Tmepata ujumbe mungu nimwema atatusaidiaa ❤ kama sio mjanja huwezi elewaa mpo vizurii
@AthumanMshaghasho-r2c3 ай бұрын
Nitaona tambo zenu
@TaytazDollar3 ай бұрын
Respect 👏
@yohanajohn87413 ай бұрын
Iko poa sana
@mbetaonlinetv62214 ай бұрын
Leteni kazi wadau
@abedysteven49304 ай бұрын
Utapeli huw haudum mwisho wake watajulikana tu!
@mbetaonlinetv62214 ай бұрын
Inakukumbusha nini hii video
@isaacomogo98724 ай бұрын
Achunguzwe pole pole tu atasema anayemtuma / wanaontuma watoto. Watoto Huwa wanatolewa kama kafara. Msimwache nawaomba tafadhali
@ArsenSilayo-r4o4 ай бұрын
Kweli kabisa
@ArsenSilayo-r4o4 ай бұрын
Kweli kabisa
@mbetaonlinetv62214 ай бұрын
Tuwashikisheni adabu
@mbetaonlinetv62215 ай бұрын
Unamzungumziaje samass ebu tumzungumzie hana meneja
@mbetaonlinetv62215 ай бұрын
Weweeeeee samass
@mbetaonlinetv62215 ай бұрын
Weweeeeee samass
@khalifaahmed5875 ай бұрын
Wameliwa
@mbetaonlinetv62215 ай бұрын
Orafa hizi ni shangwe za usajili
@orafaomary26055 ай бұрын
Mbg mtu mbayaa
@orafaomary26055 ай бұрын
🎉
@RamadhaniKilimo5 ай бұрын
Nakubari
@barakakings7 ай бұрын
Huyu watakuwa walimuokota maduka ya kko ana burgain,wakamtoa nje wakamwambia wanayo ya bei chee yako magomeni,wakaenda naye. KAUZIWA kichochoroni. Hata akirudi kuwatafuta hajui hata atawapata wapi😂😂😂
@BakariAthumani-ft6xq7 ай бұрын
Mamamamamama
@cheiknamouna20587 ай бұрын
Bei ya mserereko broo umeyatimba😂😂😂
@Jurbeg7 ай бұрын
Sio mbaya awa pelekee watoto wake nyumbani wakachezee ili apunguze machungue😎😎😎
@GodiZilA-jb1vy7 ай бұрын
Naitwa matey nipo ilinga nataka tire mbili za mtumba kwamatumizi ya treckta
@Jacksonkutusha7 ай бұрын
Kitonga
@mbetaonlinetv62217 ай бұрын
Mtumba tire na mbeta thegame
@GodiZilA-jb1vy7 ай бұрын
Mbeta natire mzima
@mbetaonlinetv62217 ай бұрын
tunafunga kuishi duniani tunafungua kuishi mbinguni
@DanielBwangalo-ed1dk7 ай бұрын
Nakubali
@mbetaonlinetv62217 ай бұрын
Nilieposti hii video mbeta the game nipo online hebu tujadiliane tunakomeshaje??
@mwitawakimara36497 ай бұрын
Watoto wa magomeni hao wamewai kinipiga
@geraldlyimo28597 ай бұрын
Ujinga huu wa kitamboo sana huenda wanataka kurudi
@rasnchimbi7 ай бұрын
Amenunnua wapi na je alipewa risiti?
@WitnessCharles-mp8ri7 ай бұрын
Shida watu wanapenda kitonga 😂😂
@FabiaoAntonioMartinsAntonioMar7 ай бұрын
Daaah bongo noma sana 😢
@zenassylvester1257 ай бұрын
Tyre mpya kuijua mbona rahisi imekuaje uyu kaingia mkenge?
@BakwataZelbu7 ай бұрын
Yanga mara hiiiiii zamu zaooo mpaka 2030
@HidayaSudy-f2r7 ай бұрын
😢
@JosephineKadawi7 ай бұрын
😂😂😂😂
@ForodhaniZanzibar7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@DanielBwangalo-ed1dk7 ай бұрын
Yes big up sana kaka
@salimtupa22637 ай бұрын
Huo, wizi wakizamani, ukiona mtu kaibiwa kwa staili hyoo ujue kambiwa kuna tairi za ishuue za bei rahisi, tuweni makini rahisi ni gharam!!!!!