Пікірлер
@emmanuelmutabazi8948
@emmanuelmutabazi8948 6 күн бұрын
Hapa Kazi Tuu...Big up!
@valentinehalla6366
@valentinehalla6366 12 күн бұрын
Hongera kaka.. lakin hao kuku kutaga sio wiki 15.. lazima wafikishe miezi mi 4 na nusu ndo utaokota yai... nafuga piah HYLINE kutoka silverland
@husseinissa7155
@husseinissa7155 13 күн бұрын
Kazi nzuri sana naomba msaada wa ujenz wa banda yani ningetamani kujua bajeti ya banda kama hilo
@husseinissa7155
@husseinissa7155 13 күн бұрын
Banda la kuku miatano
@MutafarmTV
@MutafarmTV 13 күн бұрын
banda la kuku 500 niukubwa wa mita 15 urefu na 6 upana , sasa apo inategemea na utajengeaa na nini , tofa za njanja,tofali za kuchomwa,au utajengea miti,... sisi hili banda ni lina urefu wa mita 20 na lina upana wa mita nane, sawa na kuku 960 na garama yake kwa haraka haraka kila kitu mpaka kukamilika na fundi ndani sio chini ya shillings milion 7 ya kitanzania
@husseinissa7155
@husseinissa7155 12 күн бұрын
@@MutafarmTV asantee sana
@husseinissa7155
@husseinissa7155 12 күн бұрын
@@MutafarmTV na kwa hilo hilo ukitaka kuweka cages linaweza kubeba kuku wa ngapi mtaalam
@BarakaKikoti-ub2xq
@BarakaKikoti-ub2xq 12 күн бұрын
Ukiweka mistari mbili ya cage wa kuku 96na kila mstari cages 8×2=16 kisha 96×16=1536
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 13 күн бұрын
Kazi nzuri
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 25 күн бұрын
Ongera sana
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 27 күн бұрын
Kwahiyo kufagia ni vipi
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 27 күн бұрын
Naoenda sana kufuatilia kipindi chochote kinachotoa mafunzo yaufugaji wa kuku naipenda sana hii kazi
@MutafarmTV
@MutafarmTV 24 күн бұрын
asante sana karibu...
@northerntanzaniatv4033
@northerntanzaniatv4033 29 күн бұрын
Umetumia bati ngapi na mbao kwenye kupaua?
@MutafarmTV
@MutafarmTV 24 күн бұрын
mbao= 2*3=70 , 2*2=70 na bat ya ft 8 =120 ft 10=3
@emmanuelmutabazi8948
@emmanuelmutabazi8948 29 күн бұрын
Great job!
@MutafarmTV
@MutafarmTV 24 күн бұрын
thank you
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 29 күн бұрын
Tunaendelea kujifunza kupitia kwenu
@BarakaKikoti-ub2xq
@BarakaKikoti-ub2xq 29 күн бұрын
Kazi nzur
@MutafarmTV
@MutafarmTV 29 күн бұрын
asante
@emmanuelmutabazi8948
@emmanuelmutabazi8948 Ай бұрын
Well done...congratulations!!
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thankyou bro
@aisharamadhani2395
@aisharamadhani2395 Ай бұрын
Mungu mwema wamekua
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
Amen
@furahasweya7433
@furahasweya7433 Ай бұрын
Hongerasana kwa kudhibiti vifo
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asnate sana
@furahasweya7433
@furahasweya7433 Ай бұрын
Hongerasana kwa kazi nzuri. Nami najifunza kutoka kwenu
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asante , pamoja sana karibu
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds Ай бұрын
Asante
@MutafarmTV
@MutafarmTV 24 күн бұрын
pamoja sana
@elfazjohn4215
@elfazjohn4215 Ай бұрын
Hongereni kwa kudhibiti vifo, na maerezo yako ukosahihi, kuku anatakiwa kukingwa na siyo kutibiwa, niko katoro geita, mi pia mfugaji
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
pamoja sana ...
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z Ай бұрын
God Bless You.... Shamba lako lipo wapi na namba Yako ya simu twawezaje kupata. Tafadhali naomba namba Yako. Hongera sana kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya lkn lkn kwa shule / elimu unayotoa pia
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asante sana, sisi tunapatikana Magole Estate , wilaya ya kilosa, Morogoro, number zetu ni 0719819198 karibu sana...
