U.M.A.I.F. (Ummul Muuminiina Aisha Foundation)
Ni kituo kinachofundisha masomo ya dini ya kiislamu (madrasa) na mazingira kwa kina mama watu wazima na watoto kilichopo Buguruni, Kisiwani. Pia tunaendesha mashindano ya kuhifadhi Quran tukufu kwa wanawake Tanzania.
MAWASILIANO:
TIGO: (+255) 0710 77 33 90
HALOTEL: (+255) 0629 77 22 77
EMAIL:
[email protected]INSTAGRAM: @UMAIF_TV
FACEBOOK: UMAIF TV
TIKTOK: UMAIF TV