Пікірлер
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 ай бұрын
Freeman mbowe crush again coruption people into ccm leadership question covered coruption people on gavment office this is what drive our tanzania into Rong direction protect coruption people into gavment system
@mtangag774
@mtangag774 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@zawadinorbeth5068
@zawadinorbeth5068 7 ай бұрын
Nampenda sana mama Anne Makinda . Ni kiongozi sana popote ulipo mama ujue nakupenda sana..
@robertjohnmakuru3946
@robertjohnmakuru3946 11 ай бұрын
Tanesco
@wilfredmmbando689
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
😊
@davidmwandiga3465
@davidmwandiga3465 Жыл бұрын
Hapa sipika ulisitaili kungwa!!!?
@gastonealinda7494
@gastonealinda7494 Жыл бұрын
Hili ndilo lilikuwa bunge!!!! Hongera Anna Makinda! Hongera Jakaya Kikwete ulikuwa jayanti wa demokrasia!
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 Жыл бұрын
Yaani mtu anaiba hela halafu anasifiwa kuwa ni giant wa democracy
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 4 жыл бұрын
Makinda ndo alikuwa spika bora
@issamsuya583
@issamsuya583 4 жыл бұрын
My all time minister💪
@exaudjoshuammar524
@exaudjoshuammar524 6 жыл бұрын
Habarzaleo
@godiynaigisa7802
@godiynaigisa7802 7 жыл бұрын
huyu Mama ndio alikuwa spaka wa Bunge watanzania huyu wasasa sio kabisa hajui jisi yakuongoza Bunge letu spaka hata hatiki wabuge waonge ukweli unawezaje kusema wewe no spika Tanzania haina spaka hakika
@theresiatarimo3616
@theresiatarimo3616 7 жыл бұрын
akili kubwa hiyo .....
@daudikassimu4574
@daudikassimu4574 8 жыл бұрын
zitto kabwe a.k.a NONDO 💪
@sospeterdishon2771
@sospeterdishon2771 8 жыл бұрын
Ndo serikali yetu hiyoooo
@ErastoMalema
@ErastoMalema 8 жыл бұрын
Kama Wazawa ndo hawa tuliowapa viwanda saiv wanafugia Mbuzi, Mashamba ya NACO tumewapa akina Mzindakaya aka Wazawa yote saiv kwishney! anafuga lkn in low scale! Sasa wakija watu wenye utaalamu na fedha tusiwape kisa wazawa? NB Muhongo dharau yake zinapitiliza sometime, wasomi tuko wengi TZ
@shininisoipano4973
@shininisoipano4973 8 жыл бұрын
hongera wa mbunge wa tanzania
@athanasdonald1585
@athanasdonald1585 8 жыл бұрын
@salimsaid8729
@salimsaid8729 9 жыл бұрын
majanga kwel
@josephpius9572
@josephpius9572 9 жыл бұрын
Muhongo msomi wewe achana na siasa unaharibu CV wewe ni professional in professor vyuo ving duniana vinakuitaj
@elhadjndiaye9021
@elhadjndiaye9021 9 жыл бұрын
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
simon wambura unawazimu mwenyewe
@ahmedghoth5494
@ahmedghoth5494 9 жыл бұрын
Majambazi hao dawa inachemkaa watakufa woteeee
@josephgomalo41
@josephgomalo41 9 жыл бұрын
Ingawa anayoyasema ni ya kweli.. kigharama; bado anaonyesha kiwango cha juu cha arrogance.. Wawekezaji sio lazima wawe ni mtu mmoja mwenye hizo dola zote anazozitaja kututisha wazawa.. bali wazawa wanaweza kununua shares kuweza kutosheleza mtaji huo wakisaidiwa na Serikali yao ili mafao na faida zitokanazo na gesi na mafuta zibaki kwa wananchi.. The so called wawekezaji huja na business ideas tu... in most cases.. na huchukua pesa kwenye mabenki yetu hapo hapo nchini.. Kwa nini hiyo iwe ngumu kwa wazawa?? Usomi wa kufuata vitabu bia busara ya mambo ndio weakness ya viongozi wetu.. Pamoja na usomi Muhongo bado ni mpumbavu anayechukia Watanzania wenzake.. Hawa wajinga wanaona raha sana madini na mali asili zikienda kuwafaidisha watu wa nchi za magharibi. Na watu wa magharibi wanacho kifanya ni hicho ambacho akina Muhongo hawataki kukifaya kwa watu wao.. i.e., kuuza shares kwa watu wao.. ! Kwa nini Muhongo anafikiri hiyo haiwezekani kwa wazawa? Tutatupa madini na mali asili zetu hadi lini? NI bora kaondoka huyu msenge..!