@ummylashomba2847
@ummylashomba2847 Ай бұрын
👍
@DiazMwinuka
@DiazMwinuka Ай бұрын
Good progress
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thank you
@simonmwiliko4769
@simonmwiliko4769 Ай бұрын
Hongera sana
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asante
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 Ай бұрын
Safi Safi
@Lynnalice217
@Lynnalice217 Ай бұрын
Wee 15 or 16 kwaiyi layers wanaanza kutaga miezi 4?😮😊
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 Ай бұрын
Uakika kuanzia wiki ya 16 kama wanakula vizur
@lucasrobert3791
@lucasrobert3791 Ай бұрын
Ata uwape chakula kizuri vipi hawawezi kutaga na miezi minne kutaga wanaanza na miezi 6 adi 7
@nurumwita9034
@nurumwita9034 26 күн бұрын
​@@lucasrobert3791ata miezi mitano wanataga ukiwapa egg booster wanaanza na miezi mitano
@judicalosika7642
@judicalosika7642 10 күн бұрын
​@@lucasrobert3791Kwa hiyo taarifa zao ni Uongo!!! Eh!!
@judicalosika7642
@judicalosika7642 10 күн бұрын
Labda niwashauri kidogo, Hizo kamba zining'inizazo vyombo vya maji na chakula nadhani si IMARA. Nadhani mkitumia binding wire itakuwa afya zaidi. Hata hivyo, Hongera zenu
@ummylashomba2847
@ummylashomba2847 Ай бұрын
Kazi nzuri Mungu azid kuwatangulia
@MutafarmTV
@MutafarmTV 24 күн бұрын
amen , asante sana
@GSELgodoni
@GSELgodoni Ай бұрын
Kazi nzuri.
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asantee
@gastonmangala4461
@gastonmangala4461 Ай бұрын
Kazi kwa kazi kbs... Ila tunafanayaje tunapotaka kuanza ishu kama ivo
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asantee sana jitahidi kufwatilia video zetu zote utapata kujifunza mengi na namna tulivyo anza. asantee...
@peacemakerdxb6012
@peacemakerdxb6012 Ай бұрын
Well done
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thanks
@KingoFarm1
@KingoFarm1 Ай бұрын
Broiler ? Ndio chakula Gani?
@BarakaKikoti-ub2xq
@BarakaKikoti-ub2xq Ай бұрын
Broiler starter na layers starter itakua ka jichanganya apo kidogo
@kananiomwamirwenyagira8374
@kananiomwamirwenyagira8374 Ай бұрын
Ni jisanvu cha ile mihogo mikubwa? Hongera sana
@BarakaKikoti-ub2xq
@BarakaKikoti-ub2xq Ай бұрын
Kisamvu cha kawaida
@jsmfarms71263
@jsmfarms71263 Ай бұрын
🎉🙏🙌
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
🤝
@calvinmlowe8850
@calvinmlowe8850 Ай бұрын
Kazi nzurii na ni uwekezaji mkubwa kazi isonge mbele🙏🙏❤️
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
Asante
@fermekulisha
@fermekulisha Ай бұрын
Great work
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thank you
@davidwayesu
@davidwayesu 4 күн бұрын
Nipe namba yasimu
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 Ай бұрын
Nice and keep up the good work
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
Thanks!
@ummylashomba2847
@ummylashomba2847 2 ай бұрын
Hongera
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asante
@simonmwiliko4769
@simonmwiliko4769 2 ай бұрын
Hongera sana!!!!
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asante
@UzianaSamwely
@UzianaSamwely 2 ай бұрын
Good job
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thank you
@UzianaSamwely
@UzianaSamwely 2 ай бұрын
Good job
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thank you
@ManenoMsele
@ManenoMsele 2 ай бұрын
Mungu yumwema pambana ndugu yangu
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
asante pamoja sana
@alinekasinyabo3501
@alinekasinyabo3501 2 ай бұрын
Courage kaka
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
asante
@andremangala6382
@andremangala6382 2 ай бұрын
Good job
@DiazMwinuka
@DiazMwinuka 2 ай бұрын
Ukikaa kijijini afya inaimarika sana
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
😅😅
@simonmwiliko4769
@simonmwiliko4769 2 ай бұрын
Hongera!maendeleo mazur
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
asante! tunapambana mdogomdogo
@emmanuelmutabazi8948
@emmanuelmutabazi8948 3 ай бұрын
Hongera mkurugenzi!
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
asantee bro
@fabienbika2074
@fabienbika2074 3 ай бұрын
Hongera sana boss
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
asante
@anifaprisca2424
@anifaprisca2424 3 ай бұрын
Imekuwa njema , keep going
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
thank you
@simonmwiliko4769
@simonmwiliko4769 3 ай бұрын
Hongera sana!!!!
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
asante
@everydayforex
@everydayforex 3 ай бұрын
I see process and progress, keep pushing higher and higher
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
thank you
@fermekulisha
@fermekulisha 3 ай бұрын
Wonderful days ahead
@MutafarmTV
@MutafarmTV 2 ай бұрын
yes thank you
@fermekulisha
@fermekulisha 3 ай бұрын
Blessed and happy beginning
@andremangala6382
@andremangala6382 3 ай бұрын
Kazi nzuri...