UPENDO WA YESU NI MKUU. PST, NOEL DAVID
16:02
KUSUDI. BISHOP DICKSON KABIGUMILA
13:00
21 сағат бұрын
KUTEMBEA KATIKA IMANI. PST, FRED MSUNGU
14:55
JIFUNZE KUNYENYEKEA. NABII DKT. OLIVA
5:47
MAISHA NA UTUMISHI. PST NOEL DAVID
13:18
NGUVU YA UNYENYEKEVU. PST. NOEL DAVID
13:44
MIMI NI JIWE LILILO HAI. KUHANI MUSA
27:07
USIACHE KUPANDA MBEGU. BISHOP JOHN
10:33
KUNENA KWA LUGHA. PST FRED MSUNGU
16:24
AHADI ZA MUNGU. PST GADIEL MPUNGU
18:57
Пікірлер
@MariamIddy-r9h
@MariamIddy-r9h 31 минут бұрын
🙌 amen,somo safi nabii malisa
@judithlugongo8804
@judithlugongo8804 4 сағат бұрын
Hongera sana unakipaji kikubwa
@WillKilulya
@WillKilulya Күн бұрын
Wajinga ndo liwao,mtastuka ameshawapiga vya kutosha.
@Lydiaowino
@Lydiaowino Күн бұрын
Powerful.teaching
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Күн бұрын
Amina baba
@lucyboti8327
@lucyboti8327 Күн бұрын
Ndiomana Jide hazeeki
@Coachsamwel
@Coachsamwel 2 күн бұрын
Thanks dr Elie & Team Chomoza
@GODisable7573
@GODisable7573 2 күн бұрын
Tunamtukuza MUNGU kwa ajili yako Doktor na team nzima. Tunajifunza mengi. Swali; kwa wale ambao tumeshaona madhaifu na ubovu kwenye familia na koo zetu nasi kunataka tuwe na tufanye tofauti, tufanyeje jujinasua kwenye mifumo mibovu ya koo na familia zetu?
@bahatibillah6942
@bahatibillah6942 2 күн бұрын
Nmependa sana ulivoelezea kuhusu role ya mzaz katika kuelekeza mtoto asiwe mnafiki. Please do more sessions on that, thanks.
@GladysGladys-q3o
@GladysGladys-q3o 2 күн бұрын
Ameen
@NtayandiLeonard
@NtayandiLeonard 2 күн бұрын
🙏
@BarakaAmos-u5d
@BarakaAmos-u5d 2 күн бұрын
God bless my brother
@aishavogelmann5021
@aishavogelmann5021 2 күн бұрын
Mola awabariki sana tena sana.shukran Yanga haitoshi kwa maneno wala chochote humu duniani ila mola awabariki namaisha marefu muzidi kutufunza ❤❤❤🙏🙏🙏
@celinestevens8871
@celinestevens8871 2 күн бұрын
Asanteni . brutal honest
@saramwaigomole7112
@saramwaigomole7112 2 күн бұрын
Take chaji maishani mwako
@saramwaigomole7112
@saramwaigomole7112 2 күн бұрын
system ni responsible
@saramwaigomole7112
@saramwaigomole7112 2 күн бұрын
Mambo yote ni siri
@kivumbaobadiah4220
@kivumbaobadiah4220 2 күн бұрын
Sauti inakatika Sana sikuhzi
@ebonybhoke5321
@ebonybhoke5321 2 күн бұрын
Asante dr, ila sauti ni changamoto,hata somo la 71,nadhani mtalitafutia ufumbuzi,ni mara nyingi sauti inakiwa ni tatizo,mara iko chini hamsikiki,ama kukatakata na kukoroma
@DorethMselem
@DorethMselem 2 күн бұрын
Asantee dr nimekuelewa vizuri pia mimi ni O+ ni damu nzuri ya balaa❤❤😂😂
@AsteriaMontgomery
@AsteriaMontgomery 2 күн бұрын
Kuna sehemu inakatakata..nimejifunza mengi mno Asante Dr
@oliverypaul904
@oliverypaul904 3 күн бұрын
Kweli.....u Docta kwangu kiroho, kiakili na kimwili....katika magonjwa na kimatibabu.......Mungu azidi kukutunza🙏
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 күн бұрын
So deep aiseee🙏
@egidekalume1085
@egidekalume1085 3 күн бұрын
Une leçon approfondie...l'intégrité une probité absolue...merci infinement pour toute l'équipe chomoza..aaah c'est très profond
@hamidafundi-pw1gw
@hamidafundi-pw1gw 3 күн бұрын
Uadilifu(Integrity) . Mwenye nidhamu mtiririko wa mawazo ni thabiti kwa kila jambo lake analolifanya. Mwadililifu hapotoshwi.Uadilifu hutengenezwa na maadili aliyo nayo mtu binafsi.Uhuru si kupewa bali ni KUJIPA mwenyewe. Ni KUJIWAJIBIKIA mtu mwenyewe.Kujihudumia mwenyewe ni ufunguo wa maisha. Muadilifu ni mkweli. Chukua muda kuisoma familia yako kwanza , itathimini ,bila kulaumu mtu yeyote ili kchukuwa tahadhari mwenyewe. ❤🎉 .Nimejifunza. Asante Chomoza pongezi kwenu nyote .
