HAKIKI STEMPU
1:21
4 сағат бұрын
UZINDUZI WA TRA SIKIKA APP
3:55
Күн бұрын
UJUMBE MAKINI WA EFD
1:01
Ай бұрын
SABASABA 2024
1:01
Ай бұрын
UJUMBE WA EFD
0:52
Ай бұрын
Пікірлер
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 10 сағат бұрын
mtu anaingiza bidhaa milioni moja ya pipi unaipigia vipi kodi kila pipi
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 10 сағат бұрын
tra inatakiwa ifanye utafiti Tanzania nzima wakafanya wastani wafanya biashara wakalipa fixed kodi kila duka limesajiriwa kwa biashara husika itasaidia
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 10 сағат бұрын
pia dhana ya nchi kujitegemea ni ndoto kama nchi ina deni alilo kopa nyerere halija lipwa itajitegemea vip chamsingi nikumpunguzia ,mfanya biashara kodi , mfanyabiashara mmoja wa bus ana miliki mabus 10-50 kwanini huyu asiwe na discount kwenye kodi na ukumbuke serikali haitoi hata elfu mbili ,ila kudhamini michezo isio wahusu wafanya biashara ina weza
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 10 сағат бұрын
Tra inatakiwa iwe na maduka ya demo kila mkoa ili mwananchi kama huelewi unaenda kujifunza pale
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 10 сағат бұрын
ivi tra ina duka hata la demo ili wajue changamoto za wafanya biashara
@mwanabucheyeki226
@mwanabucheyeki226 12 сағат бұрын
Ikiwa nimeelewa vizuri Misamaha Iko katika Power Tiller, Wazalishaji wa Mafuta ya Kula wa ndani ya Nchi, Vifaa vya Ujenzi (Sijaelewa endapo ni Viwanda vya Ndani ama Vifaa vinavyoagizwa toka Nje ya Nchi), Vifaa vya Miradi ya Nyuki, Vifaa vya Michezo, nk.
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 10 күн бұрын
Rekebisheni Sheria muweze kukusanya Kodi kwa wapangishaji wa frem,nyumba na vyumba,sio kwa mpangaji, maana mengine yanashangaza, Unakuta nyumba una flem 40 na zote zinawapangaji mnaenda kumdai mpangaji awape Kodi kwenye pesa aliyomlipa mwenye nyumba! Inashindikana vipi kumfuata mwenye nyumba akawapa.,.hapa Kuna mapato mengi yanapotea na nyie mkiwa mnaona!. Na Kuna kitu kinaitwa"KILEMBA"hapa Kuna pesa nyingi mnoo kama ni halali na zenyewe zitozeni Kodi muongeze mapato ya nchi
@elikanateonest3126
@elikanateonest3126 10 күн бұрын
Ahsanteh sana Kamishna
@halidomar9874
@halidomar9874 11 күн бұрын
Muheshimiwa Mwenda sisi tunaonewa kodi tulilipa miaka minne iliopita tukapewa control kwenda lipa lakn leo unaambiwa kuna kodi yamiaka minne iliopita inadaiwa natulishalipa kodi miaka yote hiyo hii inakuwaje tumeletewa bil yakulipa yamizka hiyo ilipita?
@halidomar9874
@halidomar9874 11 күн бұрын
Sisi ambao tulishalipa kodi miaka minne ilipoita leo tunaletewa bil nyngne tunaambiwa kuna deni nakodi tulidhalipa baada yakupewa control no inakuwaje?