@simonwambura5360
@simonwambura5360 9 жыл бұрын
Maswali magumu yakijibiwa kirahisi na mh. Anne makinda ktk sakata la escrow bungeni Dodomà
@simonwambura5360
@simonwambura5360 9 жыл бұрын
Maswali magumu yakijibiwa kirahisi na mh. Anne makinda ktk sakata la escrow bungeni Dodomà
@latifanyembo7455
@latifanyembo7455 8 жыл бұрын
Kiaje
@simonwambura5360
@simonwambura5360 9 жыл бұрын
Watanzanià kama hatukumbuki haya bas tuna wazimu,
@simonwambura5360
@simonwambura5360 9 жыл бұрын
Watanzanià kama hatukumbuki haya bas tuna wazimu,
@simonwambura5360
@simonwambura5360 9 жыл бұрын
Anne makinda ashindwa kuliongoza bunge ktk tuhuma ya escrow
@deomacha3784
@deomacha3784 9 жыл бұрын
Nice shout janet...
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
majambazi wakitoroka baada ya kuvamia duka la vinywaji na kupora
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@nyakaraittamwitta5236
@nyakaraittamwitta5236 9 жыл бұрын
@websterkinte8270
@websterkinte8270 9 жыл бұрын
Kuna nini tena,hao polisi miyayusho washapewa posho....Kunta...Kinte.
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@devotapasky3107
@devotapasky3107 9 жыл бұрын
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@andrewsadiki9914
@andrewsadiki9914 9 жыл бұрын
Kikwete anahangaika tu hana uwezo tena wa kuinusuru Ccm
@farajimrutu2212
@farajimrutu2212 7 жыл бұрын
andrew sadiki mbona kainusuru sasa,siasa za mtukio sio rahisi uchukue nchi lzm mjipange kwa hoja zenye mashiko
@allankashoro2077
@allankashoro2077 9 жыл бұрын
Mh. Tundu Lissu ni jembe sana. He is advocate who knows the facts of truth and don't fear to speak it all in Tanzania. Kudos to him!
@janeth3442
@janeth3442 9 жыл бұрын
Huyo muhongo anachefuansasa...anatakamkujifanya kuwa ndo msomi pekee Tanzania. ..mbona wasomi wakomwengi sana tu na hamuwapi chance za ajira ili muone ufanisi wao...atuondokee huko
@simonwondre1901
@simonwondre1901 8 жыл бұрын
+janeth wapo wengi ndio ila sio kama yeye,,,,kwa si tu afrika bali dunia nzima
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 3 жыл бұрын
Hamna kuna vitu havinaga siasa
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@shukranimashari8874
@shukranimashari8874 9 жыл бұрын
Pomona xna viongozi was chama pinzani
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
thank mkuu
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
@noelngossi3450
@noelngossi3450 9 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa kauli ya ukombozi na ya kishujaa....watu kama hawa wapo 22% ya bunge lote...tuwaunge mkono wanapambana na watu wengi bungeni wakiutetea umma wa watanzania. Serikali ione aibu itende haki watanzania tunaishangaa kwa nn inalazimishwa wakat wakuamua juu ya mambo mabaya kama haya.Mungu isaidie nchi hii inapotea
@richmusicish
@richmusicish 9 жыл бұрын
kweri aisee jamaa alibadili mwelekeo wa mpambano walikuwa wanafanya yao.
@noelngossi3450
@noelngossi3450 9 жыл бұрын
Isack Richard ni kweli kk
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
Noel Ngossi Yah mkuu,mpaka dakika za mwisho nilishindwa kuelewa msimamo wa Zitto,ila Mbowe akaja kuokoa jahazi
@kakoshiobby5165
@kakoshiobby5165 9 жыл бұрын
mbowe ongeza bidii waondoke nchi imeliwa sana
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
Huu mwaka wa uchaguzi,serikali za mitaa washapotea sana,huu ni mda wa UKAWA
@starfleva6860
@starfleva6860 9 жыл бұрын
Freeman Mbowe bungeni sakata la escrow