Пікірлер
@nisembiammbaga3866
@nisembiammbaga3866 9 күн бұрын
Keep it up magola
@easepresha
@easepresha 28 күн бұрын
Naweza kupata number yako
@paulmagola1842
@paulmagola1842 26 күн бұрын
@@easepresha 0710152174
@MichaelAbely
@MichaelAbely Ай бұрын
Mr p mambo vp
@OthmanSuleiman-h1y
@OthmanSuleiman-h1y Ай бұрын
Me nina ndoto ya kuja kuwa mfanya biashara na mkulima mkubwa Afrika yote.
@OthmanSuleiman-h1y
@OthmanSuleiman-h1y Ай бұрын
Tunamkubali
@Sindato-xy3xu
@Sindato-xy3xu Ай бұрын
Safi sana kaka
@ESTHERJOHNSELELE
@ESTHERJOHNSELELE Ай бұрын
Powerful enough Mr. Magola
@JanethBoniface-t1x
@JanethBoniface-t1x Ай бұрын
Big up bro nimewah kukufuatilia star tv
@EltonPeter-p7h
@EltonPeter-p7h 2 ай бұрын
Kiingereza kingi hadi kero, unaonekana msukuma maana wasukuma wengi wana shobo sana na lugha ya kigeni wanapobahatika kusoma.
@paulissayapaul4819
@paulissayapaul4819 2 ай бұрын
Hakika 👍 uko sup Paul magola❤
@paulissayapaul4819
@paulissayapaul4819 2 ай бұрын
Hakika 👍 uko sup Paul magola❤
@AbdalFelisian
@AbdalFelisian 2 ай бұрын
Hello
@paulmagola1842
@paulmagola1842 2 ай бұрын
@@AbdalFelisian yes
@LandoSaid-cf7hg
@LandoSaid-cf7hg 2 ай бұрын
tru
@danielsimwanza1046
@danielsimwanza1046 2 ай бұрын
Broo izo unafanya vizuri upo vizuri ila toa nyimbo izo kwenye vidio kazi yako inaongea
@user-chungamali
@user-chungamali 4 ай бұрын
Wow amazing lesson, mafundisho mazuri kwa wanafunzi
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 ай бұрын
Shea basi video na wapendwa ili mafundisho haya yawafikie wengi zaidi
@zabronrugano3087
@zabronrugano3087 4 ай бұрын
Kipind hik kishaondolea? Motivation speaker namkubal magola
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 ай бұрын
Kitarudi kaka Mungu ni mwema
@IRANGABIYEbienvenu
@IRANGABIYEbienvenu 4 ай бұрын
Kaka sisi wengine tunaanza biashala zetu badae zikakwama tufanyej
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 ай бұрын
Lazima ujifunze angalia video za mafundisho yangu kwenye hii channel yangu utaipata inayokufaa yenye mbinu mpya za kisasa za kukuza biashara
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 4 ай бұрын
Kweli kabisa roho ya umaskini ni mbaya Sanaa kuliko roho zingine .mtu mwenye pesa hata kama ana matatizo mengine mengi hayaonekani lakini maskini kila kitu shida hata kuwaza hauwezi waza vizuri unakuwa na msongo waawazo hivyo nimchanganyo
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 ай бұрын
Amina kaka
@edsonmwanyika4416
@edsonmwanyika4416 4 ай бұрын
Naomba no yako
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 ай бұрын
Mbona inapita hapo kwenye video bro
@edsonmwanyika4416
@edsonmwanyika4416 4 ай бұрын
Kaka
@DinaDaudi-k2q
@DinaDaudi-k2q 4 ай бұрын
Nakushukuru kaka Paul kumleta mwanakwetu
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 ай бұрын
Hapa tutakuletea wengi zaidi wanaoweza kukusaidia kwenye mambo mengi sana
@CredoSanga
@CredoSanga 4 ай бұрын
Naomba namba ya mwanakwetu
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 ай бұрын
Mtafte wasap +1 425-364-2418
@paulmagola1842
@paulmagola1842 5 ай бұрын
Karibu sana na usisahau kushea video link kwa wapendwa wako
@annastaziachille2204
@annastaziachille2204 5 ай бұрын
Ngoja nikusikilize vizuri nijue hapo kwa mahusiano tunauza Nini 😂😂😂
@edsonmwanyika4416
@edsonmwanyika4416 5 ай бұрын
Kaka
@sirhmaburudani3377
@sirhmaburudani3377 7 ай бұрын
Nice
@Chakho-n9e