@hadidjaissa9154
@hadidjaissa9154 3 күн бұрын
❤❤
@sarambasha7702
@sarambasha7702 3 күн бұрын
Dr.anamafundisho mazuri ..Changamoto ni Muda jamani
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 3 күн бұрын
❤ Na wapenda...Aksanti sana...😮Swahili luga ntamu ❤
@bushimani1544
@bushimani1544 3 күн бұрын
Gd
@AlfredMoshaa
@AlfredMoshaa 3 күн бұрын
Namuonea wivu evans hapo I wish ndo niwe nimekaa karibu na dokta namna hiyo
@AlfredMoshaa
@AlfredMoshaa 3 күн бұрын
Oh my Goodness
@Samweli331
@Samweli331 3 күн бұрын
Namba haionekani kiongozi
@MwamuJuma
@MwamuJuma 3 күн бұрын
Tupo pamoja bro jimmy from zanzibar man by mwamu
@IbrahimOlenga
@IbrahimOlenga 3 күн бұрын
Tupo pamoja kitoka DRC
@JosephatKinemo
@JosephatKinemo 3 күн бұрын
Mbarikiwe team chomoza, mnatuponya
@ashireydaimu3148
@ashireydaimu3148 3 күн бұрын
Nazidi kumpata mwanga. Mkipost tu Mimi moyo wangu unakuwa km nimepata kitu ambacho siwe kukielezee
@EmmanuelKisaka-y2b
@EmmanuelKisaka-y2b 3 күн бұрын
Sawa
@wandedalushi2984
@wandedalushi2984 3 күн бұрын
Naendelea kupona
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 3 күн бұрын
Safi skuiz mnapost mapema
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 күн бұрын
Stay blessed Dr Elie & team Chomoza
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 4 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Coachsamwel
@Coachsamwel 4 күн бұрын
Sure ungekuwa mpigaji ungetajirika sana😂 hahaaa this ending
@Coachsamwel
@Coachsamwel 4 күн бұрын
Muwe mnaweka lipa namba tutoe sadaka aisee... sipendi kupata value kubwa namna hii burebure... Dr na organiser wote mbarikiwe saaaaaana Nimefaidika mno
@Coachsamwel
@Coachsamwel 4 күн бұрын
Mimi ni kitabu.. mimi ni jibu.. mimi ni secret book kwa dunia
@Coachsamwel
@Coachsamwel 4 күн бұрын
Shukrani sana 🙏
@HaikaJohn-w3h
@HaikaJohn-w3h 4 күн бұрын
28/09/2024
@benjaminchuma5468
@benjaminchuma5468 5 күн бұрын
Mathayo 24:29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika; 30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi. 31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.
@benjaminchuma5468
@benjaminchuma5468 5 күн бұрын
Unyakuo wa Kanisa ni baada ya Dhiki kuu.
@jumannejisena3117
@jumannejisena3117 5 күн бұрын
Evans leo kachagiza kitu kizuri
@Masokabya08
@Masokabya08 6 күн бұрын
amen 🙏 ubarikiwe sana.
@Gladness-vt3eg
@Gladness-vt3eg 6 күн бұрын
Nimebarikiwa Prophet