Fanya hivu Ukitaka Kupiga Hatua..
7:13
Nguvu  na Ukubwa wako...!
7:26
2 ай бұрын
Huwezi Kuzuia....Pumzika.Ep 9
4:39
Badilika wewe kwanza..Ep 8
7:22
3 ай бұрын
Jipende zaidi....30+
8:15
4 ай бұрын
Jipe Muda.Ep 6
5:56
4 ай бұрын
Ep. 5 Uzoefu wa maisha
10:21
5 ай бұрын
Ep 4. Mahusiano Binafsi
10:51
5 ай бұрын
Ukuaji Binafsi 3:Kumiliki Makosa.
11:32
Ukuaji Binafsi Ep  2:Balance
10:40
6 ай бұрын
Jipambanie...#tz ❤️
5:54
7 ай бұрын
2023 Kitabu Changu
12:49
8 ай бұрын
NIMEFELI HAPA...TanzaniaSwahili
9:37
Supporting system#tz #swahili
9:51
Shangilia Ushindi mdogo.
1:30
9 ай бұрын
TUMECHELEWA...
18:20
10 ай бұрын
Life at 30's/Tanzania Vblog/Swahili
33:42
MIPAKA YAKO IKO WAPI? Tanzania Vblog
21:38
Tupunguze ushauri ili tuwasaidie.
2:23
Пікірлер
@jacksonkileo9158
@jacksonkileo9158 Ай бұрын
À
@user-te1vg6dc2h
@user-te1vg6dc2h 2 ай бұрын
Ufunuo 22;10
@user-ix8qr4bn9z
@user-ix8qr4bn9z 2 ай бұрын
Asante kwa kutukumbusha
@ezden_voiceover
@ezden_voiceover 2 ай бұрын
Very nice topic and video. Keep winning Winnie!!!
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 2 ай бұрын
Thank you so much 🤗
@victorbaraza
@victorbaraza 3 ай бұрын
Je nina weza kusoma biblia ya kwenye simu pasipo kununua hardcopy?
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 3 ай бұрын
Ni sawa ila nafikiri hardcopy ni nzuri haina distractions
@youtubepesa255
@youtubepesa255 3 ай бұрын
You have a killer opening bumper.. I'm loving it
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 3 ай бұрын
Nashukuru sana sana Brother
@tabycatytabitha
@tabycatytabitha 4 ай бұрын
Kujifunza ni kitu bora zaidi asante kwa hili ❤
@LovelyRacingHelmet-iv6ti
@LovelyRacingHelmet-iv6ti 4 ай бұрын
Thanx dada
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 4 ай бұрын
Nashukuru
@danlyee863
@danlyee863 4 ай бұрын
High production hongera Sana ❤❤
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 4 ай бұрын
Asante Sana
@agnesmwizangussa477
@agnesmwizangussa477 4 ай бұрын
Umenena✅
@AnnastaziaKikoti
@AnnastaziaKikoti 4 ай бұрын
Mimi naomba unisaidie niweze kuyashika maandiko kichwani
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 4 ай бұрын
Lazima ukimaliza kusoma utulie kuweza kufafakari lakini unaweza ukachukua hii mistari ukaandika chini sehemu itakayo kua rahisi kusoma
@sunkistbakeryltd2585
@sunkistbakeryltd2585 4 ай бұрын
🎉
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 4 ай бұрын
Nashukuru sana sana
@Therapist_simbila
@Therapist_simbila 4 ай бұрын
Background nzuri sana
@hussenmohamed4649
@hussenmohamed4649 6 ай бұрын
Nimejifunza kitu
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 6 ай бұрын
Nafurahi nimekuongezea kitu🙏
@mwesigwaj
@mwesigwaj 6 ай бұрын
Maturity 😊
@mwesigwaj
@mwesigwaj 6 ай бұрын
Hongera sana Winnie! Keep it up
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 6 ай бұрын
Nashukuru sana sana🙏
@linetshavu
@linetshavu 6 ай бұрын
Bravo sis 👏👏👏
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 6 ай бұрын
Thank you so much my dear❤
@linetshavu
@linetshavu 6 ай бұрын
Kaza mama big up❤
@privernnorens2317
@privernnorens2317 7 ай бұрын
5 January 2024 18:19 🎉
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 6 ай бұрын
Asante
@user-bh7nb2kn5o
@user-bh7nb2kn5o 7 ай бұрын
Samahani mbona Kuna muda huwa naguna nakuwa naimbaaa
@user-ky1id5xc4p
@user-ky1id5xc4p 8 ай бұрын
Ni jambo la msingi sana,hongera kwa maelezo
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@user-rg6ju1vr7e
@user-rg6ju1vr7e 8 ай бұрын
@user-lb1nb2ls9g
@user-lb1nb2ls9g 8 ай бұрын
Kwakuwa umeamua kuwasaidia watu iliwasome biblia, jitambue mwenyewe kwanza, kuwa, hadhira yangu wanatumia lugha gani, kisha tumia lugha yao kwa utulivu, usihangaike ktkt ya lugha ambayo,sio yawasikilizaji wako, nimependa nia yako ninjema sana, ila lekebisha hapo kwenye lugha, kama kingereza kiwe kingereza tu, kama kiswahili kiwe kiswahili tu, apana KISWA-ENGLISH,
