Mauti ni Mawaidha Tosha!
1:22
Ай бұрын
Vipi wewe umejiandaa na #mauti ??
1:26
UTAONDOKA YATAKUCHUKUA #mauti
5:21
Пікірлер
@user-bd5xs8lg6y
@user-bd5xs8lg6y Күн бұрын
Jazakallah kheir
@awadhmchaki6567
@awadhmchaki6567 10 күн бұрын
MaashaAllah Baaraka LLahu fiika
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 11 күн бұрын
Yule kijana amumuwezi ninyi jadida unaona anavyo washughulisha.
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 9 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3e Hana anachokijua sikiliza alivyojibiwa na Sheikh Abul Abbas Hassan Waziri حفظه الله تعلى Anatafuta umaarufu kwa wanamsikiliza na wajinga ila elimu yake ndogo mno hajui kama sututwi ni mujitahidi!!!!
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 8 күн бұрын
@@AbuFawzaanAlly ikajibiwa Nini ww kumbe na ww unatetea hata kitu hukujui mapenz tuuh sema kweli japo chungu msumari umewaingia vvzr majadida saivi watu washabainikiwa hakki ipo wapi huko chama chenu ni kujisumbua tuh na usalafi mpya mlokuja nao, usulubu wenu mbovu xana ndomana shekh bakary Abu Zaid kawatwanga kijembe Hawa watu ni wajinga kufahamu ibara za wanazuoni kuhusu bidaa na watu wake, mnazoa zoa tuuh bila dalili za ulamaa wakutgemewa mnawaegemeza watu, et suyutwi mujitahid huo ujitahidi wa kuabudu makaburi na kufufua. Bidaah na kufanyia histazai quruani ujitahidi gani huo si ukafiri huoo wapi kwenye vitabu vyake alitubia baada ya kufanya hivyo ni jadida ni uvundo mtupu nusu kidogo ni sombwe na hiki chama kipya Cha ujadida Ila namxhukuru Allah kanizuia dini ya kutoana kama rfaa lii anavyotembea na red card uwanjani nani anataka hayo kuna binadamu asokosea kosa so la kumtoa mtu utakuta mnamuhukumu na kumtoa kwenye hiko chama chenu.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 8 күн бұрын
@@AbuFawzaanAlly arafu huyo shekh wako ulomtaja ndo mtupu kabisaa amecopy vitu mtandaoni anamuuliza bachu anadhani bachu ni mjinga ni viswali vya kitoto kweli vyote ikajibiwa kama we ukuelewa basi hukwenda shule majadida weenzio wamemuelewa vzr xana na amewapeleka shule, Aibuu hii mmepata shekh lenu kubwa mafuta limekimbia hojja anatuma vibaraka maswali yabajibiwa na akiwauliza nyie kumjibu hamuwezi yani huyo waxiri sijui mtupu kabisa hata Mimi maswali Yale namjibu ile bahari ingine shkh wako rais wa jadida wote tz kashindwa ataweza huyo soloka
@YusuphMashaka-z1d
@YusuphMashaka-z1d 12 күн бұрын
Akili huna ww
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 9 күн бұрын
@@YusuphMashaka-z1d Kwanini?
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 26 күн бұрын
Kwabachuwewe unamaneno yakitotosana
@SudaysJuma
@SudaysJuma Ай бұрын
حفظك الله وجزاك الله خيرا
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly Ай бұрын
آمين
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 Ай бұрын
Nilijua kasema Mtume kumbe Sheikh Uthaymin
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly Ай бұрын
@@coyancodavao4004 Matamanio ya nafsi yanakusumbua
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Ай бұрын
Allahul musta'aan
@ABDALAAJALI-nf7rz
@ABDALAAJALI-nf7rz Ай бұрын
Subhanallah Allah akuhifadhi sheikh wetu na akuepushe mbali na vitimbi vyote vya mahawaliji nimeumia sana kusikia habari hii Allah akulinde Sheikh uendelee kueneza hii dawwatul sarafiyyah mpaka iingie katika mioyo ya watu
@ZamiraMuhammed
@ZamiraMuhammed Ай бұрын
Mashaaallah allha akubarik sheee
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 Ай бұрын
Hii qadhia ni ya lini na nani huyo mtuhumiwa
@Abulhaitham12
@Abulhaitham12 Ай бұрын
Allah akuhifadh sheikh
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly Ай бұрын
@@Abulhaitham12 ALLAAH AMUHIFADHI SHEIKH WETU... AAMIYN
@ShabanIdi
@ShabanIdi Ай бұрын
❤❤
@othmanhaji862
@othmanhaji862 2 ай бұрын
Shukran Sheikh Allah akupe kheri ya Dunia na Akhera. Ya Rabb tusamehe makosa yetu
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 2 ай бұрын
AAMIYN YAA RABBIL ALAMIYN
@MwajumaBagonwa
@MwajumaBagonwa 2 ай бұрын
inshalla M/Mung awawezeshe mzidi kutuelimisha
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 2 ай бұрын
AAMIYN
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 3 ай бұрын
Dr tule
@halfaniabdallah6265
@halfaniabdallah6265 3 ай бұрын
Shukran. Wajazaakumllah khayrah. Allah akupe siha njema.