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 13 күн бұрын
ili kuijua changamoto kamishina agiza mzigo wowote kwa jina la mfanya biashara asie julikana utabaini changamoto zote agiza kuanzia kontena moja mpaka kumi za majaribio utaona wapi tra mnafeli na uhakika utajifunza kitu
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 13 күн бұрын
ili kuijua changamoto kamishina agiza mzigo wowote kwa jina la mfanya biashara asie julikana utabaini changamoto zote agiza kuanzia kontena moja mpaka kumi za majaribio utaona wapi tra mnafeli na uhakika utajifunza kitu
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 13 күн бұрын
itakuwa ni bora kupeleka mzigo kwanza zambia au burundi afuu urudishe tanzania hahahha Tra kodi ni kubwa sana punguzeni wafanyabiashara waache hayo makando kando wanapambana hawalali na hawapokei mishahara mwisho wa mwezi
@elikanateonest3126
@elikanateonest3126 25 күн бұрын
Hongera sana kamishna kwa mikakati madhubuti ya kuboresha mifumo ya uondishaji na uingizaji wa mizigo kwenye bandari yetu. Mungu akuongezee hekima na maarifa ili kufikia malengo ya taifa la Tanzania
@bongo39
@bongo39 26 күн бұрын
Bwana mwenda vijana wako kwa kweli wanajifanya miungu watu wanatutisha sana hawana hata tabasamu wakiwa kwenye ofisi zao au wakiwa mitaani unamkuta kijana mdogo tuu unaweza hata kumzaa lakini hawaangalii hilo wao wakianza wanakuwa wanajua kila kitu na wanajivuna weka sawa hili jambo tuko pamoja tukie kodi ili kazi iendelee tunamuungs mama mkono kwa juhudi zake
@habibushekulamba5071
@habibushekulamba5071 26 күн бұрын
Good job.. Mh. Mwenda
@mariamngallangalla906
@mariamngallangalla906 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza
@elikanateonest3126
@elikanateonest3126 Ай бұрын
Hongera sana kamishna wa TRA kwa ahadi yako ya kusimamia vyema ushirikiano kari ya wafanyabiashara na TRA
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Ай бұрын
Hapo utakuwa umeupiga mwingi Mr. Mwenda
@IddiHasani-vq4rd
@IddiHasani-vq4rd Ай бұрын
Alla akuhifadh na hasadi na akulinde na kila baya. Nia ndoo kila kitu nia yako ikiwa nzuli na alla ata kuafanyia wepes
@millianngunda1553
@millianngunda1553 Ай бұрын
Tunakuombea uwe na utumishi mwema
@ahmedmakame1687
@ahmedmakame1687 Ай бұрын
Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema Serekali Corrupt itahangaika na wamachinga na itawaacha wawekezaji wakubwa(madini,gas) tunasamehe 😢
@fettyaziza
@fettyaziza Ай бұрын
Bosi TRA Mimi nimekuerewa mungu akujarie usimamie aki katika kazi Yako mkuu TRA Kuna kitu kina niuzi uku uswairini unafanyiwa makadirio Bira afisa tra kuja kwenye biashara Yako utakura sangine unafanyiwa makadirio makubwa kuriko biashara Yako utakura sangine unaripa kidogo biashara kubwa wangekuwa wanajkuja dukani kadiria mkuu iyo nayo angaria Mimi naamini wewe unaofu mungu utasimamia aki
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
wewe ndie utaki kufata taratibu vizuri za kuweka hesabu zako ,ndio maana yanaitwa makadilio unaruhusiwa kisheria kwenda kupeleka hesabu na Tra wakazipitia ukalipa kutokana na kinachotakiwa
@JeremiahKavakule
@JeremiahKavakule Ай бұрын
Amekuamini
@shaban6644
@shaban6644 Ай бұрын
Hi ndio maana halisi ya Kuwa Kiongozi.