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 8 ай бұрын
Asante kwa maoni ,BWANA akutangulie🙏
@JohnGamma-qq2gq
@JohnGamma-qq2gq Ай бұрын
ulivomuelewesh aongee kiswahili au kingereza kumuelekea kinayemfaa hiyo kuchngny yake haielewek Wooow nimependa sana ulivomuelewesh
@philipmastory
@philipmastory 8 ай бұрын
Woooooow, hii topic imefanya nijifikirie Sana. Thanks big time
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 8 ай бұрын
Nashukuru sana sana kwa support
@tabycatytabitha
@tabycatytabitha 8 ай бұрын
Katika pendo hakuna hofu 1waraka 4:18 ulipoongelea trust watu wengi tumekosa hicho
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 8 ай бұрын
Tunapaswa kurudi tena na kujifunza kuhusu hili maisha yanakua magumu maana hatufati principle😂😂
@successpathnetwork
@successpathnetwork 8 ай бұрын
Wow... This is very nice Winnie...hongera sana Kwa juhudi hii, nimependa sana. Keep doing it. Nasubiri episode zaidi.
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 8 ай бұрын
Nashukuru sana brother hii ina maana kubwa kwangu..🙏
@olympiamtenga8761
@olympiamtenga8761 9 ай бұрын
Safi Winnie ... kwa ku weka pamoja this is all about persona l development. Uki manage kwenye personal Development kwakwel all you have said inakiwa inclusive.... Kujua wewe ni nani Who to associate with and why.. Your behavior Your characters Your relationship with God You inner person (Nafsi) Emotions na mengine mengi kwenye personal development. Kubwa ukijitafuta , ukijipata basi self improvement hapo utakuwa umepigia hatua.. ❤❤❤❤ otherwise hongera kaa kujua madhaifu yako na kuyafanyia kazi hii inaitwa extra level Maturity ❤
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 9 ай бұрын
Thank you dada.Asante kwa kuelezea vyema❤️🙏
@tabycatytabitha
@tabycatytabitha 9 ай бұрын
Kwa Mimi Self improvement Ni Jambo ambalo linaanziaga spiritual and it's all about self acceptance
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 9 ай бұрын
Uko sahihi dada am learning alot from your channel keep doing it😊
@tabycatytabitha
@tabycatytabitha 9 ай бұрын
@@kijweninawinnie thank you hunny❣️
@danleefazah8615
@danleefazah8615 9 ай бұрын
Great work with good editing
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 9 ай бұрын
Asante sana Bro hii imenipa moyo zaidi
@danleefazah8615
@danleefazah8615 9 ай бұрын
😊
@tabycatytabitha
@tabycatytabitha 9 ай бұрын
Kikubwa unyenyekevu ❤
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 9 ай бұрын
I will pin this.Asante dear📌
@SofiaKipanta
@SofiaKipanta 9 ай бұрын
❤❤
@danielndonye6921
@danielndonye6921 10 ай бұрын
Elina, your voice hasn't changed since your teenage! Good conversation
@elinamwinuka8912
@elinamwinuka8912 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Teenage years lol! Thanks
@Wolverinext7
@Wolverinext7 10 ай бұрын
Wazazi saivi lazima tukubali maisha yamebadilika na pamoja na kua elimu ya darasani ni muhimu tuwekeze pia kwenye skills za watoto wetu zitawasaidia zaidi wakianza kujitegemea
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 10 ай бұрын
Uko sahihi kabisa
@Jorammalisa
@Jorammalisa 10 ай бұрын
Great Podcast Winnie and Elina 🎉. Mmetoa mtizamo mzuri juu ya hali ya maisha. 28:09 😂 Winnie you are perfect usije kubali kuwa overweight kiafya ni mbaya. Itapendeza zaidi kama mtaboresha kwa kupunguza urefu wa video labda kwa kupunguza idle time. Naamini ujumbe huo huo ungeweza tolewa kwa dakika chache zaidi. Pia kufanya rehearsal vizuri kuhakikisha hufikirii katikati ya shooting bali unafanya presentation yako kwa ufanisi wa hali ya juu zaidi. One step at a time and you will be unstoppable 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾.
