SIR GILBERT   I   ULIMWENGU WA ROHO
1:29:46
Пікірлер
@user-mx4tx1mm2d
@user-mx4tx1mm2d 4 күн бұрын
Ubarikiwe sir Gilbert
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 5 күн бұрын
BABA UBARIKIWE SANA.NABARIKIWA MNOOO.
@pastorsamwelrulazigula6240
@pastorsamwelrulazigula6240 6 күн бұрын
Powerful sermon 🔥 Nimebarikiwa na Hili somo
@dyno4tz
@dyno4tz 7 күн бұрын
❤ujumbe mzuri sàna,powerful
@VitusMichael-u3b
@VitusMichael-u3b 8 күн бұрын
Utukufu na heshima vyote ni vyake MUNGU
@GiftUmbu-n1c
@GiftUmbu-n1c 10 күн бұрын
Mtumishi piga injili ifukuzayo Acha maigizo .
@GiftUmbu-n1c
@GiftUmbu-n1c 10 күн бұрын
Mzee piga injili Acha maagizo
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 15 күн бұрын
BABA NABARIKIWA SANA. ILA NITAKUJA SIKU MOJA.
@IbrahimRamadhan-c5f
@IbrahimRamadhan-c5f 15 күн бұрын
Hatamm muziki nimeukubali Amina kabisa kabisa linapatikana wap
@IbrahimRamadhan-c5f
@IbrahimRamadhan-c5f 15 күн бұрын
Amina wauemapepo
@sirgilbert1769
@sirgilbert1769 16 күн бұрын
Mungu akubariki sana Lea maombi yako muhimu
@LeahMwilapwa-i8f
@LeahMwilapwa-i8f 16 күн бұрын
Namshukur Mungu kwa masomo haya ilikuwa ni shauku yangu watu wasikie na yadumu Hadi wajukuu wangu waje wayasikie
@NesirithLukumai
@NesirithLukumai 17 күн бұрын
Shetani ndo anapigwa Kofi siyo mtu
@janethjapheth5153
@janethjapheth5153 17 күн бұрын
Thank you
@janethjapheth5153
@janethjapheth5153 17 күн бұрын
Nice🎉
@aggyparty2990
@aggyparty2990 17 күн бұрын
Barikiwa wana ukonga angel usiri na Elizabeth Mungu kawapa huduma ya uimbaji na mnaitumia vyema chini ya mchungaji spear mwaipopo
@user-ud9os9qs1p
@user-ud9os9qs1p 19 күн бұрын
Amina. Tunashinda kwa jina la Yesu Kristo.
@HaulatAndrea
@HaulatAndrea 19 күн бұрын
Mungu ni mwaminifu
@HaulatAndrea
@HaulatAndrea 19 күн бұрын
Amina
@frida2001tz
@frida2001tz 21 күн бұрын
Amina. Mungu mwenye rehema atusaidie tumjue na tutembee katika njia zake❤
@LabanKabasi-y4h
@LabanKabasi-y4h 23 күн бұрын
mmmmh!🤔
@CatherineJactan-r1i
@CatherineJactan-r1i 23 күн бұрын
Utukufu kwa Yesu 🙌
@user-jk9pq7qr1u
@user-jk9pq7qr1u 24 күн бұрын
Moto motooo
@yohanamartinus838
@yohanamartinus838 25 күн бұрын
🙏
@PaulinaSarwat
@PaulinaSarwat 25 күн бұрын
T.A.G?
@user-cu7zo7uq2l
@user-cu7zo7uq2l 26 күн бұрын
Jamani huu ndo kumtaka bwana na nguvu zake kweliii? Maana sielewi kwakweliii yesuuuuuuu baba tunalia haba t ag tumevamiwaaa tusaidieeee baba
@PastorMhini-m1s
@PastorMhini-m1s 19 күн бұрын
Sasa ulitaka afanye Ibada kama paroko hii ndo original ya T A G kabla ya kuporomoka kiroho
@godichua4457
@godichua4457 26 күн бұрын
Yesu yupo kazini
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 26 күн бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@maikohaule5571
@maikohaule5571 26 күн бұрын
Makofi yanatoka wapi sasa? Tumeambiwa tuweke mikono na wagonjwa watapona, makofi ya nini sasa?
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 26 күн бұрын
somo nalirudia kila saa.yaani nabarikiwa mnoo
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 26 күн бұрын
HAYA NDIYO MAFUNDISHO YA YA KRISTO. UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
@BetyMwakibinga-st7vb
@BetyMwakibinga-st7vb 27 күн бұрын
Yesu yupo hai na kazi zinaonekan
@mbomboboy
@mbomboboy 27 күн бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu
@user-mi9ix6ce1q
@user-mi9ix6ce1q 27 күн бұрын
Nilikuwa nataka kusima comment ila shida hamja comment😂😂😮😮😅😅😢
@tenzichagaga
@tenzichagaga 27 күн бұрын
🫡💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 27 күн бұрын
TUACHE UDUNIA JAMANI
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 27 күн бұрын
KANISA LILIKUA LIMETEKWA.DU! ILIBAKI DINI TU.
@AufrasiaNzelu
@AufrasiaNzelu 27 күн бұрын
Hatari
@AufrasiaNzelu
@AufrasiaNzelu 27 күн бұрын
Hatari
@AufrasiaNzelu
@AufrasiaNzelu 27 күн бұрын
🙇🙇🙇🙇🙇🙇
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf 28 күн бұрын
Lipo wapi kusanyiko hil
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 28 күн бұрын
Hapo sio huyo mtumishi mmmmm washilika mmekwisha mmepigwa tayali
@sirgilbert1769
@sirgilbert1769 29 күн бұрын
Amina mtumishi chua
@mchungajifidelisshirima9206
@mchungajifidelisshirima9206 29 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤝🙏🙏
@user-sp2pp7ih5y
@user-sp2pp7ih5y 29 күн бұрын
Heeeeee!!!😢😢😢😢
@user-sp2pp7ih5y
@user-sp2pp7ih5y 29 күн бұрын
Kweli Mungu atusaidie hii mpya
@mchungajiegidiuskategile5773
@mchungajiegidiuskategile5773 29 күн бұрын
Hii ndiyo TAG tunaitaka. Safi sana
@mchungajiegidiuskategile5773
@mchungajiegidiuskategile5773 29 күн бұрын
Yuko wapi??
@sirgilbert1769
@sirgilbert1769 29 күн бұрын
Tuko Ukonga Dar es Salam mtumishi wa Mungu ubarikiwe
@sirgilbert1769
@sirgilbert1769 29 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu tuko ukonga Dar es salaam ubarikiwe
@mchungajiegidiuskategile5773
@mchungajiegidiuskategile5773 29 күн бұрын
Samahani mtumish wa Mungu Yuko huyu.
@ronniemalima6325
@ronniemalima6325 29 күн бұрын
Yupo sehemu inaitwa machimbo,njoo mpaka Gongo la mboto afu ulizia bajaji zinazoenda mkolemba au moshing bar,shuka mkolemba afu omba boda boda wakupeleke TAG kwa mchungaji Gilbert
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 27 күн бұрын
muombeeni huyu baba ana kitu kizuri sana.ambacho shetani atapenda adumu nacho.
@JailosMusa-kn1wm
@JailosMusa-kn1wm Ай бұрын
Ameni