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 3 ай бұрын
Atupe sote. AAMIYN
@RuwaidaSaid-un3pc
@RuwaidaSaid-un3pc 3 ай бұрын
Ikiwa kafanya kosa mfateni mumwambie ilaa sio kuanza kutoa hukmu zenu kwan nyie mlipotoa hukmu ya haifai kuiskiliza hata qur-an ya sheikh Othman maalim kwasababu ni mtu wa bidaa mlikufurishwaa msitumie kikki masheikh saudia tumieni akili na elim
@IbrahimZahor-mj3uy
@IbrahimZahor-mj3uy 3 ай бұрын
Soma dada yangu usiwe mizigo katika dini hukmu iyo hawajatoa wao
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 3 ай бұрын
Wewe kumbe unatumia akili zako? Sisi tunatanguliza dalili za kisheria Kisha akili ndio inafuata. Embu nambie umepata wapi hii jambo la kwamba mtu asikataze uovu mpaka amfate aliefanya aongee nae?? Na hali ya kuwa uovu umefanyika wazi wazi. Nipe majibu nakusubiri hapa
@Daarul_Ghurabaa
@Daarul_Ghurabaa 3 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 3 ай бұрын
آمين وإياك جزاك الله...
@amenakenya7993
@amenakenya7993 3 ай бұрын
BarakAllah fiyk
@amenakenya7993
@amenakenya7993 3 ай бұрын
Allahuma Amiyn
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 3 ай бұрын
nilipoona tu ameweka ile clip ya mashia na wale Masheikh njaa wa bakwata niliamini kabisa huyu sio
@VukaRails-jp6mf
@VukaRails-jp6mf 3 ай бұрын
Kweli hii channel ni ya ujinga mtupu japo mi ni msufi. Huyu kijana babdeo ni mtafuta pesa tu na sio mtafuta dini
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa akhy unaona hata juzi alivyo wapaisha mashia kwenye chanel yake eti kuwatenga mashia ni haram
@sumeyaahmed4187
@sumeyaahmed4187 3 ай бұрын
Kweli kabisa nakubaliyana na nyie,halaf babdeo kamweka mkewe muimbaji
@RuwaidaSaid-un3pc
@RuwaidaSaid-un3pc 3 ай бұрын
Weee msufi gani weeeee mjinga mmoja,ikiwa kafanya kosa Moja la kuonesha lile tamasha tena msitumie nafasi hiyo hiyo ndio kufanya hafai Moja kwa moja mrekebisheni aendelezee mazur anayofanya mungu sio baba enu kama kakupeni nafas ya kuhukumu
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
Allah ataipoteza hii chanel inshallah
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 3 ай бұрын
Maana ya babdeo kikwetu ni mavi ya paka
@RuwaidaSaid-un3pc
@RuwaidaSaid-un3pc 3 ай бұрын
Maaana ya baba ako na mama ako tuu iyooo sio maana yake yy mwenyewe aliyokusudia
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 3 ай бұрын
huyu BABDEO anauchukia haki, ALLAH amuongoze kwenye haki aache upuuzi na kueneza BID'A!!
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Naam swadakta
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 3 ай бұрын
Naam baatwil ipotee haqq ibaki
@allymkwiru4057
@allymkwiru4057 4 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh sembe 👍💖💕
@KomboAthumani-jv1wn
@KomboAthumani-jv1wn 4 ай бұрын
جدا الله خير
@mohamedhaji4827
@mohamedhaji4827 4 ай бұрын
Asante sana ostadh abuu khawla kwa nasaha zako
@ausatmwangi6464
@ausatmwangi6464 5 ай бұрын
Huyu shekhe hana hikma angemskiza dr. Islam anavyoteremsha maneno kwa hikma watu wanastafidi ila za huyu ni dharau tu
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 5 ай бұрын
Mtu akisema ukweli. Anaambiwa hana hikma.
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 7 ай бұрын
Allah awabarik sana masheikh zetu
@bakarbaraza2565
@bakarbaraza2565 8 ай бұрын
Masha Allah Sheikh HUSSEIN MAY ALLAH GRANT YOU JANNAH
@shabanishabani3529
@shabanishabani3529 9 ай бұрын
Masha Allah
@SeifRupatu
@SeifRupatu 9 ай бұрын
Maaashaallah sheikh Sembe Aallaah Akuzidishie wewe pamoja na mimi kherizake inshaallahllo
@user-lu8tb7pj3g
@user-lu8tb7pj3g 9 ай бұрын
Maashallah
@omarmakame3027
@omarmakame3027 9 ай бұрын
Duh kweli kabisaaa
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 9 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 9 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu mlezi ktk daawa hii mubaaraka
@jafariabdillah8585
@jafariabdillah8585 10 ай бұрын
Alhamdulillah
@shariftwahirabdullqadir9645
@shariftwahirabdullqadir9645 10 ай бұрын
Shekh letu Allah akuhifadh
@omaryathumani89
@omaryathumani89 10 ай бұрын
daaah kweli kabisa... Allah amlipe khery shaykh qassim mafuta
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 10 ай бұрын
Shukraan sheikh
@HajiHaji-rq1bi
@HajiHaji-rq1bi 10 ай бұрын
Mashallah
@HajiHaji-rq1bi
@HajiHaji-rq1bi 10 ай бұрын
Mashallah
@abuumaisarah6595
@abuumaisarah6595 Жыл бұрын
Mapenzi ni khatar
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
Mapenzi ni maradhi hakika.
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Subhuhanallah