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 10 ай бұрын
Yoooo!Am greatfull Asante sana Brother hii ina maana kubwa sana Brother🙏
@hesbornhamisi1734
@hesbornhamisi1734 10 ай бұрын
Busara kwa wingi thirties age bracket demands plenty and they are highly big bellyied 💋💋💋💋💋🧀🧀🧀🧀🥂🍾🍾
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 10 ай бұрын
Hahah you said it all .Asante kwa muda wako🙏
@hesbornhamisi1734
@hesbornhamisi1734 10 ай бұрын
@@kijweninawinnie wewe no kidosho mlerimbo kweli 💋💋💋💋💋🧀🧀🧀🥂🍾🍾🍾 super special 💟💟💟 💘💘💘🙏🙏🙏
@EnockSavage
@EnockSavage 10 ай бұрын
💯
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 10 ай бұрын
Hii inamaana kubwa sana Asante🙏
@charityfarm1226
@charityfarm1226 10 ай бұрын
kazi ni njema sana 😊 i like it
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 10 ай бұрын
Asante sana kwa kutazama
@charityfarm1226
@charityfarm1226 10 ай бұрын
@philipmastory
@philipmastory 10 ай бұрын
Kweli kabisa, mipaka muhimu sana.
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 10 ай бұрын
sana sana.Asante kwa kutazama
@bhavikakhetia8504
@bhavikakhetia8504 10 ай бұрын
I love this!! ❤❤❤ you guys are doing a great job!
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 10 ай бұрын
This mean alot Thank you bhavika❤️
@blaisemboye5602
@blaisemboye5602 11 ай бұрын
Somo zuriiii👏👏👐👐🕺🕺🕺
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 11 ай бұрын
Asante sana kwa support
@user-hr5gz6xj4s
@user-hr5gz6xj4s 11 ай бұрын
U r winning Winnie...
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 11 ай бұрын
Thank you so much ❤️
@agnesmwizangussa477
@agnesmwizangussa477 11 ай бұрын
Somo zuri👏🏽
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 11 ай бұрын
Sis always here supporting me Asante
@theophilwisdom2308
@theophilwisdom2308 11 ай бұрын
Keep going Winnie proud of you
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie 11 ай бұрын
Hii ni kubwa sana kwangu Asante sana Bro...!!
@anncaroll4505
@anncaroll4505 Жыл бұрын
❤️❤️.Well said.
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie Жыл бұрын
Asante mama Kali❤️
@bungadettu5636
@bungadettu5636 Жыл бұрын
Hongera sana
@waziribservices6597
@waziribservices6597 Жыл бұрын
Keep Creating Winnie, ukweli umezungumza kuhusu mambo muhimu sana. Hizi ni moja wapo ya qualities ambazo mtu anatakiwa kuzitengeneza kwenye Interpersonal skills.
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie Жыл бұрын
Thank you brother
@agnesmwizangussa477
@agnesmwizangussa477 Жыл бұрын
Well Saïd
@kijweninawinnie
@kijweninawinnie Жыл бұрын
Thank you dada for watching
@MariamMkusa
@MariamMkusa 2 жыл бұрын
Asante kwa ushauri mzuri Winnie