Nikiwa mtoto ninayejitambua nilivutiwa na namna ya utumishi wenu kwa Mungu nilipowaona pale kwenye viunga vya Bujesi Kkk- Tukuyu,kati ya mwaka 1993/1994.Mpaka leo nawatamani sana! Mungu anisaidie sana❤.
@raphaelmwamakimbula964210 күн бұрын
Dah,najisikia raha sana kwa wimbo huu☑️👏 Mungu awabariki sana!
@raphaelmwamakimbula964210 күн бұрын
❤
@emmanuelwatson189710 күн бұрын
Maana yake tafadhali
@victoriakisuto342812 күн бұрын
Tutapumzika Amen
@bulimweguchimurhoezechiel140318 күн бұрын
Amina kabisa
@BigirimanaDavid-b5t23 күн бұрын
Amina
@JephaJoram24 күн бұрын
Mbarikiwe wazazi wangu mungu awarinde daima merere🙏💞💯
@JephaJoram24 күн бұрын
Mungu haenderee kuwapa humri mrefu wazazi wangu 🙏💞
Mungu ashukuriwe atupaye kuishi na kuzisikiliza tena nyimbo hizi
@habanabashakazacharie563528 күн бұрын
Amin
@niyimbabazitatiana9882Ай бұрын
Hivi hawa watu wapo wapi jmn ?? Nimekesha nikisikiliz nyimbo zao zimenibarik sn
@nyumbanituthegendaheka7222Ай бұрын
Ile nyimbo inasema lakin Mungu alimtuma Yesu...nenda ukawaokoe...inaitwa aje? Kanani mji mzuri
@BenjaminHenryАй бұрын
Amina na Amina. Nina umri Sasa wa miaka 42 na bado nyimbo zenu naskiza mara nyingi. Zinanikumbusha miaka Hio ya tisini na kitu nilikua mdogo. Mbarikiwe sana.
@MosesMussa-s9nАй бұрын
Ameni
@FabianRobert-r4kАй бұрын
Baba yangu hongera Kwa nyimbo nzuri, zenye ujumbe wa kiroho tupu, zizamishazo roho na kuifanya imsogelee Mungu. Chochea chochea chochea, si MUDA mrefu tutaenda kupokea ujira wetu mbinguni.
@hatiagk4447Ай бұрын
Nyimbo zako nilizipenda sana sana.
@hatiagk4447Ай бұрын
Unatukumbusha mbali sana
@hatiagk4447Ай бұрын
Mbarikiwe sana sana watumishi wa Mungu mmetukumbusha mbali.
@hatiagk4447Ай бұрын
Unatukumbusha mbali sana sana Barikiwa sana mtumishi.
@hatiagk4447Ай бұрын
Mungu wa mbinguni aendelelee kuwalinda na kiwatumza. Nyimbo zenu ni baraka.
@hatiagk4447Ай бұрын
Umetukumbusha mbali sana.mch. ubarikiwe sana nyimbo nzuri sana.
@hatiagk4447Ай бұрын
Nimefurahi kuzipata nymbo hixi tena
@lilliannyangela7227Ай бұрын
Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu
@AnnaBituroАй бұрын
Ninaposikia nyimbo za watumishi hawa nasikia kupaa tu niende kwa Yesu .
@AnnaBituroАй бұрын
Mungu awabariki sana kwa kuhubiri kwa uimbaji wenu .
@AnnaBituroАй бұрын
Amen🎉
@barakamtonyole6555Ай бұрын
2024 still hitting
@schoslatiquekwitegetse909Ай бұрын
Mubarikiwe sana ba évangélistes ba Yesu
@GriffinMtamaSalimaАй бұрын
Someone translate the song in English please
@elrachum3866Ай бұрын
nazi download zote
@dbrothers4551Ай бұрын
Mungu anisaidie
@HenrietteMukarutesiАй бұрын
Mbarikiwe Watumishi wa Mungu Ninawakumbuka huko Sumbawanga
@MoïseCizunguАй бұрын
Hizi ndizo nyimbo, za leo zimekuwa kelele mutupu bila uzima wa Mungu ndani.
@shyneafya2468Ай бұрын
Nimefurahii kusikiliza wimbo huu jaman wakat mm n mtoto sana mzee alikuwa anakuja na kanda ya Mwasumbi na mm nilivokuwa naendelea kukua nikuwa nasikiliza sana
@Musa_isaya2 ай бұрын
Mungu awatunzeew bab nq mqm yqnguuu
@JosueElie2 ай бұрын
Mimi wa kwanza ku comment, mubarikiwe sana
@desiremangongo53192 ай бұрын
Mubarikiwe sana Wapendwa wetu
@Linda-lr1lu2 ай бұрын
Sijui mnaendeleaje maana nilisikiaga mliachana ukafungwa sijui ni nini ila ni maombi yangu Mungu akakumbuke hizi nyimbo na kuzidi kuwapigania na kuwatunza nawapenda sana❤️❤️❤️❤️
@godefroidm7412 ай бұрын
Nani hapa 2024
@leahmhenzi87582 ай бұрын
Nimefurahi sana kuwasikia tena ,niliwasikia nikiwa mdogo sana.Nyimbo zenu nzuri sana.
@ImaniPaschal2 ай бұрын
MUNGU awatie.nguvu na mwisho mwema Tanzania na Duniani Kwa ujumla👋🙏🙏🙏
@omreuzex71092 ай бұрын
Mungu awabariki sana.
@joshuakioko9322 ай бұрын
what i can say is:GOD BLESS YOU SO MUCH.singing for the lord
@joshuakioko9322 ай бұрын
Great power and control are all there!.You have a lovely tone to your voice and had great control throughout.All two of you have great vocals, with good control and projection. Lots of potential with superb power.this is what will take us to heaven people.