@shaban6644
@shaban6644 Ай бұрын
Kazi Nzuri Kamishna,
@YohanaAman-uz2eu
@YohanaAman-uz2eu Ай бұрын
Vijana wako hawako makini kabisa wanazushia madeni wafanya biashara tena wanawaambia ni madeni ya nyuma na nimakubwa kiasi hawawezi lipa je wanampango wa kuwafilisi
@YohanaAman-uz2eu
@YohanaAman-uz2eu Ай бұрын
Mi binafsi tra siwapendi yaani wanazushia wafanya biashara madeni ambayo hayapo ya miaka ya nyuma Tena makubwa Hawa jamaa mi siwakubali kabisa
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Kigoma tuna shida
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Mtu unaenda na hela kulipa , unaambiwa ondoka
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Atembelee mikoa yote hasa kigoma
@XiuKaratu
@XiuKaratu Ай бұрын
Sitaki shida
@johnsimon869
@johnsimon869 Ай бұрын
Naomba template ya kufile Final Return
@user-tm8rp2jh6x
@user-tm8rp2jh6x Ай бұрын
Tatizo ni sheria
@elikanateonest3126
@elikanateonest3126 Ай бұрын
Hongera sana kamishna kwa kujali wafanyabiashara. Kwani wengi wanahitaji la kupata maelezo ya kiongozi mkuu wa mapato
@hassanswaluya6733
@hassanswaluya6733 Ай бұрын
Video ya mafunzo Ina makelele,mikwaruzo kibao sio rafiki Kwa kujifunza
@johaneskyaruzi8789
@johaneskyaruzi8789 Ай бұрын
Kikubwa n haki na kufuata sheria
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 Ай бұрын
Jamani mm naomba kuuliza kwani wabunge wana Tax kwenye salaries zao, na kama hawana je kweli ndio tunajenga taifa letu wote au tuna jenga wachache. Pls ningepata jawabu ninge furahis sana
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m Ай бұрын
Mh fungeni mifumo siyo kila anaeingia vikao
@temekepamoja2757
@temekepamoja2757 Ай бұрын
Wez ao
@jameskivelege6721
@jameskivelege6721 Ай бұрын
Kama kina jambo baya nilifanyiwa na tax office Ilala ni kui lock account ya kampuni yangu eti nadaiwa while all the allegations over 90%were not so!! Be careful na vijana wako plz
@DivNg27
@DivNg27 Ай бұрын
Pole sana Bro,itakua walikua wanataka uwape rushwa,ukakataa, wakaamua kukupa kodi ya makasiriko ili wakukomoe...hivyo ndio wafanyavyo TRA woote wasio na uzalendo na hofu ya MwenyeziMungu
@mohdbinaley5546
@mohdbinaley5546 Ай бұрын
All the best C.G
@sss3s867
@sss3s867 Ай бұрын
Maneno yenye hekima KABISA. Inaonekana uko sirias ktk maneno yako yanatoka moyoni Kwa jicho la tatu Lakini mkuu Sheria za tra zinaangamiza Patna wako sio WA eika ZOTE. Hivyo Patna ndogo anakufa KABISA Sheria ikisimama kivyovyote. Ikiwa fair au kinyume chake. Nakusalimu. KAZI iendelee
@suhaybabeid3115
@suhaybabeid3115 Ай бұрын
Kwa pamoja tunajenga taifa letu🎉🎉🎉
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Kabisaaaa
@suhaybabeid3115
@suhaybabeid3115 Ай бұрын
Ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Hawana ubinadamu
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 Ай бұрын
Bora waelimishwe, maana kigoma, maafsa wamegeuka kuwa miungu
@nestorymalekela1823
@nestorymalekela1823 2 ай бұрын
Sio kwa nyinyi yani tra na wananch ni paka na chui
@RoyGod12
@RoyGod12 2 ай бұрын
Hongereni sana TRA Kwa kutoa elimu kwa watalii na umma 🎉🎉
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 2 ай бұрын
TRA jaman mpunguze kiasi cha pesa cha kubadili umiliki wa vyombo vya Moto hasa Bajaj na pkpk japo zote ni pkpk au mtoe ofa kabisa kubili umiliki Iwe bure hapo mtawapata wateja wengu sana nanyi itawapa wepesi wakuta mapato....ila saizi tunakimbizwa na magari kama wenzi hatari yakuua watu jaman....dah myonge hana haki