@Chakho-n9e 7 ай бұрын
My I wish uko poa naomba nisaidie njia za kuwa msanii yani mwanamuzk maan ndo ndoto yngu
@jovitusiinnocent7534
@jovitusiinnocent7534 7 ай бұрын
Saf san kaka
@duniajeremia376
@duniajeremia376 7 ай бұрын
Good
@HassanKilliwe-ml9ol
@HassanKilliwe-ml9ol 7 ай бұрын
Naitwa hassan mussa killiwe nimefurahia muongozo wa mafanimio ulio utoa hapo ulipo kuwa mipango nakupa pongezi kaka
@paulmagola1842
@paulmagola1842 7 ай бұрын
Asante kaka
@nyasaniofficial
@nyasaniofficial 9 ай бұрын
Noma
@LAM5336
@LAM5336 10 ай бұрын
Hongera sana
@josephmlela9757
@josephmlela9757 Жыл бұрын
Good
@kelvinwambura8083
@kelvinwambura8083 Жыл бұрын
Hongera msaidie apate vibali wadau tumchangie apate uzamini
@paulmagola1842
@paulmagola1842 Жыл бұрын
Tayari vibali ashapata kaka
@KephaSoap-ld6tp
@KephaSoap-ld6tp Жыл бұрын
Kazi nzuri!! ❤❤❤ Mungu amtie nguvu
@kelvinwambura8083
@kelvinwambura8083 Жыл бұрын
Congratulations 🎉Kaka your near Goat 🐐 level
@paulmagola1842
@paulmagola1842 Жыл бұрын
Amen bro
@KephaSoap-ld6tp
@KephaSoap-ld6tp Жыл бұрын
Nahitaji niwe mwanafunzi wako mtumishi
@edsonmwanyika4416
@edsonmwanyika4416 Жыл бұрын
Nakubar sanaaaa brother
@laurianalphonce5022
@laurianalphonce5022 Жыл бұрын
Naaamin Mwakani tutakaaa kama hvyo wakati huo utakuwa unanihojbna mm🙏Soon u will see me at the top Bro
@paulmagola1842
@paulmagola1842 Жыл бұрын
Wonderful!!!!! Mungu akusaidie ufanikishe malengo yako kaka
@hamishamis5787
@hamishamis5787 Жыл бұрын
Hakika najifunza mengi sana kupitia mafundisho yako Magola
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Жыл бұрын
Tuko pamoja Kaka tangu nilipo hudhuria mara ya kwanza semina yako pale Midland Hotel. Nakmbuka mgeni mwalikwa alkuwa Father Aliphonce. Maoni yangu jitahd usitumie 'Kiswanglish' japo ukiamua kuwasilisha somo kwa kiingereza pekee wasikilizaji bado tupo kukusikilza Kila Jambo lifanyke mahala pake na kwa wakati wake. Tuko pamoja Kaka.
@paulmagola1842
@paulmagola1842 Жыл бұрын
Pamoja sana nduyangu
@caritasedward7440
@caritasedward7440 Жыл бұрын
Ujumbe kuntu naamini Iko siku nitaweza kuonana na wewe ana Kwa ana ili nipate hint zakutosha shukrani kaka
@paulmagola1842
@paulmagola1842 Жыл бұрын
Karibu sana kaka
@caritasedward7440
@caritasedward7440 Жыл бұрын
Nikisikiliza speech zako Huwa sitoki bila kitu be blessed brother
@hamishamis5787
@hamishamis5787 Жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako Magola najifunza kitu kilasiku
@jacotreez1921
@jacotreez1921 Жыл бұрын
Pamoj brooo
@hamishamis5787
@hamishamis5787 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana katika haya mafundisho yako Magola Mungu akubariki sana
@isangaradjab3834
@isangaradjab3834 Жыл бұрын
Powerful enough. Nayapenda sana mafundisho yako kaka welcome to Rwanda
@jacotreez1921
@jacotreez1921 Жыл бұрын
Daaaah ni kweliii😂😂
@mhinageorge5959
@mhinageorge5959 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana! It was fantastic
@paulmagola1842
@paulmagola1842 Жыл бұрын
Amen Sir.
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Жыл бұрын
Naam ndugu, Ni hakika kanuni hazina mbadala ktk safr ya kufanikisha Jambo lolote. Tuko pamoja nimeipenda sana hiyo Innovation campaign & Leadership development.
@paulmagola1842
@paulmagola1842 Жыл бұрын
Pamoja sana nduyangu usisahau kuisambaza hii video kwa wote uwapendao katika mafanikio
@nataliedayana9824
@nataliedayana9824 Жыл бұрын
fumbuka