp blades and shove grass in fast like
@Farminghustles3 ай бұрын
Kipi kina faida kuuza mahindi mabichi au mahindi makavu kwajili ya unga?
@Farminghustles3 ай бұрын
Kipi kina faida kuuza mahindi mabichi au mahindi makavu kwajili ya unga?
@jamesmakau-yl9gq3 ай бұрын
Wewe wataka kusemesha watu Dar es salaam sawa na Mombasa tafuta, piga research unambie 😂😂😂😂
@Farminghustles3 ай бұрын
@@jamesmakau-yl9gq na hio Mombasa si iko pwani kwani kunani..mambo si sasa hasa mambo sasa 😅🤣😂
@modestwenceslaus94 ай бұрын
Achana na Ushamba tembelea Dunia uone😂😂😂
@Farminghustles4 ай бұрын
@@modestwenceslaus9 hahaha 😆 😂 nakwambia aisee hutokuta jiji kama hili eeh ukiliona niambie tu 🤣
@MubarakaCloud4 ай бұрын
Wewe sasa ndiyo mshamba ni kweli hakuna jiji kama hili it means kila mji Una muonekano wake ni kama wewe utabaki kua ww hakuna anaefanana na ww hata akiwepo hawezi kua km ww ndo maana yake miji ipo mingi ila hakuna jiiji litalofanana na Dar
@Farminghustles4 ай бұрын
@MubarakaCloud unaubishi wewe cjawai kuona niletee jiji moja tu hapa linalo fanana na Dar es Salaam moja tu ndomaana hata wewe upo wewe tu duniani kote ukijikuta mpo wawili we toka nduki 😂😂😂
@MubarakaCloud4 ай бұрын
@@Farminghustles Mimi Tena? 🤔 Si nilikua namjibu Huyo jamaa juu umenibadrikia tena 😁🤔
@Farminghustles4 ай бұрын
@@MubarakaCloud ooh kumbe sorry aisee 😂..
@peterkibiriti56014 ай бұрын
Wewe ni mwehu tena utakuwa mkristo
@Farminghustles4 ай бұрын
@@peterkibiriti5601 Peter 😂
@AminaHasan-n6l5 ай бұрын
Nimeipenda
@ZubedaAbdallah-s5p5 ай бұрын
Yuko wapi huyo jamaa
@ZubedaAbdallah-s5p5 ай бұрын
Habari naomba no ya doto
@GeraldinaGerard-xy6pl5 ай бұрын
Au ni waongo wanapigq picha mqshqmba ya watu wengine mbonq hawasemi walipo au contact zao
@Farminghustles5 ай бұрын
@@GeraldinaGerard-xy6pl karibu shambani mzee ujifunze kukataa uongo itakusaidia sana hapo baadae
@ndegeigone6531Ай бұрын
Sio waongo hayo majani yanaitwa super napia ni mazuri sana hata mimi nimeyapanda, yanakua cku 45 tu.
@GeraldinaGerard-xy6pl5 ай бұрын
Mpo sehemu gani nyie
@Farminghustles5 ай бұрын
@@GeraldinaGerard-xy6pl vikindu
@marckmasassi74668 ай бұрын
THE ONE AND ONLY EXCEPTIONALLY MAN💫
@Farminghustles8 ай бұрын
You said it well
@RichardSiemba8 ай бұрын
Magu akiwa kididi
@Sr_BookLord9 ай бұрын
Nice work brother, sisi vijana we have a lot to learn from you
@Farminghustles9 ай бұрын
Nashukuru ndugu karibu tujifunze,kuelimika na kuburudika sote katika hili
@Sr_BookLord9 ай бұрын
Una ni inspire sana Kaka
@Farminghustles9 ай бұрын
Nashukuru bro
@craigf5773 Жыл бұрын
*Promo SM*
@rogathesarwatt Жыл бұрын
Huo mtama mbegu
@Farminghustles Жыл бұрын
Hapana ndugu zipo special zinauzwa zina it was sugargraze
@EdwardEmanuel-vm5tq Жыл бұрын
Wapi hiyo br?
@Farminghustles Жыл бұрын
Shambani kwangu
@verimundamorro2161 Жыл бұрын
Habari za asubuhi nahitaji majani ya ng"ombe unapatikana wapi
@Farminghustles Жыл бұрын
Nipo Vikindu ndugu please nipigie kwa number yangu hii 0717110000 or WhatsApp me kwa hio hio number
@NicksonMghase11 ай бұрын
@@Farminghustles1:17
@HamadiKipende-mj7wr Жыл бұрын
Yanapatikana vp
@Farminghustles Жыл бұрын
Yanapatikana tu nicheck kwa number hii 0717110000
@lameckmbise4834 Жыл бұрын
Nice
@Farminghustles Жыл бұрын
Karibu sana
@misergoat Жыл бұрын
좋아요
@Phuong.Nguyen- Жыл бұрын
Pretty scenery 😊
@jamesmacha2251 Жыл бұрын
Samahani ndugu hii Napier yako ni Variety gani? Na uko mkoa gani?
@Farminghustles Жыл бұрын
Hio ni local Napier ila nliihuhumia vizuri
@tjfarms9258 Жыл бұрын
Nice
@omenukolifestyle8058 Жыл бұрын
No mercy
@Mohammed-frafraTV Жыл бұрын
Subscribed
@hassangauday6272 Жыл бұрын
Nahitaji mbegu
@hassangauday6272 Жыл бұрын
Nahitaji mbegu ya nyasi za kulishia ng'ombe
@Farminghustles Жыл бұрын
Upo wapo ndugu
@misergoat Жыл бұрын
Very good
@arekternakchannel2 жыл бұрын
Hadir
@rehemahramadhani34283 жыл бұрын
wap. huk
@VM-we9nf3 жыл бұрын
Nimepanda Chainisi lakini imetoa maua mapema- please ushauri
@dicasdomarlos3 жыл бұрын
Tudo muito bonito parabéns!! Deus abençoe
@Farminghustles3 жыл бұрын
God bless you too
@abdul-waqeljuma88684 жыл бұрын
Mashaallah
@bintiiddy70434 жыл бұрын
Nataman kilimo hcho
@nancyprince7883 жыл бұрын
Umetumia dawa yoyote??
@Farminghustles2 жыл бұрын
Imekua hivyo kwasababu ya samadi iliyo oza vizuri ndugu