Пікірлер
@FatumaMatwiga
@FatumaMatwiga 2 ай бұрын
Ng'winga wise wabhela
@glorydaniel8624
@glorydaniel8624 3 ай бұрын
Kweny kuchapa nilikuwa natega nione danga langu alafu aninyime hela ingekuwa kesi 😂😂😂😂😂
@FidelisMseja
@FidelisMseja 4 ай бұрын
Ok sawa kijana wangu, siku ilikuwa njema siku hiyo
@ValentinaEmmanuel-c1l
@ValentinaEmmanuel-c1l 4 ай бұрын
Was nice
@martinesitta1498
@martinesitta1498 4 ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@martinesitta1498
@martinesitta1498 4 ай бұрын
Asanten Wote mlioshiriki katika siku hii Muhimu
@glorydaniel8624
@glorydaniel8624 3 ай бұрын
​@@martinesitta1498Hongereni ilipendeza
@EsterMageme
@EsterMageme 4 ай бұрын
Nzr san unyama❤🎉
@amanibaraka1585
@amanibaraka1585 5 ай бұрын
Unyama sana 🤟
@paulsamwelmagaka1994
@paulsamwelmagaka1994 5 ай бұрын
Hii iko vizur hivi ile ya mchana hamjaiweka KZbin???
@glorydaniel8624
@glorydaniel8624 5 ай бұрын
Pazuri
@paulweja7491
@paulweja7491 5 ай бұрын
Waoh Tulitisha sanaaa
@EsterMageme
@EsterMageme 4 ай бұрын
Ndy kaka
@SALAMBADADU-gd6qr
@SALAMBADADU-gd6qr 5 ай бұрын
Kazi nzuri
@maduhukisuja7237
@maduhukisuja7237 6 ай бұрын
Kwa kweli walipendeza sana.
@flowebenezeth
@flowebenezeth 6 ай бұрын
Dada naomba unipigie nina shida na ww kuhusu mambo ya harusi
@salomesaguda3302
@salomesaguda3302 7 ай бұрын
Mambo ni 🔥
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 7 ай бұрын
Mama ni mpambanaji sana ❤❤❤
@AdvelaFelician
@AdvelaFelician 7 ай бұрын
Wow!❤❤
@HenryNJohn-mm5zn
@HenryNJohn-mm5zn 7 ай бұрын
Safi sanaaa❤
@LoipllOnhye.Mama.Claudi
@LoipllOnhye.Mama.Claudi 7 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@MariaMaria-gj9or
@MariaMaria-gj9or 8 ай бұрын
❤❤❤❤🙏🙏
@vicentnyasa4199
@vicentnyasa4199 8 ай бұрын
Sauti hamna
@RamsonTanga-se3et
@RamsonTanga-se3et 8 ай бұрын
Nikifika chumba beigani
@Khamudumussa-rz4qm
@Khamudumussa-rz4qm 8 ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@MagrethKisaka
@MagrethKisaka 8 ай бұрын
Hongera Sana baba angu . Mungu aendelee kukusimamia na kukulinda katika kila hatua ya maisha yako. Kamwe mpambanaji hajawahi shindwa hata jambo Liwe gumu kiasi gani.
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm 9 ай бұрын
Safi iko poa sana
@magencosmas6960
@magencosmas6960 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Khamudumussa-rz4qm
@Khamudumussa-rz4qm 9 ай бұрын
motoooooo
@NeemaMolongwe-op3bd
@NeemaMolongwe-op3bd 9 ай бұрын
❤🎉
@mnemhelasaka5406
@mnemhelasaka5406 9 ай бұрын
RIP MZEE WETU
@mnemhelasaka5406
@mnemhelasaka5406 9 ай бұрын
Pole kwa msiba ndugu zangu,hakika tulikupenda mzee watu makindo
@MichaelMangu
@MichaelMangu 9 ай бұрын
Masamba soleleja mwamba nyumbani nkoma itilima simiyu
@Khamudumussa-rz4qm
@Khamudumussa-rz4qm 10 ай бұрын
@mazoyakambeja5474
@mazoyakambeja5474 10 ай бұрын
Debora matpapaz uko vzr Sana dada yangu
@DestinyCharles-z6o
@DestinyCharles-z6o 10 ай бұрын
Sawa kabisa ongo kaya
@MalenyadeyamajangitoMajangito
@MalenyadeyamajangitoMajangito 10 ай бұрын
Asnte sana kuwekeza home
@DanMasoko
@DanMasoko 10 ай бұрын
debora ningependa kupata mawasiliano yako plz nataka niongezee wazo fulani mimi ni mzariwa wa simiyu ,taluma masoko ,kwa sasa nipo dar
@jacklinemchomvu185
@jacklinemchomvu185 10 ай бұрын
Mungu awatangulie
@Khamudumussa-rz4qm
@Khamudumussa-rz4qm 10 ай бұрын
D mat🔥🔥🔥🔥✈️
@FrankNgajilo-ip3zq
@FrankNgajilo-ip3zq 10 ай бұрын
Nxuri sana
@LynerVasco
@LynerVasco 11 ай бұрын
Ongeleni sana mung awasaidii tu dada Ang ❤❤❤❤❤❤
@LynerVasco
@LynerVasco 11 ай бұрын
Ongeleni sana mung awasaidii tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ngoshamchele9664
@ngoshamchele9664 11 ай бұрын
Mpo vizuri Debora team
@YasintaMlay-x7w
@YasintaMlay-x7w Жыл бұрын
Jmn sipati Kazi hapo
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant Жыл бұрын
Pazuri sana, tutakuja
@oman798
@oman798 Жыл бұрын
Hongera sana kaka kazi zuli sana
@manumbamageme3115
@manumbamageme3115 Жыл бұрын
genge mgonga
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Mungu akubariki kaka kwa uwekezaji huo kanda ya ziwa lazima tujenge na tuwekeze zaidi nyumbani
@eugenemalale675
@eugenemalale675 Жыл бұрын
Na ikawe kheri kwenu wanandoa 🔥🔥🔥
@estar9654
@estar9654 Жыл бұрын
hongera sanaa kaka yangu machimu
@BerthaSeleman-yb7fp
@BerthaSeleman-yb7fp Жыл бұрын
Hongera saana wifi angu kipenzi mwenyezi Mungu akuzidishie pale ulipo toa nakupenda.
@AvelinaSanula-ix1yl
@AvelinaSanula-ix1yl Жыл бұрын
Kwaya ya my Anthony wa padua
@FatmaJumanne-v4i
@FatmaJumanne-v4i Жыл бұрын
Waoh wasukuma hawanaga shoo mbovu. Nimemskia Saguda alihoi😂😂😂 wametishaaaaa